OFISI YA MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA BAGAMOYO INAPENDA KUWATANGAZIA WAFUATAO KUWA
WAMEFAULU USAILI ULIOFANYIKA MNAMO TAREHE 29/09/2017 KWA NAFASI YA MTENDAJI WA KIJIJI, HIVYO WANAITWA KAZINI
KUANZIA TAREHE 09/11/2017 KURIPOTI NA WANATAKIWA KUFIKA KATIKA OFISI YA MKURUGENZI MTENDAJI KUJAZA MIKATABA
YA AJIRA NDANI YA SIKU KUMI NA NNE (14) TANGU TAREHE 09/11/2017.
KWA TAARIFA ZAIDI BOFYA HAPA
Bagamoyo
Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO
Simu: 023 - 2440164
Simu ya kiganjani:
Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo