• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
    • Baraza la Madiwani
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
      • Baraza la Madiwani
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • UKARIBISHO
        • service one
        • what we do
        • Utalii
        • Kaole Snake Park
        • Kaole Mamba Ranch
        • Completed
        • Elimu
        • Afya
        • Maji
        • Caravan Serai
        • Education
        • Ukaguzi wa Ndani
        • TAARIFA YA O& OD
        • Miradi iliyopendekezwa
        • Bajeti ya Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo
        • Maendeleo ya Jamii
        • Elimu Msingi
        • Elimu Sekondari
        • Ujenzi
        • Mfuko wa Jamii
        • Mifugo na Uvuvi
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
        • Idara ya Maji
        • Sheria ndogo za Halmashauri
        • Ardhi na Mipango Miji
        • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
        • Sheria
        • Ufugaji Nyuki
        • Usafishaji na Mazingira
        • Fedha na Biashara
        • Election Unit
        • Ugavi na Manunuzi
        • Maeneo ya Uwekezaji
        • TEHAMA na Uhusiano
        • Kupata Fomu Mbalimbali
        • Madiwani
        • Baraza la Madiwani
        • Orodha ya Wahe.Madiwani
        • Kamati za kudumu za Halmashauri
          • Elimu, Afya na Maji
          • Fedha, Uogozi na Mipango
          • Kamati ya UKIMWI
          • Kamati ya Maadili
          • Uchumi, Ujenzi, Mipango miji na Mazingira
        • Ratiba za Vikao vya Kisheria
        • Ratiba
          • Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
          • Ratiba ya Vikao vya Wahe. Madiwani
        • Mpango Mkakati
        • Bajeti ya Halmashauri
        • Mkataba wa huduma kwa Mteja
        • ZABUNI MBALI MBALI ZA UWAKALA
    • Baraza la Madiwani
  • Idara na Vitengo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Works
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Usafi na Mazingira
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Elimu Msingi
    • Kitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Election Unit
      • TEHAMA na Uhusiano
  • Huduma
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2018/2019
    • Mkataba wa huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MPYA
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

Kilimo Umwagiliaji na Ushirika

IDARA YA KILIMO, UMWAGILIAJI NA USHIRIKA

Idara inasimamiwa na Mkuu wa Idara hii Bi. Mary Kisimbo

Simu Na. 0788 766 641


Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika imegawanyika katika Vitengo Vikuu Vitatu(3) kama ifutavyo:-

(i) Kitengo cha Kilimo Mseto

(ii)Kitengo cha  Umwagiliaji

(iii) Kitengo cha Ushirika.

  • KITENGO CHA KILIMO MSETO WILAYANI

Eneo hili linajihusisha na Maendeleo ya kilimo cha mazao yote ikiwa ni pamoja na udhibiti wa magonjwa na visumbufu.

  • KITENGO CHA UMWAGILIAJI WILAYANI

Majukumu ya Kitengo cha Kilimo cha Umwagiliaji katika Halmashauri ya wilaya Bagamoyo ni kama ifutavyo:-

  • Kuandaa program za mafunzo kwa wakulima kutumia zana za kilimo
  • Kushiriki katika kufundisha wakulima na matumizi bora ya zana za kilimo
  • Kushiriki kutengeneza Michoro/Ramani za Umwagiliaji wilayani
  • Kushiriki katika Ujenzi wa Miradi ya Umwagiliaji Wilayani
  • Kushirikiana na mafundi sanifu wa Umwagiliaji kuwafundisha wakulima uendeshaji wa skimu za Umwagiliaji
  • Kukusanya takwimu za Skimu za Umwagiliaji wilayani
  • Kushiriki kuratibu  na kutoa huduma za umwagiliaji kwa vikundi vya Umwagiliaji  pamoja na matumizi ya Maji
  • Kuandaa mafunzo/Maonyesho ya matumizi ya zana za kilimo
  • Kufuatilia program za mafunzo ya wanyama kazi,  Mafundi wa Matrekta, na wakulima jinsi ya matumizi ya wanyama kazi na matrekta.
  • Kuwafundisha wakulima ujenzi wa Vihenge bora
  • Kushughulikia ubora wa zana na kuwashauri waagizaji na Matengenezo ipasavyo

Eneo linalofaa kwa Kilimo Cha Umwagiliaji Katika Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo.

Jedwali Na. 1 linafafanua.

NA
JINA LA SKIMU

ENEO LA KILIMO CHA UMWAGILIAJI

Eneo linalofaa (Ha)

Eneo linalomwagiliwa (Ha)

1

Kigongoni Prison

200

200

2

BIDP - Tegemeo

100

72

3

Makurunge A

200

200

4

Makurunge B

500

500

5

Gama

500

300

6

Kitame

400

30

7

Dunda Dam

50

50

8

Mdeme Irrigation Scheme

50

50

9

Turban Irrigation Scheme

1,600

1,600

10

Bagamoyo EcoEnergy (RAZABA)

20,000

0

JUMLA YA ENEO

23,600

3,002

 

Chanzo cha Takwimu: GPS Survey February, 2017.

NB: Haya ni Makadirio ya Eneo linalofaa kwa Kilimo Cha Umwagiliaji katika Halmashauri ya wilaya Bagamoyo ( Kwa Skimu za Serikali na Banafsi).

                                                         Baadhi ya Skimu za Umwagiliaji za Mpunga zinazopatikana katika Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • KITENGO CHA USHIRIKA WILAYANI

Majukumu ya Kitengo cha Ushirika wilayani ni kama ifutavyo:-

Kitengo cha Ushirika hushughulika au hufanya kazi kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Ushirika Na 6 ya mwaka 2013 pamoja na Kanuni ya vyama vya Ushirika ya mwaka 2015

Aidha Kitengo cha Ushirika pia hufanya kazi kwa maelekezo kupitia Waraka mbalimbali zinzotolewa na Mrajis wa vyama vya Ushirika Tanzania Bara.

Kazi zinazofanywa na Kitengo cha Ushirka ni pamoja na:-

  • Ukaguzi /Uchunguzi wa hesabu za Vyama vya Ushika
  • Kuandaa taarifa za mapato na matumizi na kuziwasilisha kwa Bodi na kuwasomea wanachama katika Mikutano mikuu.
  • Kutoa Elimu ya ushirika  katika makundi ya
  •             a)Wanachama
  •             b)Wajumbe wa Bodi
  •             c) Watendaji - Mkatibu, Waweka Hazina na Wahasibu
  • Kusimamia na kuendeleza vyama vya ushirika
  •             a) Kusimamia mikutano mikuu
  •             b) Kusajili vyama kutokana na matakwa ya wanaohitaji Ushirika
  • Kutoa ushauri wa kisheria kuhusiana na shughuli za Kiushirika

Kitengo cha Ushirika ni sehemu ya Halmashauri ya Wilaya, Hutekeleza kazi zote ambazo Halmashauri hupaswa kuzitekeleza kwa manufaa ya wananchi na Halmashauri kwa ujumla.

 

Vyama vya Ushirika vilivyopo katika Halmashauri yetu ni kama vinavyoonekana hapa cfhi katika jedwali Na. 1, Amcos, SACCOS na  vyama vingine vya ushirika. Halmashauri ya Bagamoyo ina vyama vya ushirika 94. Kama inavyooneshwa kwenye jedwali hapa chini

Jedwali Na. 1

NA
AINA YA VYAMA

IDADI

1.

SACCOS

57

2.

AMCOS

5

3.

VYAMA VINGINE

32

JUMLA

94

Matangazo

  • TANGAZO LA ZABUNI YA KUWEKEZA KATIKA ENEO LA BADECO February 04, 2021
  • NAFASI ZA KAZI. 1. WAANDIKISHAJI WAPIGA KURA 167. 2. WAANDIKISHAJI WA AKIBA 167. September 11, 2019
  • Tangazo la nafasi za kazi Halamashauri ya wilaya Bagamoyo 2020. January 24, 2020
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI AFISA MWANDIKISHAJI MSAIDIZI NA BVR OPERATOR BAGAMOYO DC TAREHE 09/01/2020 February 07, 2020
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • LINDENI MISITU YA MIKOKO:WAZIRI UMMY

    February 17, 2021
  • DC KAWAWA AAGIZA TARURA KUONDOA VIFUSI VYOTE BARABARANI

    February 02, 2021
  • BILIONI 41,860,877,939/- ZAPITISHWA KUWA BAJETI KUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA BAGAMOYO

    January 29, 2021
  • kikao maalumu cha kamati ya wataalamu C.M.T kupokea na kujadilimmapitio ya mpango na bajeti kwa mwaka 2020/2021 na mapendekezo ya bajeti ya mwaka 2021/2022.

    January 25, 2021
  • Angalia zote

Video

KAULI YA RAIS MAGUFULI WAKATI AKIZINDUA BARABARA YA BAGAMOYO - MSATA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 023 - 2440164

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo