• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

AFISA ELIMU MKOA WA PWANI AFUNGA MAFUNZO KWA MAAFISA ELIMU KATA NA WALIMU WAKUU MRADI WA SHULE BORA.

Posted on: February 14th, 2023


Afisa Elimu Mkoa wa Pwani Bi Sara Mlaki afunga mafunzo kwa Maafisa Elimu kata na Walimu Wakuu Mradi wa shule bora iliyofanyika katika ukumbi mkubwa wa mikutano Bagamoyo Sekondari iliyopo kata ya Dunda Wilayani Bagamoyo.

Akizungumza na Maafisa Elimu kata Pamoja na walimu Wakuu Bi Sara Mlaki Afisa Elimu Mkoa wa Pwani katika semina iliyofanyika tarehe 14/02/2023 amefunga semina maalumu ya kuwawezesha Walimu na Maafisa Elimu juu ya uboreshaji wa ufundishaji na ujifunzaji kwa wanafunzi kuanzia darasa la Awali hadi darasa la pili.

Afisa Elimu huyo pia amewashukuru Tamisemi,wawezeshaji,taasisi ya Elimu Tanzania Pamoja na wafadhili wa Mradi wa shule Bora Mkoani Pwani kwa kuendesha, na kugharamia Elimu ya Watoto katika Mkoa wa Pwani wote

‘’nawasihi nyie mliopata nafasi ya kuhudhulia mafunzo kuwa makini na kujituma katika kukabiliana na changamoto za uboreshaji wa ufundishaji kwa madarasa ya awali ‘’amesema Bi Mlaki Serikali inatoa fedha nyingi kwa ajili ya Elimu ya Watoto kupita Mradi Shule Bora hivyo ni wajibu kufanya kazi kwa bidii

Aidha pia Bi Mlaki amewaomba Maafisa hao Pamoja na Walimu kuwasimamia vizuri wanafunzi hao ili kuweza kuongeza ufaulu kwa Watoto hao na kufikia malengo huku tukiwa tumeondoa tatizo la kutokujua kusoma, kuhesabu na kuandika kwa Watoto wote Mkoa wa Pwani.

Mafunzo hayo yamefanyika kwa shule 40 toka Halmashauri zote za Mkoa wa Pwani ikiwa na jumla ya washiriki 173.

Shule bora  ni Programu ya Serikali ya Tanzania ya kuboresha elimu ya Awali na Msingi kwa ufadhili wa UKaid na Serikali ya Uingereza inayotekelezwa katika Mikoa Tisa ya Tanzania Bara.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • BAGAMOYO KUJITANGAZA KIMATAIFA SEKTA YA UTALIII...

    May 10, 2025
  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo