• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
    • Baraza la Madiwani
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
      • Baraza la Madiwani
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • UKARIBISHO
        • service one
        • what we do
        • Utalii
        • Kaole Snake Park
        • Kaole Mamba Ranch
        • Completed
        • Elimu
        • Afya
        • Maji
        • Caravan Serai
        • Education
        • Ukaguzi wa Ndani
        • TAARIFA YA O& OD
        • Miradi iliyopendekezwa
        • Bajeti ya Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo
        • Maendeleo ya Jamii
        • Elimu Msingi
        • Elimu Sekondari
        • Ujenzi
        • Mfuko wa Jamii
        • Mifugo na Uvuvi
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
        • Idara ya Maji
        • Sheria ndogo za Halmashauri
        • Ardhi na Mipango Miji
        • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
        • Sheria
        • Ufugaji Nyuki
        • Usafishaji na Mazingira
        • Fedha na Biashara
        • Election Unit
        • Ugavi na Manunuzi
        • Maeneo ya Uwekezaji
        • TEHAMA na Uhusiano
        • Kupata Fomu Mbalimbali
        • Madiwani
        • Baraza la Madiwani
        • Orodha ya Wahe.Madiwani
        • Kamati za kudumu za Halmashauri
          • Elimu, Afya na Maji
          • Fedha, Uogozi na Mipango
          • Kamati ya UKIMWI
          • Kamati ya Maadili
          • Uchumi, Ujenzi, Mipango miji na Mazingira
        • Ratiba za Vikao vya Kisheria
        • Ratiba
          • Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
          • Ratiba ya Vikao vya Wahe. Madiwani
        • Mpango Mkakati
        • Bajeti ya Halmashauri
        • Mkataba wa huduma kwa Mteja
        • ZABUNI MBALI MBALI ZA UWAKALA
    • Baraza la Madiwani
  • Idara na Vitengo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Works
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Usafi na Mazingira
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Elimu Msingi
    • Kitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Election Unit
      • TEHAMA na Uhusiano
  • Huduma
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2018/2019
    • Mkataba wa huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MPYA
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

Elimu Msingi

IDARA YA ELIMU MSINGI

Idara ya Elimu Msingi inaongozwa na Mkuu wa Idara hiyo Ndg. Peter Fussi
Simu Na. 0754 050 602

Idara ya Elimu Msingi ni Idara inayoshughulika na Elimu ya Awali, Elimu maalumu, Memkwa na Elimu ya Msingi ikiwa na maana ya darasa la kwanza hadi la saba. Idara ina vitengo kama ifuatavyo:

    1.Kitengo cha Taaluma

    2.Kitengo cha Vifaa na Takwimu

    3.Kitengo cha Elimu ya Watu Wazima.

Ndani ya Kitengo cha Elimu ya  Watu Wazima kuna vitengo vingine vidogo ambavyo ni kitengo cha Sayansi Kimu,kitengo cha Vielelezo, Kitengo cha Ufundi, Kitengo cha Kilimo, Kitengo cha Elimu Maalumu na Kituo cha Walimu ( TRC).

Idara ya Elimu Msingi ina shule 40 kati ya hizo 32 ni shule za Serikali na 8 ni shule binafsi. Ndani ya shule hizo zipo pia shule za awali kwa kila shule, vipo vituo vya Memkwa katika shule 10 ambazo ni Mtambani, Kiharaka, Kidongo Chekundu, Nianjema, Bigilo, Yombo, Mapinga, Kizuiani, Mtakuja na Zinga. Pia kipo kituo cha walimu TRC Majengo. Aidha zipo shule 3 ambazo zinatoa Elimu Maalumu kwa wanafunzi wenye ulemavu wa mtindio wa ubongo, na wasiosikia(viziwi).

MUUNDO WA KAMATI MBALIMBALI

Idara ya Elimu ina miundo wa uongozi kuanzia ngazi ya Wilaya hadi shuleni kama ifuatavyo:

   1.AFISAELIMU MSINGI WILAYA

   2.AFISA ELIMU TAALUMA

   3.AFISAELIMU VIFAA NA TAKWIMU

   4.AFISA ELIMU YA WATU WAZIMA

   5.AFISA ELIMU VIELELEZO

   6.AFISA ELIMU SAYANSI KIMU

   7.AFISA ELIMU UFUNDI

   8.AFISAELIMU  KILIMO

   9.AFISA ELIMU MAALUMU

   10.WARATIBU ELIMU KATA

   11.WARATIBU WA KITUO CHA WALIMU

   12.WALIMU WAKUU

   13.WALIMU DARASANI

TAKWIMU ZA SHULE KWA MWAKA 2017.

  • IDADI YA WANAFUNZI NA WALIMU
  • KATA
    SN
    JINA LA SHULE
    IDADI YA WANAFUNZI
    WAV
    WAS
    JML
    DUNDA
    1
    MWASAMA
    64
    75
    139
    NIANJEMA
    2
    SIRAJUL
    144
    153
    297
    3
    MARGERY KUHN
    164
    145
    309
    MAGOMENI
    4
    MARIAN
    241
    266
    507
    ZINGA
    5
    MAZZOLD
    162
    177
    339
    MAPINGA
    6
    ROYAL
    83
    121
    204
    7
    JOYFUL
    152
    156
    308
    KIROMO
    8
    PREMIER
    23
    19
    42
    JUMLA


    1033
    1112
    2145

    SHULE BINAFSI

    • KATA
    • SN
    • JINA LA SHULE
    • IDADI YA WANAFUNZIHADI 31.3.2017
    • IDADI YA WALIMU 18.8.2017
    • WAV
    • WAS
    • JML
    • ME
    • KE
    • JML
    • DUNDA
    • 1
    • KAOLE
    • 125
    • 117
    • 242
    • 4
    • 4
    • 8
    • 2
    • MBARUKU
    • 307
    • 323
    • 630
    • 7
    • 30
    • 37
    • 3
    • MWAMBAO
    • 282
    • 247
    • 529
    • 8
    • 23
    • 31
    • 4
    • MWANAMAKUKA
    • 310
    • 278
    • 588
    • 6
    • 17
    • 23
    • 5
    • UKUNI
    • 219
    • 204
    • 423
    • 4
    • 11
    15
    • NIANJEMA
    • 6
    • NIANJEMA
    • 1080
    • 1075
    • 2155
    • 10
    • 33
    • 43
    • 7
    • KCHEKUNDU
    • 746
    • 824
    • 1570
    • 4
    • 23
    • 27
    • KISUTU
    • 8
    • KIZUIANI
    • 636
    • 550
    • 1186
    • 11
    • 22
    • 33
    • MAGOMENI
    • 9
    • MAJENGO
    • 566
    • 536
    • 1102
    • 8
    • 33
    • 41
    • 10
    • JITEGEMEE
    • 568
    • 521
    • 1089
    • 7
    • 21
    • 28
    • MAKURUNGE
    • 11
    • BIGILO
    • 397
    • 361
    • 758
    • 6
    • 7
    • 15
    • 12
    • KITAME
    • 40
    • 31
    • 71
    • 4
    • 0
    • 4
    • KIROMO
    • 13
    • KIROMO
    • 604
    • 633
    • 1237
    • 8
    • 20
    • 28
    • 14
    • BUMA
    • 207
    • 205
    • 412
    • 2
    • 6
    • 8
    • 15
    • MATAYA
    • 166
    • 189
    • 355
    • 4
    • 5
    • 9
    • ZINGA
    • 16
    • MBEGANI
    • 69
    • 49
    • 118
    • 4
    • 9
    • 13
    • 17
    • PANDE
    • 76
    • 81
    • 157
    • 1
    • 9
    • 10

    • 18
    • KONDO
    • 162
    • 161
    • 323
    • 3
    • 4
    • 7
    • 19
    • MLINGOTINI
    • 254
    • 280
    • 534
    • 2
    • 9
    • 11
    • 20
    • ZINGA
    • 835
    • 758
    • 1593
    • 5
    • 25
    • 30
    • KEREGE
    • 21
    • KEREGE
    • 508
    • 507
    • 1015
    • 3
    • 26
    • 29
    • 22
    • MAPINGA
    • 456
    • 453
    • 909
    • 5
    • 30
    • 35
    • MAPINGA
    • 23
    • KIHARAKA
    • 641
    • 658
    • 1299
    • 6
    • 16
    • 22
    • 24
    • MTAMBANI
    • 1243
    • 1228
    • 2471
    • 5
    • 40
    • 45
    • YOMBO
    • 25
    • YOMBO
    • 412
    • 408
    • 820
    • 6
    • 10
    • 16
    • 26
    • MIEMBESABA
    • 296
    • 287
    • 583
    • 5
    • 4
    • 9
    • 27
    • KONGO
    • 375
    • 348
    • 723
    • 4
    • 8
    • 12
    • FUKAYOSI
    • 28
    • FUKAYOSI
    • 242
    • 247
    • 489
    • 4
    • 6
    • 10
    • 29
    • KIDOMOLE
    • 252
    • 203
    • 455
    • 3
    • 5
    • 8
    • 30
    • MKENGE
    • 171
    • 193
    • 364
    • 5
    • 2
    • 7
    • 31
    • MTAKUJA
    • 215
    • 185
    • 400
    • 3
    • 4
    • 7
    • 32
    • MWAVI
    • 343
    • 285
    • 628
    • 2
    • 9
    • 11


    • JUMLA KUU
    • 12803
    • 12425
    • 25228
    • 159
    • 473
    • 632


Malengo na majukumu ya idara ya Elimu Msingi.


 Kazi kubwa ya Idara ya Elimu Msingi ni kama ifuatavyo-:


i)Kuongeza uandikishaji Wanafunzi wa darasa la kwanza kwa kuzingatia fursa sawa.


ii)Kuinua ubora wa Elimu katika ngazi zote kwa Halmashauri.


iii)Kusimamia uwezo wa utendaji kazi wa Walimu.


iv)Kushughulikia masuala ya mtambuka na taratibu za kitaasisi (Shule za Msingi).


v) Kufanya utafiti wa Kielimu,ufuatiliaji na tathmini za Kielelimu.


vi)Kupunguza idadi ya watu wazima wasiojua kusoma na kuandika kwa kusimamia uanzishaji wa utoaji elimu kwa watu wazima.


vii)Kuinua ubora wa mazingira ya Kufundishia na kujifunzia wanafunzi wote.


viii)Kuongeza idadi ya madarasa na watoto wa shule za awali.


ix)  Kuhakikisha kuwa Elimu ya UKIMWI (VVU), Mazingira na stadi za maisha zinatolewa kwa ufanisi katika shule za msingi.


x)   Kusimamia upatikanaji na uwezeshaji wa mazingira kwa wanafunzi wenye Ulemavu.


  Mikakati  iliyopo  ili kuboresha elimu na kuinua kiwango cha taaluma na  kufanikisha mpango wa Matokeo Makubwa Sasa.(BRN)na

  Kutekeleza shughuli muhimu kulingana na ufinyu wa bajeti uliopo ni kama ifuatavyo;


 i)Kuboresha Taaluma kwa kugawa maafisa Elimu kila kata kwa ajili ya ufuatiliaji wa karibu wa Taaluma na matatizo ya walimu.


ii)Kuboresha miundo mbinu na mazingira ya kujifunza na kujifunzia kwa kutumia fursa zilizopo.


iii)Uendeshaji wa Semina mbalimbali za masomo na semina za kitaalamu na kufanya mrejesho shuleni.


iv)Kuwajengea uwezo Kamati  za Taaluma kwa kila shule ili kuweza kufanya upimaji na tathimini kupata mweleko wa Maendeleo ya Wanafunzi.


v)Kuimarisha Vyama (Clubs) za masomo mashuleni  .


vi)Kushirikiana na wadau mbalimbali wa Elimu ili kuboresha mazingira ya ufundishaji na ujifunzaji. Mfano Wazazi, watu binafsi na mashirika mbalimbalia na Makampuni.

Matangazo

  • TANGAZO LA ZABUNI YA KUWEKEZA KATIKA ENEO LA BADECO February 04, 2021
  • NAFASI ZA KAZI. 1. WAANDIKISHAJI WAPIGA KURA 167. 2. WAANDIKISHAJI WA AKIBA 167. September 11, 2019
  • Tangazo la nafasi za kazi Halamashauri ya wilaya Bagamoyo 2020. January 24, 2020
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI AFISA MWANDIKISHAJI MSAIDIZI NA BVR OPERATOR BAGAMOYO DC TAREHE 09/01/2020 February 07, 2020
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • ZAIDI YA MILIONI 200 KUTUMIKA KUANDAA MPANGO KABAMBE (MASTER PLAN)

    February 26, 2021
  • LINDENI MISITU YA MIKOKO:WAZIRI UMMY

    February 17, 2021
  • DC KAWAWA AAGIZA TARURA KUONDOA VIFUSI VYOTE BARABARANI

    February 02, 2021
  • BILIONI 41,860,877,939/- ZAPITISHWA KUWA BAJETI KUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA BAGAMOYO

    January 29, 2021
  • Angalia zote

Video

KAULI YA RAIS MAGUFULI WAKATI AKIZINDUA BARABARA YA BAGAMOYO - MSATA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 023 - 2440164

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo