• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
    • Baraza la Madiwani
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
      • Baraza la Madiwani
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • UKARIBISHO
        • service one
        • what we do
        • Utalii
        • Kaole Snake Park
        • Kaole Mamba Ranch
        • Completed
        • Elimu
        • Afya
        • Maji
        • Caravan Serai
        • Education
        • Ukaguzi wa Ndani
        • TAARIFA YA O& OD
        • Miradi iliyopendekezwa
        • Bajeti ya Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo
        • Maendeleo ya Jamii
        • Elimu Msingi
        • Elimu Sekondari
        • Ujenzi
        • Mfuko wa Jamii
        • Mifugo na Uvuvi
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
        • Idara ya Maji
        • Sheria ndogo za Halmashauri
        • Ardhi na Mipango Miji
        • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
        • Sheria
        • Ufugaji Nyuki
        • Usafishaji na Mazingira
        • Fedha na Biashara
        • Election Unit
        • Ugavi na Manunuzi
        • Maeneo ya Uwekezaji
        • TEHAMA na Uhusiano
        • Kupata Fomu Mbalimbali
        • Madiwani
        • Baraza la Madiwani
        • Orodha ya Wahe.Madiwani
        • Kamati za kudumu za Halmashauri
          • Elimu, Afya na Maji
          • Fedha, Uogozi na Mipango
          • Kamati ya UKIMWI
          • Kamati ya Maadili
          • Uchumi, Ujenzi, Mipango miji na Mazingira
        • Ratiba za Vikao vya Kisheria
        • Ratiba
          • Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
          • Ratiba ya Vikao vya Wahe. Madiwani
        • Mpango Mkakati
        • Bajeti ya Halmashauri
        • Mkataba wa huduma kwa Mteja
        • ZABUNI MBALI MBALI ZA UWAKALA
    • Baraza la Madiwani
  • Idara na Vitengo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Works
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Usafi na Mazingira
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Elimu Msingi
    • Kitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Election Unit
      • TEHAMA na Uhusiano
  • Huduma
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2018/2019
    • Mkataba wa huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MPYA
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

Mifugo na Uvuvi

IDARA YA MIFUGO NA UVUVI

Idara ya Mifugo na Uvuvi kinasimamiwa na Mkuu wa Idara Ndg. Daniel Sindi Pangani

Simu Na. 0655891498


 A: KITENGO CHA MIFUGO

 Halmashauri  ina mifugo mbalimbali kama ifuatavyo:- ng’ombe 38,690,  mbuzi  13,345, Kondoo  3,488, Nguruwe 1,614, Kuku 199,689 na Punda  182. Halmashauri  ina vijiji viwili (2) vya wafugaji ambavyo ni Mkenge na Fukayosi


1.Majukumu ya kitengo cha Mifugo


2.Kusimamia sera, sheria na kanuni za mifugo


3. Kusimamia na kudhibiti utoaji wa huduma za ugani


4. Kukusanya na kutunza takwimu mbalimbali  za Mifugo(idadi ya mifugo, uzalishaji, magonjwa ya mifugo na huduma nyinginezo)


5. Kuratibu na kusiamaia ubora na usalama wa mazao ya Mifugo kwa usalama wa jamii


6. Kutoa  ushauri juu ya njia sahihi za kuzuia magonjwa ya Mifugo (tiba, kinga/chanjo na uogeshaji)


7. Kusimamia utekelezaji wa Miradi mbalimbali ya maendeleo ya mifugo (Majosho, Minada, Malambo na Machinjio)


8. Kuratibu na kusimamia shughuli za usafirishaji wa mifugo na mazao yake


9. Kusimamia usambazaji wa pembejeo za mifugo na kuwezesha sekta binafsi kutoa huduma za mifugo


10. Kufanya ukaguzi wa nyama na  kutoa elimu ya uchunaji bora wa ngozi


11. Kushirikiana na taasisi mbalimbali za utafiti katika sekta ya Mifugo


12. Kutoa elimu juu ya uzalishaji, utunzaki na uendelezaji wa nyanda za malisho.

        

MAENEO YA UWEKEZAJI

1.Uchakataji wa mazao ya mifugo kama vile  Maziwa, ngozi na nyama


2.Ujenzi wa machinjio ya kisasa


3.Ujenzi wa miundombinu ya masoko ya mifugo( mnada)


4.Ujenzi wa vituo vya kutotolesha vifaranga


5.Uzalishaji wa mbuzi na mitamba ya kisasa kwa ajili ya uzalishaji wa maziwa


6.Vituo vya uhimilishaji ili kuboresha kosafu ya Ng`ombe wa asili


FOMU MBALIMBALI ZINAZOJAZWA NA WANANCHI ILI KUPATA HUDUMA


1.Fomu ya maombi ya usajili wa vituo vya Pembejeo za mifugo


2.Fomu ya maombi ya usajili wa Wadau wa Tasnia ya Nyama(Bodi ya Nyama)


3.Fomu ya kibali cha ufugaji ndani ya eneo la Mamlaka ya Mji Mdogo


4.Fomu ya maombi ya usajili wa vituo vya  kuchakata Ngozi kwa mujibu wa sheria ya ngozi


MAGONJWA YA MIFUGO

Baadhi Magonjwa yanayoweza kuambukizwa kutoka kwa wanyama kwenda kwa binadamu (Zoonotic diseases)

1. Kimeta

2. Kifua kikuu

3. Typhoid

4. Colibacillosis

5. Kichaa cha mbwa

6. Leptospirosis

7. Brucellosis


BAADHI YA MAGONJWA YA NG'OMBE

1.Ndigana kali

2.Ndigana baridi

3.Chambavu

4.Kimeta

5.Ndorobo

6.Homa ya mapafu.

7.Midomo na miguu

8.Ugonjwa wa kiwele

9.Maji moyo

10.Minyoo

11.Ugonjwa wa ngozi( Lumpy Skin)

12.Ugonjwa wa kutupa mimba(brucellosis)


Baadhi ya magonjwa ya mbuzi na Kondoo

1. Maji moyo

2. Homa ya mapafu

3. Sotoka ya Mbuzi na kondoo

4. Minyoo


Baadhi ya Magonjwa ya jamii ya ndege

1. Mdondo (Newcastle disease)

2.Koksidiosisi

3. Koryza (mafua)

4. Ndui

5. Minyoo

6. Typhoid

7. Colibacillosis

Magonjwa sumbufu na hatari kwa mbwa

1. Kichaa cha Mbwa

2. Leptospirosis

3. Kuhara damu (canine parvovirus infection)

4. Canine Distemper

5. Canine hepatitis

Magonjwa yanayozuilika kwa kutoa chanjo ni:-

Kimeta na chambavu  kwa ng`ombe, mbuzi na kondoo

1. Ndigana kali - ng`ombe

2. Homa ya mapafu kwa Ng`ombe na Mbuzi

3. Lumpy skin- Ng`ombe

4. PPR – mbuzi

5. Kutupa mimba (Brucellosis)-Ng`ombe

6. FMD- Ng`ombe

7. Kichaa cha mbwa – mbwa na paka

8. Distemper, Hepatitis, Leptospirosis na  Parvovirus(DHLP)-Mbwa

9. Newcastle disease – jamii ya ndege

10. Gumboro

11. Ndui

12. Typhoid

13. Mareck`s disease

 Namna ya kupata na kutumia chanjo

 Chanjo zinapatikana kwenye maduka/vituo vya kuuzia pembejeo za Mifugo. Pia unaweza kuwasiliana na Wataalam wa mMifugo kwa elimu na msaada zaidi.



KITENGO CHA UVUVI

MAJUKUMU YA KITENGO CHA UVUVI.


1. Kutekeleza Sera ya Uvuvi.

2 .Kusimamia uhifadhi wa samaki na viumbe wengine wa majini na mazingira yao.

3 .Kuratibu na kusimamia uhifadhiwa samaki na viumbe wengine wa baharini.

4. Kutoa ushauri wa kitaalam kuhusu uvuvi bora wa samaki na mazao ya uvuvi,Biashara na Masoko ya samaki pamoja na Ufugaji samaki na viumbe wengine        wa majini.

5. Kutoa leseni za uvuvi

6. Kuendesha mafunzo ya taaluma ya uvuvi.

7 .Kusimamia na kutekeleza Sheria za Uvuvi.

8. Kusimamia ukusanyaji wa Takwimu na maduhuli.

9. Kuratibu shughuli za utafiti wa uvuvi.

10.Kutoa ushauri juu ya uendelezaji wa matumizi ya rasilimali za uvuvi.

11.Kukagua ubora wa samaki na mazao ya uvuvi na kuweka viwango vya Kitaifa

MAENEO YA UWEKEZAJI YALIYOPO NA YANAYOHITAJI UWEKEZAJI

1.Ufugaji wa samaki katika mabwawa (uliopo).

2.Kiwanda cha uchakataji samaki (unaohitajika)


FOMU MBALIMBALI ZINAZOJAZWA

1.Fomu ya maombi ya leseni za uvuvi

2.Fomu ya maombi ya usajili wa vyombo vya uvuvi.

3.Fomu ya maombi ya leseni ya chombo cha uvuvi.

4.Kibali cha kusafirisha mazao ya uvuvi.

5.Fomu za maombi ya ufugaji wa samaki




Matangazo

  • TANGAZO LA ZABUNI YA KUWEKEZA KATIKA ENEO LA BADECO February 04, 2021
  • NAFASI ZA KAZI. 1. WAANDIKISHAJI WAPIGA KURA 167. 2. WAANDIKISHAJI WA AKIBA 167. September 11, 2019
  • Tangazo la nafasi za kazi Halamashauri ya wilaya Bagamoyo 2020. January 24, 2020
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI AFISA MWANDIKISHAJI MSAIDIZI NA BVR OPERATOR BAGAMOYO DC TAREHE 09/01/2020 February 07, 2020
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • ZAIDI YA MILIONI 200 KUTUMIKA KUANDAA MPANGO KABAMBE (MASTER PLAN)

    February 26, 2021
  • LINDENI MISITU YA MIKOKO:WAZIRI UMMY

    February 17, 2021
  • DC KAWAWA AAGIZA TARURA KUONDOA VIFUSI VYOTE BARABARANI

    February 02, 2021
  • BILIONI 41,860,877,939/- ZAPITISHWA KUWA BAJETI KUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA BAGAMOYO

    January 29, 2021
  • Angalia zote

Video

KAULI YA RAIS MAGUFULI WAKATI AKIZINDUA BARABARA YA BAGAMOYO - MSATA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 023 - 2440164

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo