• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

AFISA ELIMU MKOA AWAFUNDA WALIMU SHULE ZA AWALI MRADI WA SHULE BORA PWANI.

Posted on: February 16th, 2023

    Afisa Elimu Mkoa wa Pwani Bi Sara Mlaki amefungua semina ya siku 5 ya walimu Mradi wa shule Bora inayojumuisha jumla ya halmashauri 9 ndani ya mkoa wa Pwani ikiwa na jumla ya Washiriki 120 leo tarehe 15/02/2023 katika Shule ya Sekondari Bagamoyo Mkoani Pwani.

      Akizungumza wakati wa uzinduzi wa Semina hiyo, Afisa Elimu Mkoa wa Pwani amewataka walimu kutumia nafasi hiyo ya mafunzo kusaidia kutatua changamoto za ufundishaji na ujifunzaji kwa Madarasa ya awali katika maeneo yao.

   ‘’Naamini kupitia semina hizi mtapata nafasi nzuri ya kukaa pamoja na kuanza kutatua changamoto zilizopo ili kuweza kusaidia watato wa madarasa ya awali na kuanza kuona sasa Madarasa hayo yanazungumza kwa vitendo’’alisema Bi Sara Mlaki.

 Amewaomba walimu hao baada ya mafunzo waanze kufanya mabadiliko katika ufundishaji na ujifunzaji katika shule za awali na unaboreshwa ili kutokomeza kabisa changamoto za kusoma,kuandika,na kuhesabu (KKK) katika Mkoa wa Pwani.

     Aidha ameongeza kuwa, Mkoa umejipanga kupimana katika ngazi zote ili kuleta ufanisi,kuleta matokeo chanya ya semina ambazo tayari zimeanza kutolewa pamoja na kuongeza ufaulu katika shule pamoja na kuhakikisha wanafunzi wote wanajua kusoma,kuandika na kuhesabu.

       Sanjari na hayo, Afisa Elimu Mkoa wa Pwani amewapongeza walimu wote kwa kuhakikisha wanawaandikisha wanafunzi kujiunga na madarasa ya awali na kufanya mpaka hivi sasa kwa  Mkoa wa Pwani kufikisha asilimia 120 na kuhakikisha upatikanaji wa chakula kwa wanafunzi mashuleni  kwa wanafunzi wote.

       Mafunzo hayo ya walimu wa shule za awali inajumuisha shule 40 za Halmashauri zote katika Mkoa wa Pwani  na juwla ya Walimu 120 wamehudhuria mafunzo hayo kwa siku tano yanayofanyika ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani.

       Shule bora  ni Programu ya Serikali ya Tanzania ya kuboresha elimu ya Awali na Msingi kwa ufadhili wa UKaid na Serikali ya Uingereza inayotekelezwa katika Mikoa Tisa ya Tanzania Bara.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • WAPENI ELIMU WANANCHI KUHUSU UGOJWA WA MPOX...

    March 17, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo