• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe

Divisheni hiikatika Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo inaongozwa na Mkuu wa divisheni Dr. Kandi Lusingu.

Simu:  +255 716 633 913.

Email: kandi.lusingu@bagamoyodc.go.tz


Lengo

Kutoa huduma bora za afya, ustawi wa jamii na lishe kwa ustawi wa jamii.

Kazi

Idara itafanya kazi zifuatazo:-

(i) Kusimamia utekelezaji wa sera, sheria na taratibu za utoaji wa huduma za afya,

ustawi wa jamii na lishe;

(ii) Kuandaa mipango na programu za muda mfupi na mrefu za sekta ya afya katika

Halmashauri;

(iii) Kukuza ushiriki wa wadau mbalimbali katika shughuli za afya, ustawi wa jamii na

lishe;

(iv) Kutayarisha na kuwasilisha taarifa za huduma za afya, ustawi wa jamii na lishe

kwa mamlaka husika;

(v) Kuandaa mikakati ya udhibiti wa magonjwa ya kuambukiza na yasiyoambukiza;

(vi) Kusimamia miradi ya afya, ustawi wa jamii na lishe; na

(vii) Kusimamia kanzidata ya masuala ya afya, ustawi wa jamii na huduma za lishe.


Idara hii itaongozwa na Mkuu ambaye pia atakuwa Mganga Mfawidhi wa Halmashauri

(CMoH). Idara itakuwa na Sehemu tatu (3) kama ifuatavyo:-

(i) Sehemu ya Huduma za Afya;

(ii) Sehemu ya Ustawi wa Jamii; na

(iii) Sehemu ya Huduma za Lishe

.

3.2.1 Sehemu ya Huduma za Afya

Sehemu hii itafanya shughuli zifuatazo:-

(i) Kuchambua, kutafsiri na kusimamia utekelezaji wa Sera, Sheria, na Taratibu za

huduma za afya;

(ii) Kushauri kuhusu uratibu na kujenga uwezo wa huduma za afya;

(iii) Kuandaa mipango na programu za muda mfupi na mrefu za huduma za afya;

(iv) Kutoa ushauri wa kitaalamu kwa wadau kuhusu masuala ya huduma za afya; na

(v) Kufanya ufuatiliaji na tathmini ya magonjwa ya mlipuko, kuzuia magonjwa

yasiyoambukiza, ya kuambukiza na yanayoweza kujitokeza katika vituo vyote, jamii

na sehemu za kuingilia.

Sehemu hii itaongozwa na Afisa Mfawidhi.


3.2.2 Sehemu ya Ustawi wa Jamii

Kitengo kitafanya shughuli zifuatazo:-

(i) Kuchambua, kutafsiri na kusimamia utekelezaji wa sera, sheria na taratibu za

uboreshaji wa ustawi wa jamii;

(ii) Kuandaa mipango na miradi ya muda mfupi na mrefu ya Ustawi wa Jamii;

(iii) Kusimamia utekelezaji wa mipango na miradi ya ustawi wa jamii;

(iv) Kuratibu na kusimamia miradi yote inayohusu Ustawi wa Jamii; na

(v) Kutayarisha ripoti zinazohusiana na ustawi wa jamii.

Sehemu hii itaongozwa na Afisa Mfawidhi.


3.2.3 Sehemu ya Huduma za Lishe

Kitengo kitafanya shughuli zifuatazo:-

(i) Kuchambua, kutafsiri na kusimamia utekelezaji wa sera, sheria na taratibu za

uboreshaji lishe;

(ii) Kuandaa mipango na miradi ya muda mfupi na mrefu ya lishe;

(iii) Kusimamia utekelezaji wa mipango na miradi ya lishe;

(iv) Kuratibu na kusimamia miradi yote inayohusu lishe;

(v) Kutayarisha taarifa zinazohusiana na lishe ya jamii;

(vi) Kuhamasisha jamii kuhusu masuala ya lishe;

(vii) Kufuatilia na kutathmini utoaji wa huduma za lishe katika Halmashauri;

(viii) Kukusanya na kuchambua taarifa za huduma za lishe; na

(ix) Kutoa huduma za lishe kwa watoto, watu wazima na watu wenye mahitaji maalum.

Sehemu hii itaongozwa na Afisa Mfawidhi.



Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MKUU WA WILAYA AFANYA MAZUNGUMZO NA BODI YA UTALII..

    May 15, 2025
  • AFISA MWANDIKISHAJI ATOA WITO KWA WANANCHI KWENDA KUJIANDIKISHA...

    May 14, 2025
  • BAGAMOYO KUJITANGAZA KIMATAIFA SEKTA YA UTALIII...

    May 10, 2025
  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo