• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

Bajeti ya Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo

HALMASHAURI YA WILAYA YA BAGAMOYO

Halmshauri inatarajia kupokea na kutumia jumla ya Tshs. 39,574,557,672/= kwa mwaka wa fedha 2017/2018 ikiwa Ruzuku ya Miradi ya maendeleo ni Tshs. 10,973,713,305/= Ruzuku ya Matumizi mengineyo Tshs. 1,366,478,000/= na Mishahara Tshs. 23,967,656,000/= na Mapato ya ndani Tshs. 3,266,710,367/=. Aidha mchanganuo wa umbile la Bajeti kwa mwaka 2017/2018 ni kama inafuatavyo:

1.0:    MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI 2017/2018

1.1:    MAPATO:

 

Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo kwa mwaka wa fedha 2017/2018, imeidhinishiwa kukusanya jumla ya Tshs. 39,574,557,672 kutoka katika vyanzo vya mapato ya ndani, Ruzuku toka Serikali kuu na Wahisani mbalimbali kwa mchanganuo ufuatao:-

Na.

ENEO LA MAPATO

MAKISIO

1
Vyanzo vya ndani matumizi ya kawaida

934,970,851

2
Mishahara (Mapato ya ndani)

112,820,000

3
Miradi ya maendeleo (Mapato ya ndani yasiyo na masharti)

1,571,686,276

4
Miradi ya maendeleo (Mapato ya  ndani yenye masharti)

647,233,240

 
JUMLA NDOGO (MAPATO YA NDANI)

3,266,710,367

1
Ruzuku toka Serikali Kuu (OC)

1,366,478,000

2
Mishahara (Ruzuku toka serikali kuu)

23,967,656,000

3
Ruzuku ya Miradi ya Maendeleo

10,973,713,305

 
JUMLA NDOGO( RUZUKU)

36,307,847,305

 
JUMLA KUU

39,574,557,672

 

                                                       

1.2.: MAPATO YA NDANI

 

Halmashauri inakadiria kukusanya Kiasi cha Tshs 3,266,710,367 kutokana na vyanzo vya ndani kwa Mchanganuo ufuatao:-

NA
IDARA
CHANZO CHA MAPATO

MAKISIO KWA MWAKA 2016/2017

MAKISIO KWA MWAKA 2017/2018

 
Idara Ya Kilimo, Umwagiliaji Na Ushirika
Zao La Korosho (Jumla Ya Kilo 156,000 Zinatarajiwa Kuvunwa Na Kiwango Cha Ushuru Kwa Kilo Ni Sh. 50)

5,085,000

7,800,000

 
 
Matunda (Wastani ushuru wa matunda 500,000 x 12

27,750,000

6,000,000

 
 
Zao La Mpunga (Wastani Wa Kilo 147,500 Zitavunwa Na Ushuru Kwa Kilo Ni Sh. 24

7,240,000

3,540,000

 
JUMLA KUU KILIMO

40,075,000

17,340,000

2
IDARA YA UJENZI
Ushuru Wa Kokoto, Mchanga Na Kifusi (Makadiri Ya Mapato Kwa Siku Ni 3,000,000xSiku 30xMIEZI 12)

300,000,000

1,080,000,000



Ushuru Wa Mabango (Makadirio Ya Mapato Kwa Mwezi Ni Sh.5,000,000xMiezi 12)

55,800,000

60,000,000



Vibali Vya Ujenzi (Makadirio Ya Majengo Mapya 10x30,000x12)

32,000,000

3,600,000



Ushuru Wa Bus Stand (Makadirio Kwa Siku Ni Sh. 300,000xSiku 30x12)

45,600,000

108,000,000

 
JUMLA KUU UJENZI

433,400,000

1,251,600,000

3
Kitengo Cha Manunuzi
Maombi Ya Zabuni

10,000,000

10,000,000

 
JUMLA NDOGO KITENGO CHA MANUNUZI

10,000,000

10,000,000

4
Idara Ya Ardhi, Maliasili Na Utalii
Ushuru Wa Chumvi(Jumla Ya Tsh. 42,000,000 Zitakusanywa Ikiwa Ni Ushuru Wa Chumvi Kutoka Kwa Hj Stanley Na Sea Salt, Pia Tsh. 3,000,000 Zitakusanywa Kutoka Kwa Wachimbaji Wadogo 5@600,000 Kwa Mwaka)  

8,250,000

45,000,000



Kodi Ya Jengo/Property Tax (Kiasi Cha Tsh. 200,000,000 Kitakusanywa Kama Kodi Ya Majengo 10,000 @ 20,000 Katika Kata 11

134,520,000

200,000,000



Fomu za maombi
Kiasi cha Tshs. 40,520,000 kitakusanywa kwa kutoa fomu 2026 kila moja Tshs. 20,000

40,520,000

40,520,000



Hati milki za kimila

50,000,000

5,000,000



Kamisheni Ya Ukusanyaji Wa Kodi Ya Pango La Ardhi 30% (Kiasi Cha Tsh.200,000,000 Kitakusanywa Kama Kamisheni Ya Ukusanyaji Wa Kodi Ya Pango La Viwanja Ambapo Kila Robo Kiasi Cha Tsh.50,000,000 Kitarejeshwa Kutoka Wizara Ya Ardhi

670,177,000

200,000,000



Kamisheni Ya Uuzaji Wa Viwanja (Ppp) 10% (Pdrf) (Kiasi Cha Shilingi 50,000,000 Kitakusanywa Kama Kamisheni Ya 10% Ya Uuzaji Wa Viwanja Shirikishi Ambapo Vitauzwa Viwanja 120 Kwa Wastani Ya Mita Za Mraba 700 Kwa Wastani Wa Bei Ya Sh. 6,000 Kwa Kila Mita Ya Mraba

120,000,000

50,000,000



Ushuru Wa Mazao Ya Misitu (Tsh. 110,000,000 Zitakusanywa Kama Ushuru Wa Mazao Ya Misitu Ambapo Kila Mwezi Kiasi Cha Shilingi 9,166,666.67 Kitakusanywa

13,200,000

110,000,000



Uuzaji Wa Viwanja 2,500 (Kiasi Cha Tsh. 300,000,000 Kitakusanywa Kwa Uuzaji Wa Viwanja 2,500

617,400,000

300,000,000

 
Jumla Ardhi
1,563,547,000

950,520,000

5
UTAWALA
Ukodishaji Wa Nyumba




Ukodishaji Wa Ukumbi Mkubwa Na Ukumbi Mdogo

0

2,250,000



Mauzo ya vitabu

2,405,000




Vibali vya kumbi na sanaa




Ada ya Shule



Jumla Utawala

2,405,000

2,250,000


FEDHA NA BIASHARA
Kodi Ya Vyumba Bus Stand



Maduka 2@150,000xMiezi 12

3,600,000


Service Bay 1@150,000xMiezi 12

1,800,000


Mgahawa 1@150,000xMiezi 12

1,800,000

 
JUMLA NDOGO

42,288,000

7,200,000



Ushuru Wa Soko/Vizimba




Soko Jipya Vizimba 25x10,000xMiezi 12

3,000,000



Soko Jipya Magomeni Vizimba 70x10,000xMiezi 12

8,400,000



Soko La Saemul Vizimba 24x10,000xMiezi 12

2,880,000



Soko La Uhindini Vizimba 25x10,000xMiezi 12

3,000,000



Soko La Tandika Vizimba 21x10,000x12

2,520,000



Vibanda Vya Kuku soko la Tandika (wastani wa vibanda 7 x10,000 x12

840,000



Vibanda Vya Kuku soko jipya 12x10,000x12

1,440,000



Ushuru wa vibanda vinavyozunguka soko jipya ( vibanda 96 x 30,000 x 12)

0

34,560,000

 
Jumla Ndogo 

4,980,000

56,640,000



Ushuru Wa Magulio




Dunda Tsh.190,000x4/Mwezix12

9,120,000



Kerege Tsh.60,000x4x12

2,880,000

 
Jumla Ndogo 

 

12,000,000



Ushuru Wa Hotel (Wageni80x50,000x12

46,080,000

48,000,000

 
JUMLA NDOGO 

48,000,000



USHURU WA HUDUMA




Kiasi Cha Tshs.45,000,000 Kitakusanywa Kama Ushuru Wa Huduma Ambapo @Mwezi Tshs. 3750,000 Zitakusanywa Kutoka Kwenye Makampuni, Taasisi Na Viwanda 45

40,600,800

45,000,000

 
JUMLA NDOGO 

45,000,000



LESENI ZA VILEO




Leseni Za Vileo-Bar (Bar 55x40,000x2)

4,400,000



Leseni Za Vileo-Grosary (Grocery 120x30,000x2)

7,200,000


Jumla Ndogo 

       5,360,000 

11,600,000

NA
IDARA
CHANZO CHA MAPATO

MAKISIO KWA MWAKA 2016/2017

MAKISIO KWA MWAKA 2017/2018



LESENI ZA BIASHARA




Leseni Za Biashara Kubwa ( Biashara Kubwa 250x150,000)

37,500,000



Leseni Za Biashara Za Kati (Biashara Za Kati 650x50,000)

32,500,000



Leseni Za Biashara Ndogo (Biashara Ndogo1,000x20,000)

20,000,000

 
JUMLA NDOGO 

75,050,000

90,000,000


JUMLA KUU  FEDHA NA BIASHARA

235,820,000

 
JUMLA KUU  FEDHA, BIASHARA NA UTAWALA

238,070,000

6
IDARA YA MIFUGO NA UVUVI
Ushuru Wa Machinjio

8,280,000

13,564,500


Ushuru Wa Masoko Na Minada (Wastani Wa Ng'ombe 250 Kwa Mwezi

9,000,000


Usajili Wa Vyombo

100,000


Ushuru Wa Samaki 10% Ya Mauzo

56,400,000

191,440,806


Leseni Za Vyombo Vya Uvuvi (Jumla Ya Vyombo 363x20,000)

8,640,000

24,135,000

Leseni Za Uvuvi (Idadi Ya Wavuvu 1609x20,000

0

46,182,372

Ukusanyaji Wa Samaki (Wakusanyaji Wa Samaki 50x9,100

0

455,000

Ushuru Wa Maegesho Ya Boti 30x500/= Kwa Siku 30

0

540,000



Adhabu na Faini


 
JUMLA MIFUGO NA UVUVI

77,092,000

285,417,678

7
USAFI NA MAZINGIRA
Ushuru Wa Choo (Wastani 416,667xVyoo 5 Kwa Miezi 12

14,352,000

25,000,000

Ukaguzi Wa Majengo Ya Biashara(Wastani Kwa Siku 18,930xSiku 365))

6,361,200

6,909,450

Jumla Usafi Na Mazingira

20,713,200

31,909,450

8
IDARA YA AFYA
Health Service Fund (Cost Sharing)

180,000,000

274,033,240

CHF

54,400,000

54,400,000

DRF

64,800,000

64,800,000

NHIF

54,000,000

54,000,000

 
 
JUMLA AFYA

353,200,000

447,233,240

Jumla Kuu Makisio Ya Mapato Ya Ndani

2,801,539,000

3,266,710,367

 

1.3.: MAPATO YA RUZUKU YA MATUMIZI YA KAWAIDA 

Halmashauri inatarajia kupokea kiasi cha Tshs. 25,334,134,000 kutoka Serikali kuu zikiwemo Tshs. 23,967,656,000 Mishahara na Tshs. 1,366,478,000 ikiwa ni Ruzuku ya Matumizi ya kawaida kwa Mchanganuo ufuatao:- 

MAPATO YA RUZUKU YA KAWAIDA

NA

MAELEZO

OC & MISHAHARA

MAPENDEKEZO YA BAJETI 2017/2018

BAJETI IDHINISHWA 2017/2018

1
IDARA YA UTAWALA NA VITENGO VYAKE
OC
270,259,000

196,327,000


MISHAHARA

3,367,434,920

2,909,134,000

2
IDARA YA ELIMU MSINGI
OC

635,074,000

434,184,000

MISHAHARA

7,411,728,000

8,900,830,000

3
IDARA YA ELIMU SEKONDARI
OC

971,615,789

373,481,000

MISHAHARA

6,245,764,000

7,021,375,000

4
IDARA YA AFYA
OC

91,616,998

271,958,000

MISHAHARA

6,406,440,000

4,321,345,000

5
IDARA YA UJENZI
OC

9,847,000

22,794,000

MISHAHARA

158,938,000

145,814,000

6
7
IDARA YA MAJI
OC

10,715,000

13,859,000

MISHAHARA

251,124,000

141,691,000

8
IDARA YA KILIMO
OC

20,885,000

32,325,000

MISHAHARA

547,604,000

285,227,000

9
IDARA YA MIFUGO NA UVUVI
OC

7,980,000

21,550,000

MISHAHARA

371,850,000

242,240,000

 
JUMLA 
OC

2,017,992,787

1,366,478,000

MISHAHARA

24,760,882,920

23,967,656,000

 
JUMLA KUU
 

26,778,875,707

25,334,134,000

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

1.4: MAPATO YA RUZUKU YA MIRADI YA MAENDELEO.

 

Halmashauri kwa upande wa Ruzuku ya Maendeleo inatarajia kupokea kutoka Serikali kuu kiasi cha Tshs. 10,973,713,705 kwa ajili ya utekelezaji wa Miradi mbalimbali kama inavyoonekana katika Jedwali lifuatalo:-

MAPATO YA RUZUKU YA MIRADI YA MAENDELEO

 

NA
MAELEZO
MAPENDEKEZO YA BAJETI 2017/2018

BAJETI IDHINISHWA 2017/2018

1
SEDP
466,336,000
466,336,000
2
FEDHA ZA ELIMU BURE(ELIMU SEKONDARI)
0
453,273,000
3
FEDHA ZA ELIMU BURE(ELIMU MSINGI)
0
249,632,000
4
TASAF
4,268,369,790.40
4,268,369,993
5
ROAD FUND
2,118,417,000
2,118,417,000
6
MFUKO WA JIMBO BAGAMOYO
31,828,912
39,238,000
7
LGCDG
422,990,000
927,275,000
9
DADP/DIDF
294,000,000
294,000,000
10
NRWSSP
935,100,000
319,827,000
11
BASKET FUND
202,220,000
240,740,000
12
LDF-SKIN
3,926,455
10,415,000

JUMLA NDOGO
8,743,188,157.4
9,387,522,993
13
BENKI YA DUNIA (AFYA)
2,906,206,997
616,000,000
14
NTD
0
61,000,000
15
THPS
50,000,000
51,100,908
16
GLOBAL FUND
0
835,300,604
17
EGPATH
0
22,788,800
 
JUMLA NDOGO
2,956,206,997
1,586,190,312
JUMLA KUU
11,699,395,154.4
10,973,713,305

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

2.0:    MAKISIO YA MATUMIZI:  

 

Kwa kipindi cha mwaka wa fedha wa 2017/2018 Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo inatarajia kutumia kiasi cha Tshs. 39,574,557,672 kwa ajili ya mishahara, uendeshaji wa shughuli za Halmashauri na utekelezaji wa miradi ya maendeleo kama ifuatavyo:

Na.

ENEO LA MAPATO

MAKISIO

1
Vyanzo vya ndani matumizi ya kawaida

934,970,851

2
Mishahara (Mapato ya ndani)

112,820,000

3
Miradi ya maendeleo (Mapato ya ndani yasiyo na masharti)

1,571,686,276

4
Miradi ya maendeleo (Mapato ya  ndani yenye masharti)

647,233,240

 
JUMLA NDOGO (MAPATO YA NDANI)

3,266,710,367

1
Ruzuku toka Serikali Kuu (OC)

1,366,478,000

2
Mishahara (Ruzuku toka serikali kuu)

23,967,656,000

3
Ruzuku ya Miradi ya Maendeleo

10,973,713,305

 
JUMLA NDOGO( RUZUKU)

36,307,847,305

 
JUMLA KUU

39,574,557,672

 

2.1: MATUMIZI YA MAPATO YA NDANI

 

Halmashauri kwa upande wa Mapato ya Ndani inatarajia kutumia kiasi cha Tshs 3,266,710,367/= ambapo kiasi cha Tshs 1,047,790,851/= kitatumika kwa Matumizi ya kawaida na Tshs 2,218,919,516/= zimeelekezwa kwenye Miradi ya Maendeleo kwa mchanganuo ufuatao;

MCHANGANUO WA MATUMIZI YA FEDHA ZITOKANAZO NA VYANZO VYA NDANI

 

IDARA/VITENGO         

MATUMIZI MENGINEYO

MIRADI

JUMLA

Utawala na 20% vijiji

169,361,560

523,895,425.60

693,256,985.6
Utumishi na Utawala

151,060,000

0

151,060,000

Elimu msingi

15,000,000

230,000,000

245,000,000

Elimu Sekondari

12,000,000

90,000,000

102,000,000

Maji

16,000,000

0

16,000,000.0

Afya

24,500,000

80,000,000

104,500,000

Mifugo  na Uvuvi

30,000,000

35,749,249

65,749,249

Ujenzi

15,000,000

49,093,888

64,093,888

Ardhi

33,000,000

0

33,000,000

Maliasili

13,000,000

10,000,000

23,000,000

Kitengo cha Wanyama Pori

14,000,000

0

14,000,000.0

Kitengo cha Misitu

13,000,000

0

13,000,000

Kitengo cha Nyuki

17,000,000

0

17,000,000.0

Kilimo na ushirika

33,557,500

50,000,000

83,557,500.0

Usafi na mazingira

17,000,000

53,000,000

70,000,000

M/Jamii

26,000,000

0

26,000,000.0

M/Jamii - Mkopo kwa Wanawake

0

130,973,856

130,973,856

M/Jamii - Mkopo kwa Vijana

0

130,973,856

130,973,856

Kitengo cha Ukimwi

6,000,000

0

6,000,000.0

TASAF

0

44,000,000

44,000,000.0

Fedha

131,000,000

10,000,000

141,000,000

Kitengo cha Biashara

20,000,000

0

20,000,000.0

Mamlaka ya Mji mdogo

94,000,000

0

94,000,000.0

Idara ya Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji

93,400,000

134,000,000

227,400,000

Kitengo cha Sheria

18,000,000

0

18,000,000.0

Kitengo cha Uchaguzi

26,000,000

0

26,000,000.0

Kitengo cha manunuzi

35,000,000

0

35,000,000.0

Kitengo cha mkaguzi wa ndani

18,000,000

0

18,000,000.0

Kitengo cha Tehama

6,911,791

0

6,911,791

Jumla Kuu Matumizi Ya Mapato Ya Ndani Yasiyo Na Masharti

1,047,790,851

1,571,686,276

2,619,477,127

UKOMO WA MATUMIZI YA MAPATO YA NDANI YENYE MASHARTI 

Heath Service Fund(HSF)

0

274,033,240

274,033,240

Community Health Fund(CHF)

54,400,000

54,400,000

Drugs Revolving Fund(DRF)

0

64,800,000

64,800,000

National Health Insurance Fund(NHIF)

0

54,000,000

54,000,000

PDRF

0

200,000,000

200,000,000

JUMLA KUU MAPATO YA NDANI YENYE MASHARTI

0

647,233,240

647,233,240

JUMLA KUU MAPATO YA NDANI

1,047,790,851

2,218,919,516

3,266,710,367

 

 

2.2: RUZUKU YA MATUMIZI YA KAWAIDA (OC)

Halmashauri inatarajia kutumia kiasi cha Tshs. 25,334,134,000 kutoka Serikali kuu zikiwemo Tshs. 23,967,656,000 Mishahara na Tshs. 1,366,478,000 ikiwa ni ruzuku ya matumizi ya kawaida kwa mchanganuo ufuatao:- 

NA

MAELEZO

OC & MISHAHARA

MAPENDEKEZO YA BAJETI 2017/2018

BAJETI IDHINISHWA 2017/2018

1
IDARA YA UTAWALA NA VITENGO VYAKE
OC
270,259,000

196,327,000


MISHAHARA

3,367,434,920

2,909,134,000

2
IDARA YA ELIMU MSINGI
OC

635,074,000

434,184,000

MISHAHARA

7,411,728,000

8,900,830,000

3
IDARA YA ELIMU SEKONDARI
OC

971,615,789

373,481,000

MISHAHARA

6,245,764,000

7,021,375,000

4
IDARA YA AFYA
OC

91,616,998

271,958,000

MISHAHARA

6,406,440,000

4,321,345,000

5
IDARA YA UJENZI
OC

9,847,000

22,794,000

MISHAHARA

158,938,000

145,814,000

6
7
IDARA YA MAJI
OC

10,715,000

13,859,000

MISHAHARA

251,124,000

141,691,000

8
IDARA YA KILIMO
OC

20,885,000

32,325,000

MISHAHARA

547,604,000

285,227,000

9
IDARA YA MIFUGO NA UVUVI
OC

7,980,000

21,550,000

MISHAHARA

371,850,000

242,240,000

 
JUMLA 
OC

2,017,992,787

1,366,478,000

MISHAHARA

24,760,882,920

23,967,656,000

 
JUMLA KUU
 

26,778,875,707

25,334,134,000

2.3: RUZUKU YA MIRADI YA MAENDELEO

 

Kwa mwaka wa Fedha 2017/2018 Halmashauri kwa upande wa Ruzuku ya Maendeleo imeidhinishiwa kutumia kutoka Serikali kuu kiasi cha Tshs. 10,973,713,305 kwa ajili ya utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo kama ivyoonekana katika Jedwali lifuatalo:-

NA
MAELEZO
MAPENDEKEZO YA BAJETI 2017/2018

BAJETI IDHINISHWA 2017/2018

1
SEDP
466,336,000
466,336,000
2
FEDHA ZA ELIMU BURE(ELIMU SEKONDARI)
0
453,273,000
3
FEDHA ZA ELIMU BURE(ELIMU MSINGI)
0
249,632,000
4
TASAF
4,268,369,790.40
4,268,369,993
5
ROAD FUND
2,118,417,000
2,118,417,000
6
MFUKO WA JIMBO BAGAMOYO
31,828,912
39,238,000
7
LGCDG
422,990,000
927,275,000
9
DADP/DIDF
294,000,000
294,000,000
10
NRWSSP
935,100,000
319,827,000
11
BASKET FUND
202,220,000
240,740,000
12
LDF-SKIN
3,926,455
10,415,000

JUMLA NDOGO
8,743,188,157.4
9,387,522,993
13
BENKI YA DUNIA (AFYA)
2,906,206,997
616,000,000
14
NTD
0
61,000,000
15
THPS
50,000,000
51,100,908
16
GLOBAL FUND
0
835,300,604
17
EGPATH
0
22,788,800
 
JUMLA NDOGO
2,956,206,997
1,586,190,312
JUMLA KUU
11,699,395,154.4
10,973,713,305

Aidha, Kwa mwaka wa Fedha 2017/2018 Halmashauri imeidhinishiwa kukusanya na kutumia kiasi cha Tshs 39,574,557,672/= kwa ajili ya utekelezaji wa shughuli za Utoaji Huduma na Miradi ya Maendeleo. Mchanganuo wa miradi ya Maendeleo umeambatanishwa:-

 
 
 
 
 
 
 
 
 
MCHANGANUO  WA MIRADI YA MAENDELEO ITOKANAYO NA  MAPATO YA NDANI 
NA:
IDARA/SEKTA
MAKISIO
 
 
 
1
Vijiji  20%

523,895,425.60

2
Elimu Msingi

 


Ujenzi wa matundu ya vyoo:-


Shule ya Msingi Nianjema matundu 2

5,113,849.14


 Shule ya Msingi Mlingotini 2

5,113,849.15


Shule ya msingi Kondo 2

5,113,849.15


Shule ya Msingi Mtoni(mpya) matundu 4

10,227,698.3


Shule ya Msingi Mwavi matundu 2

5,113,849.15


Shule ya Msingi Mtakuja matundu 4

10,227,698.3


Shule ya Msingi Mapinga matundu 4

10,227,698.3

 
Jumla ndogo 

51,138,491.49


Kujenga vyumba 10 vya madarasa


Shule ya msingi Jitegemee 2

13,891,079.32


Shule ya msingi Kimele(mpya) 2

13,891,079.32


Shule ya msingi Mfuru(awali) 1 kata ya Yombo

6,945,539.66


Shule ya msingi Kerege 2

13,891,079.32


Shule ya msingi Kizuiani 3

20,836,618.98

 
Jumla ndogo

69,455,396.6


Ukarabati wa vyumba 11 vya madarasa


Shule ya msingi Mataya (awali) 1

810,000


Shule ya msingi  Buma 2

1,700,000


Shule ya msingi Mlingotini 4

2,840,000


Shule ya msingi Kondo 4

2,150,000

 
Jumla ndogo

7,500,000


Ujenzi wa ofisi 2 za walimu


Shule ya msingi  Kidomole 1

5,500,000


Shule ya msingi  Mtoni(mpya) 1

5,500,000

 
Jumla ndogo

11,000,000


Kukamilisha nyumba 2 za walimu


Shule ya msingi  Yombo

5,500,000


Shule ya msingi  Kidomole

5,500,000


Jumla ndogo

11,000,000 

 
Ujenzi wa madarasa 16

 

 
(Nianjema 06, Chambezi 02, Kitopeni 04, Mtoni 02 na Mkwajuni 02)

80,000,000

 
Jumla kuu Elimu msingi

230,000,000

3
Mifugo & Uvuvi

 


Ukarabati wa ofisi ya Idara ya mifugo

1,420,000


Ujenzi wa choo cha ofisi ya mifugo

5,370,000


Kufanya Doria 8  katika fukwe za bahari ili kuzuia uvuvi haramu

1,606,000


Kujenga uzio katika machinjio ya Sanzale

10,000,000


Kujenga tanuri la kukaushia samaki Bagamoyo na Nane Nane

1,500,000


Ununuzi wa Jokofu za kutunza samaki katika soko la dunda

2,100,000


Kujenga vichanja 4 vya kukaushia samaki katika soko la dunda

1,000,000


Kujenga kituo cha kuzalishia samaki wilayani Bagamoyo

1,360,000


Kukarabati msingi wa soko la samaki Dunda

1,592,249


Kujenga mazizi 2 ya wanyama kwenye uwanja wa Nane Nane
           2,000,000

Kukarabati mabwawa 3 kwenye uwanja wa Nane Nane

821,938


Kulipia ada ya uwanja wa Nane Nane kwa mwaka mmoja

2,979,062


Kudhibiti uvamizi wa mifugo katika Kata nne
           4,000,000
 
Jumla kuu Mifugo na Uvuvi

35,749,249

4
Kilimo Umwagiliaji & Ushirika

 


Kufanya tahadhari ya majanga; viwavi jeshi na Elnino ifikapo Juni, 2018.

6,100,000


Kukarabati majengo ya Nane Nane ya kilimo katika viwanja vya Mwalimu Nyerere Morogoro ifikapo Juni 2018

2,000,000


Kufanya ununuzi wa vifaa vya kupimia mvua kituo 1 cha Shule ya msingi Fukayosi ifikapo Juni 2018.

2,000,000


Kuchangia 5% ya mchango wa Halmashauri katika ujenzi wa soko la mazao lililojengwa Magomeni

3,700,000


Kufanya ukarabati wa Jengo la Ofisi ya Kilimo ifikapo Juni 2018

31,236,000


Kuanzisha shamba darasa 1(0.4 Ha) la uzalishaji  wa vipando bora vya muhogo katika kijij cha Chasimba

          630,000


Kuanzisha shamba darasa 1 lenye ukubwa wa 0.4 Ha ya uzalishaji wa zao la mikunde katika Kata ya Kiromo

          545,000


Kusaidia uwezeshaji wa utayarishaji wa bajeti ya 2018-2019

3,240,000      


Kuanzisha shamba darasa la uzalishaji  na uongezaji thamani wa  viazi Lishe 1  (0.4 Ha). Katika kijiji cha Kongo

549,000

 
Jumla kuu Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika

50,000,000

5
Fedha na biashara

 


Ununuzi wa mashine za kukusanyia mapato

10,000,000

 
Jumla ndogo fedha na biashara

10,000,000

6
Usafi na Mazingira 

 


Kuandaa kitalu cha miti

        15,000,000


Ujenzi wa uzio wa dampo la Sanzale

26,000,000


Kuanzisha na kuweka mipaka Dampo la taka Gezaulole

9,000,000


Ukarabati wa vyoo vya umma

3,000,000

 
Jumla Usafi wa Mazingira 

53,000,000

7
Maendeleo ya Jamii

 


Mchango kwa Wanawake 5%

130,973,856


Mchango kwa Vijana 5%

130,973,856

 
Jumla ya Maendeleo ya Jamii

261,947,712

8
TASAF

 


Kuweka madirisha katika jengo la soko la kukaangia samaki dunda

10,800,000.00


Kununua meza za alluminium  za miguu ya chuma kwa ajili ya kuwekea samaki

3,640,000.00


Uwekaji wa mfumo wa kuvunia maji ya mvua katika  soko la kukaangia samaki dunda

2,200,000.00


Kuweka mfumo wa majiko ya gas kwa ajili ya kukaangia samaki  jengo la kukaangia samaki dunda

27,360,000

 
Jumla ya TASAF

44,000,000.00

9
Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji

 


Ununuzi wa gari kwa ajili ya ufuatiliaji wa miradi ya maendeleo

124,000,000


Usimamizi na ufuatiliaji wa miradi ya maendeleo

10,000,000

 
Jumla kuu Idara ya Mipango

134,000,000

 
Idara ya Ujenzi

 


Ukarabati wa paa la soko jipya Bagamoyo mjini

49,093,888

 
Jumla kuu ujenzi

49,093,888

10
Elimu sekondari

 


Kukarabati choo, milango na madirisha  katika ofisi ya Idara ya Elimu Sekondari

5,050,000


Utengenezaji wa seti 52 za samani

4,500,000


Ujenzi wa miundombinu ya umeme

12,829,222


Ununuzi wa samani za wanafunzi seti 66

5,620,778


Ukamilishaji ujenzi wa Choo Bagamoyo Sekondari

12,000,000


Gharama za ujenzi wa Maabara

50,000,000

 
Jumla kuu elimu sekondari

90,000,000

11
Idara ya afya

 


Kusaidia nguvu za wananchi katika ujenzi wa zahanati katika mtaa wa Kimalang’ombe ifikapo Juni 2018

10,000,000


Kusaidia nguvu za wananchi katika ujenzi wa zahanati Buma ifikapo Juni 2018

10,000,000


Kusaidia nguvu za wananchi katika ujenzi wa nyumba ya mtumishi zahanati katika zahanati ya Buma  ifikapo Juni 2018

10,000,000


Kusaidia nguvu za wananchi katika ujenzi wa nyumba ya mtumishi zahanati ya Kaole ifikapo Juni 2018

10,000,000


Kufanya ukarabati katika jingo la wagonjwa wa nje (OPD) katika Hospitali ya Wilaya ya kuongeza chumba kwa ajili ya huduma za dharura pamoja na viti/mabenchi ifikapo Juni 2018

35,000,000


Kufanya ukarabati wa choo  kimoja katika ofisi ya  Mganga mkuu wa wilaya ifikapo Juni 2018

5,000,000

 
Jumla ndogo Afya

80,000,000


Cost sharing


Kununua madawa muhimu na vifaa tiba kwa ajili ya hospitali ya wilaya ifikapo Juni, 2018

214,633,240


Kufanya matengenezo ya magari 2 ya hospitali ya wilaya

16,000,000


Kufanya matengenez o ya mashine na vifaa tiba

11,000,000


Kuwezesha uendeshaji wa ofisi katika hospitali ya wilaya

27,000,000


Kufanya safari za rufaa 45 kila robo mwaka kwenda Tumbi/Muhimbili

5,400,000

 
Jumla ndogo

274,033,240


NHIF

 
Kutoa dawa muhimu na Vifaa Tiba katika Hospitali ya Wilaya

54,000,000


CHF


Kununua vitendanishi, dawa muhimu na vifaa tiba

54,400,000


Kufanya matengenezo madogo madogo ya vifaa vya tiba na ukarabati kwa zahanati zote


Kufanya shughuli za uendeshaji wa zahanati

 
Jumla ndogo CHF

54,400,000

 
DRF

 


Kununua vitendanishi, dawa muhimu na vifaa tiba

64,800,000


Kufanya matengenezo madogo madogo ya vifaa vya tiba na ukarabati kwa zahanati zote


Kufanya shughuli za uendeshaji wa zahanati kwa kulipia billi za maji, umeme na kununua shajala kwa ajili ya vikao


Kutoa huduma za afya kwa wagonjwa wakati wote katika kila zahanati

 
Jumla ndogo

64,800,000

11
Idara ya Ardhi, Maliasili na Utalii

 


Kupima maeneo ya taasisi za umma na kuboresha mipaka ya viwanja

10,000,000

 
Jumla ndogo

10,000,000


Kupima maeneo ya viwanja 2500 na kuboresha mipaka ya viwanja

110,050,000


Kufanya uthamini wa maeneo

51,470,000


Kufanya tathmini ya maeneo kwa ajli ya kodi ya Majengo

15,500,000


Kufanya maandalizi ya Mpango Kabambe wa Mji

22,980,000

 
Jumla ndogo

200,000,000

 
Jumla kuu Ardhi, Maliasili na Utalii

210,000,000

 
Jumla ya Miradi ya Maendeleo

2,218,919,516

 

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • WAPENI ELIMU WANANCHI KUHUSU UGOJWA WA MPOX...

    March 17, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo