• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

BARAZA LA HALMASHAURI YA WILAYA BAGAMOYO LAPOKEA TAARIFA MBALIMBALI ZA MIRADI YA MAENDELEO ROBO YA KWANZA 2017/2018

Posted on: November 16th, 2017

BARAZA LA HALMASHAURI YA WILAYA BAGAMOYO LAPOKEA TAARIFA MBALIMBALI ZA MIRADI YA MAENDELEO

Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo lapokea taarifa mbalimbali za

miradi ya maendeleo iliyofanyika katika robo ya kwanza ya Bajeti ya Mwaka 2017/2018

iliyotekelezwa maeneo yote ya Halmashauri katika Kata zote 11.

Katika taarifa hizo kila Diwani wa Kata husika aliwasilisha taarifa za Kata yake katika

miradi iliyotekelezwa kwa robo ya kanza.

Katika Baraza hilo kulitambulishwa Mwenyekiti mpya wa CCM Wilaya ya Bagamoyo ambapo

katika nasaha zake kwa Waheshimiwa Madiwani na Wajumbe wa Baraza la Madiwani umuhimu wa

ushirikiano katika kufanya kazi na kutekeleza ilani ya Chama cha Mapinduzi.

Katika siku ya pili ya Baraza la Madiwani ilikuwa siku maaalumu ya kupokea taarifa

mbalimbali za Kamati zilizopo ambazo ni Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango, Kamati ya Uchumi

na Kamati ya Elimu, Afya na Maji. Taarifa ya kamati hizi ziliwasilishwa na Wenyeviti

wa kamati husika na kuweza kujibu baadhi ya maswali yalioulizwa na wajumbe wa

Baraza la Madiwani.

Kabla ya kufunga Baraza la Madiwani Mh Mweyekiti Mh Said Ngatipura alimkaribisha Katibu Tawala Wilaya

Ndugu Erica E. Yegella ambapo alitoa pongezi kwa Mwenyekiti kwa kuongoza Baraza vyema na kusisitiza kuhusiana

na nafasi za Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa mwaka 2017 kwa waombaji kufika ofisi

ya mshauri mgambo wilaya na barua zao za maombi pamoja na viambatanisho.

Mwisho Mwenyekiti alifunga  Baraza la Madiwani na kusisitiza uhumimu wa Ukusanyaji wa

Mapato hasa katika kata na umakini katika ukusanyaji wake.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • BAGAMOYO KUJITANGAZA KIMATAIFA SEKTA YA UTALIII...

    May 10, 2025
  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo