• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

UPIMAJI NA MATIBABU KWA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZWA KATIKA UWANJA WA SM MAJENGO TAR 14/10/2020

13 October 2020

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo Bi. Fatuma O. Latu anawatangazia Wananchi wote wa Bagamoyo kuwa Idara ya Afya, Hospitali ya Wilaya ya Bagamoyo, Kitengo cha Magonjwa yasiyoambukiza cha Hospitali ya Wilaya ya Bagamoyo Wakishirikiana na Kitengo cha Magonjwa yasiyoambukiza cha  Hospital ya Rufaa ya Muhimbili na Kitengo cha Siko Seli cha  Chuo Kikuu cha Tiba ya Sayansi  Muhimbili (MUHAS) Wanatarajia  kushiriki kumbukizi ya kifo cha Baba wa Taifa na Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Mwl. J.K. nyerere kwa kutoa Elimu ya Afya na Kupima Magonjwa yasiyoambukiza Katika Viwanja vya Shule ya Msingi Majengo, Siku ya Tarehe 14/10/2020, Kuanzia saa 3:00 asubuhi mpaka saa 11:00 Jioni.

Huduma zote zitatolewa BURE.Huduma zitakazotolewa ni pamoja na; Upimaji wa Shindikizo la damu, Kupima Kisukari, Kupima Siko Seli, Kupima Saratani ya Mlango wa Kizazi, Kupima Macho, Kupima Afya ya Kinywa na meno kwa watoto wa darasa la tatu na darasa la nne, Kupima hali ya Lishe (BMI) na Kujiunga na Uzazi wa Mpango Huduma zingine zitakazotolewa ni pamoja na; Kujiunga na BIMA ya Afya ya NHIF, Kujiunga na BIMA ya Afya iliyoboreshwa (iCHF), Uchangiaji wa damu  salama kwa ajili ya wajawazito, Watu wenye Siko Seli na Elimu kuhusu UKATILI wa kijinsiaKwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa simu Namba 0784315411 Rehema Kingu Mratibu wa Magonjwa yasiyoambukiza Wilaya ya Bagamoyo na Dr. Agnes Jonathan Daktari Bingwa Magonjwa ya Siko Seli kutoka Chuo Kikuu Cha Tiba na Sayansi Muhimbili (MUHAS) Namba. 0759431294

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • WAPENI ELIMU WANANCHI KUHUSU UGOJWA WA MPOX...

    March 17, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo