• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
    • Baraza la Madiwani
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
      • Baraza la Madiwani
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • UKARIBISHO
        • service one
        • what we do
        • Utalii
        • Kaole Snake Park
        • Kaole Mamba Ranch
        • Completed
        • Elimu
        • Afya
        • Maji
        • Caravan Serai
        • Education
        • Ukaguzi wa Ndani
        • TAARIFA YA O& OD
        • Miradi iliyopendekezwa
        • Bajeti ya Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo
        • Maendeleo ya Jamii
        • Elimu Msingi
        • Elimu Sekondari
        • Ujenzi
        • Mfuko wa Jamii
        • Mifugo na Uvuvi
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
        • Idara ya Maji
        • Sheria ndogo za Halmashauri
        • Ardhi na Mipango Miji
        • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
        • Sheria
        • Ufugaji Nyuki
        • Usafishaji na Mazingira
        • Fedha na Biashara
        • Election Unit
        • Ugavi na Manunuzi
        • Maeneo ya Uwekezaji
        • TEHAMA na Uhusiano
        • Kupata Fomu Mbalimbali
        • Madiwani
        • Baraza la Madiwani
        • Orodha ya Wahe.Madiwani
        • Kamati za kudumu za Halmashauri
          • Elimu, Afya na Maji
          • Fedha, Uogozi na Mipango
          • Kamati ya UKIMWI
          • Kamati ya Maadili
          • Uchumi, Ujenzi, Mipango miji na Mazingira
        • Ratiba za Vikao vya Kisheria
        • Ratiba
          • Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
          • Ratiba ya Vikao vya Wahe. Madiwani
        • Mpango Mkakati
        • Bajeti ya Halmashauri
        • Mkataba wa huduma kwa Mteja
        • ZABUNI MBALI MBALI ZA UWAKALA
    • Baraza la Madiwani
  • Idara na Vitengo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Works
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Usafi na Mazingira
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Elimu Msingi
    • Kitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Election Unit
      • TEHAMA na Uhusiano
  • Huduma
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2018/2019
    • Mkataba wa huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MPYA
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

Maeneo ya Uwekezaji


INVESTMENT AREAS IN BAGAMOYO


SEKTA YA VIWANDA NA BIASHARA


(HALI YA UWEKEZAJI)

Uwekezaji katika Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo unaridhisha kutokana na mazingira na uwepo wa vivutio vingi vya uwekezaji ikiwa ni pamoja na;

Miundombinu ya barabara, maji, umeme, mawasiliano ya simu, ardhi yenye rutuba, mito, bahari na fukwe.


MAENEO YALIYOTENGWA/YALIYOAINISHWA KWA AJILI YA SHUGHULI ZA VIWANDA NA BIASHARA

Eneo la EPZA lenye eneo la Hekta 5000 ambalo linamilikiwa na Wizara ya Viwanda na Biashara ambalo lipo katika Kata za Zinga na Kiromo.

Maeneo yanaweza kutumika kwa matumizi ya Viwanda kama vile Gesi, Chuma, Saruji, bidhaa za ngozi na kadhalika.


HALI HALISI

Hali halisi ya sasa ni uwepo wa mwekezaji KAMAL INDUSTRIAL ESTATE ambaye ana kiwanda kimoja cha kutengeneza gesi ya kukatia vyuma (KAMAL ACETYLENE LIMITED) na viwanda viwili (KAMAL OIL REFINERY na KAMAL AGRO) ambavyo vipo katika ujenzi.


Pia kuna ujenzi unaendelea wa kiwanda cha kutengeneza ngozi ya viatu (PHISS TURNERY LTD, kiwanda cha kutengeneza betri (INOVA COMPANY LTD), kiwanda cha kutengeneza vifaa vya ujenzi (TUBE LIMITED), kiwanda cha kutengeneza nondo (HAUTENG METALLURGICAL. CO LTD) na kiwanda cha kutengeneza mabati (AFRICA DRAGON ENTERPRISES).


        VIWANDA VILIVYOPO


  JINA LA KIWANDA MWAKA KILIPOANZA  KATA       MMILIKI/ MWAKILISHIBIDHAA INAYOZALISHWA


a) Smoke House Store      2009  Nia Njema    Teddy E. Davies Mvinyo (Bagamoyo Wine)


b) Hill Packaging      2012  Mapinga      Hillary Shoo Vifungashio (Mifuko, viroba)


c) Salibaba Pallets      2012  Mapinga      Hillary Shoo Chakula cha Mifugo


d) HJ Stanley              1951  Kisutu       Richard Stanley Chumvi


e) Abana Printers      2010  Mapinga      Kimwaga R. Stika Vitabu 50,000Uchapishaji


f) BAT Bottlers              2015  Zinga       Ladislaus F. Batinoluho  Maji (Upendo Water)


g) Bagamoyo Industries       2011  Magomeni     Shabiri Dewji         Mafuta ya Breki, Bidhaa za Plastiki


h) Multivet Co. Ltd      2015  Zinga       Dr. Henry Rohinguka Chakula cha Mifugo


i) Hakika Brewers      2015  Kerege       Kasmir C. MmasiMvinyo (Burudani Wine)


j) East African Infrastructure2016  Fukayosi     Pius Mtei         Nguzo 10,950Nguzo za Zege


k) Kamal Acetylene Limited2015  Zinga       Mr Ajay          Gesi ya kukatia vyuma


l) Vegeta Podravka Ltd        2017  Kisutu       Mr. Davor SuarcKutengeneza ladha za chakula



  VIWANDA AMBAVYO VIPO KWENYE HATUA YA UJENZI


   JINA LA KIWANDA   KATA      MMILIKI        BIDHAA INAYOZALISHWA


i) KAMAL OIL REFINERY      KEREGE     Mr. Ajay             Vilainishi


ii) KAMAL AGRO           KEREGE     Mr. Ajay     Bidhaa za Nafaka


ii)  PHISS TURNERY   ZINGA      Mr. Ramadhan         Ngozi za Viatu


v)   INOVA COMPANY LTD   ZINGA      Mr. Ramadhan   Betri


vi)  TUBE LIMITED   ZINGA      Adolberth Maimu      Vifaa vya Ujenzi


vii) ECO CONSUMER PRODUCTS ZINGA      Albert Lema    Vipodozi


viii)ELVEN AGRI. CO LTD   MAPINGA    Elven Agri. Co.Ltd   Kusindika Matunda


ix)  AFRICA DRAGON ENT.      ZINGA      AFRICA DRAGON ENTERPRISESUTENGENEZAJI WA MABATI


x)   HAUTENG METALLURGICAL.CO ZINGA MR WANG, MR SHRN, MR BA JAY   NONDO


SEKTA YA KILIMO NA USHIRIKA

Halmashauri inafursa ya uwepo wa mito mikubwa ya Ruvu na Wami ambapo eneo la hekta 23,600 linafaa kwa kilimo cha umwagiliaji.

Eneo linalotumika kwa kilimo cha umwagiliaji ni hekta 3,002 sawa na asilimia 12.72 ya eneo lote linalofaa kwa kilimo cha umwagiliaji.


Wilaya ya Bagamoyo ina skimu ya Umwagiliaji ambayo inapata ruzuku ya serikali kwa ajili ya ujenzi wa Miundombinu, ambayo ni Skimu ya Umwagiliaji Bagamoyo(BIDP) ambayo ilianzishwa mwaka 1987 kwa Ushirikiano wa Serikali ya Tanzania na Serikali ya watu wa Japan kupitia shirika lao la JICA.

Aidha kwa sasa Skimu inahudumiwa na Wakulima wadogowadogo kupitia ushirika wao unaojulikana kama TEGEMEO kuanzia mwaka 1996 hadi leo.

Katika skimu hii kuna misimu miwili ya kilimo kwa mwaka yaani Masika na Vuli. Ushirika wa TEGEMEO una jumla ya wanachama 120 (wanawake 70 na wanaume 50).


Maeneo mengine yanayofaa kwa kilimo cha Umwagiliaji lakini hayana Miundombinu ya Umwagiliaji ni pamoja na Makurunge A, Makurunge B, Gama , Kitame, Bwawa la Duda ambayo kwa sasa yanalimwa  na wakulima wadogowadogo katika kipindi cha mvua na wakati wa kiangazi hutumia pampu za kuvutamaji kutoka mto Ruvu na Wami.


Bagamoyo Ecoergy Sugar cane Farm ni eneo lililokuwa Ranchi ya Watu wa Zanzibar (RAZABA) ambayo ilitegemewa kuzalisha miwa ambayo ingetumika katika kuzalisha Sukari, Ethanol na Umeme, eneo hili linafaa kwa kilimo cha Umwagiliaji lakini bado halizaenelezwa.

Skimu ya Umwagiliaji Prison Kigongoni ni skimu iliyokuwa inatumiwa kama kitalu cha uzalishaji wa mbegu za miwa na Bagamoyo Ecoenergy farm, lina miundombinu ya Umwagiliaji kwa njia ya matone.


Pia katika eneo tajwa kuwa linafaa kwa kilimo cha Umwagiliaji yapo pia maeneo ya watu Binafsi kama yalivyo wasilishwa katika ofisi za Umwagiliaji kanda ya Mashariki – Morogoro baada ya kutambuliwa na kuchukuliwa “Coordinates” ili kuingiza katika Mpango wa Umwagiliaji wa Taifa.

Yafuatayo ni maeneo yanayofaa kwa kilimo cha Umwagilijia katika Halmashauri ya wilaya Bagamoyo na ambayo yapo katika Mpango wa Umwagiliaji wa taifa (National Irrigation Master Plan):-


MAENEO YANAYO FAA KWA KILIMO CHA UMWAGILIAJI YA BINAFSI NA SERIKALI

    JINA LA SKIMU                      ENEO LINALOFAA (HA)                    ENEO LINALOLIMWA KWA SASA (HA)

i) Kigongoni Prison                                        200                                                         200

 

i) BIDP                                                            100                                                         72


iii) Mkurunge A                                                200                                                      200


iv) Makurunge B                                             500                                                       500


v) Gama                                                         500                                                       300


vi) Kitame                                                        400                                                     30


vii) Dunda Dam                                                   50                                                   50


viii) Mdeme Irrigation Scheme                             50                                                  50


ix) Turban Irrigation scheme                              1,600                                           1,600

x) Bagamoyo Ecoenergy Sugarcane farm          20,000                                      23,600


Chanzo: Taarifa za kata (Estimated figures).

Chanzo: Skimu ya umwagiliaji (BIDP)


NB. Katika mwaka wa kilimo 2012/2013 wakulima walilima katika msimu mmoja kutoka na Mafuriko katika eneo la Umwagiliaji - BIDP. Lakini pia katika kipindi cha Mwaka 2016 kilimo hakikufanyika kutokana na Mafuriko yaliyosomba mazao ya wakulima shambani kwa sasa kilimo Kinaendelea.

Mazao ya chakula yanayolimwa katika maeneo ya Umwagiliaji ni pamoja na Mahindi, mpunga, Mbogamboga na matunda. Aidha katika mwaka wa fedha 2016/2017 shughuli za kilimo bado zinaendelea.



Matangazo

  • RATIBA YA MHE. MKUU WA MKOA KUTEKELEZA TAARIFA YA MHE. WAZIRI WA ARDHI KUHUSU MIGOGORO YA ARDHI MAPINGA SIKU.. February 20, 2023
  • NAFASI ZA KAZI. 1. WAANDIKISHAJI WAPIGA KURA 167. 2. WAANDIKISHAJI WA AKIBA 167. September 11, 2019
  • Tangazo la nafasi za kazi Halamashauri ya wilaya Bagamoyo 2020. January 24, 2020
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI AFISA MWANDIKISHAJI MSAIDIZI NA BVR OPERATOR BAGAMOYO DC TAREHE 09/01/2020 February 07, 2020
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MWENYEKITI WA HALMASHAURI BAGAMOYO AFUNGA MAFUNZO YA UWAWA..

    March 22, 2023
  • MAFUNZO YA UWAWA YAENDELEA BAGAMOYO..

    March 21, 2023
  • MAFUNZO YA UWAWA KUSAIDIA KUTEKKELEZA MALENGO YA ELIMU BAGAMOYO..

    March 20, 2023
  • DC-BAGAMOYO WATAOCHEZEA HAKI YA WANAWAKE NA WATOTO SERIKALI ITAWASHUGHULIKIA KIKAMILIFU..

    March 08, 2023
  • Angalia zote

Video

KAULI YA RAIS MAGUFULI WAKATI AKIZINDUA BARABARA YA BAGAMOYO - MSATA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 023 - 2440164

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo