• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

BI SARA MLAKI AFUGA KIKAO KAZI BAGAMOYO PWANI.

Posted on: February 25th, 2023

Afisa Elimu Mkoa wa Pwani Bi Sara Mlaki amefunga  kikao kazi kwa Maafisa Elimu Awali na Msingi kwa upande wa Halmashauri,Wadhibiti Ubora Pamoja, Maafisa elimu elimu maaluum, Maafisa mipango wa Halmashauri , Maafisa elimu vifaa na takwimu wa Halmashauri Mradi wa shule bora kilichofanyika katika ukumbi mkubwa wa mikutano Bagamoyo Sekondari iliyopo kata ya Dunda Wilayani Bagamoyo.

Akizungumza na Washiriki hao katika kikao kazi hicho Bi Sara Mlaki Afisa Elimu Mkoa wa Pwani kilichoketi kuanzia  tarehe 24-25/02/2023 amesema kuwa wamebaini kuwa zipo changamoto ambazo bado zinashuhulikiwa  hivyo wameweka mikakati ambayo itakwenda kutatua na kumaliza changamoto hizo .

‘’Tumeendelea kubaini kuwa zipo changamoto baadhi ambazo bado hazijafanyiwa utatuzi hivyo tumeweka mikakati ya utekelezaji wa hizo shuhuli ili kuweza kufikia asilimia mia moja ya utekelezaji na kupata fedha za lipa kulingana na matokezo’’amesema Bi Sara Mlaki

Afisa Elimu huyo pia amesema Suala la utoaji wa chakula kwa wanafunzi limetekelezwa kwa kiasi kikubwa hivyo wanatarajia shule zote za Msingi zinakwenda kuwapatia Watoto chakula mashuleni kutokana na mikakati ambayo wamejiwekea.


‘kutokana na hii mikakati ambayo tumejiwekea tunakwenda kuzugumza na jamii  kuwaelewesha wazazi kwamba suala la chakula ni la muhimu shuleni hivyo kufuatia taratibu ambazo ziwekwa waweze kuchangia utaratibu wa chakula shuleni’’amesema Afisa Elimu Mkoa.

Pia Bi Mlaki amezungumzia Suala la usalama kwa wanafunzi mashuleni ambapo  ameweka mikakati wao kama watendaji kuhakikisha Usalama wa wanafunzi unapatikana kwa kushirikiana na Jamii,viongozi kwa kuendelea kuhakikisha kuwa wanatoa taarifa kwa vitendo vyote ambavyo ni vya kikatili dhidi ya Watoto

Sanjari na hayo pia ameweka bayana swala la ushirikishwaji kwa wazazi katika masuala ya shule wamebaini kuwa bado muamko kwa wazazi uko chini hivyo wanakwenda kuongeza uhamasishaji ili kuwezesha Watoto wote wanazingatia maswala ya elimu 

‘’Sheria ndogo ndogo zitaendelea kutumika kwa wale wote ambao wanasababisha wanafunzi kutokuhudhulia shuleni na kwa wale wanafunzi watoro hatua stahiki zinaendelea kuchukuliwa ikiwemo kuwapa motisha na kufanya shule kuwa sehemu ya kivutio kwa wanafunzi hao’’amesema Bi Sara Mlaki

Lengo la ufaulu wa mitihani ya Darasa la saba kwa Mkoa wa Pwani tulio jiwekea ni Asilimia Zaidi ya 95 huku pia zipo baadhi ya Halmashauri ambazo zimefikia asilimia 93 hivyo tumejipanga kuhakikisha tunavuka hadi lengo la Kitaifa la asilimia 85 ya ufaulu kutokana na mikakati ambayo tumejiwekea kama Mkoa wa Pwani.

Shule bora  ni Programu ya Serikali ya Tanzania ya kuboresha elimu ya Awali na Msingi kwa ufadhili wa UKaid na Serikali ya Uingereza inayotekelezwa katika Mikoa Tisa ya Tanzania Bara.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • BAGAMOYO KUJITANGAZA KIMATAIFA SEKTA YA UTALIII...

    May 10, 2025
  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo