• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

CHUO KIKUU CHA ARDHI KUTAFITI MIGOGORO YA ARDHI BAGAMOYO

Posted on: January 25th, 2024

Chuo Kikuu Cha Ardhi kwa kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya Ya Bagamoyo Wamefanya kikao leo tarehe 25.01.2024, katika ukumbi wa BMU ili kupata maoni mbalimbali kuhusiana na tafiti inayotarajiwa kufanyika katika Halmashauri hiyo. Dk.Mussa Muhoja ambae ni msimamizi wa utafiti chuo kikuu cha Ardhi amesema lengo ni kufanya tafiti juu ya upangaji Shirikishi na Utatuzi wa Migogoro Ya Ardhi Vijijini.

Mkuu wa Idara Ya Mipango Miji Mjini na Vijijini kutoka chuo kikuu cha Ardhi Ndg.Fredrick B. Magina amesema Mradi Huu utatekelezwa kwa kufanya tafiti, wazo kuu likiwa ni Upangaji Shirikishi na Utatuzi wa Migogoro Ya Ardhi Vijijini. Pia akasema tafiti hii itafanywa kwa kuzingatia maeneo mawili ambayo ni Upangaji Shirikishi na Utatuzi Wa Migogoro Ya Ardhi katika maeneo ya Vijijini, Upangaji Shirikishi na Utatuzi wa Migogoro Ya Ardhi katika Maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya Shughuli mbalimbali kama vile Viwanda au taasisi.

Beatrice A. Kaijage ambaye ni mwanafunzi wa Uzamivu(PhD )katika chuo hicho amesema lengo la kufanya tafiti hiyo ni kutaka kutatua Migogoro Ya Ardhi ya Watu binafsi pamoja na Migogoro Ya Ardhi kati ya Wakulima na Wafugaji. Njia ambazo zitatumika ni kufanya vikao na wananchi lakini pia kuwapa wananchi semina mbalimbali. Lakini pia amesema malengo yake ni kutumia Teknolojia ya kidigitali zaidi katika Upangaji Shirikishi Ili Kutatua Migogoro Ya Ardhi. Akaendelea kwa kusema kutumia njia ya Teknolojia ya kidigitali kuna umuhimu kwa sababu kutasaidia kupata taarifa kwa urahisi, pia itasaidia kuonesha uhalisia upoje katika jamii. Nao wajumbe wa Halmashauri Ya Wilaya Ya Bagamoyo Walitoa Maoni Yao kuhusiana na Tafiti hiyo;

Afisa Maendeleo Ya Jamii Bi.Delvina Maleko alisema kwamba mpango huo utasaidia kupunguza tatizo hilo la Mgogoro Wa Ardhi katika Wilaya hiyo lakini pia akasema kwamba itasaidia kubadili sera na mwisho akasema itakuwa rahisi kuwavutia wawekezaji katika Wilaya hiyo.

Afisa Utumishi Halmashauri Ya wilaya ya Bagamoyo Ndg.Delfina amesema tafiti hiyo ikifanikiwa itasaidia kujua ni nani mmiliki sahihi wa eneo husika, pia itasaidia kujua maeneo gani ni ya serikali na ni yapi ya watu binafsi mwisho akasema tatizo la ufanano wa umiliki wa ardhi litaisha.

Mwisho Dk. Mussa Muhoja Alitoa shukran zake za dhati kwa kusema " Ninawashukuru kwa kutenga muda wenu na kushirikiana na sisi kwa upande wetu hatuna la ziada niwatakie utendaji kazi mwema". Nae Afisa Maendeleo Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo Alitoa shukran zake za dhati kwa kusema "Tunashukuru kwa sababu mmetuletea kitu ambacho kitakuja kutatua kero za ardhi katika Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo,pia nakusihi mtafiti kufanya kazi yako kwa weledi ili uweze kuleta matokeo mazuri ambayo yatasaidia kutatua changamoto hizo".

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MRATIBU WA MRADI WA MARCOSIO TAFIRI AONGOZA WASHIRIKI WA WARSHA KUTEMBELEA WAVUVI WILAYA YA BAGAMOYO...

    May 29, 2025
  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI...

    May 23, 2025
  • MWENYEKITI WA TUME HURU YA UCHAGUZI AKAGUA MWENENDO WA UANDIKISHAJI...

    May 18, 2025
  • MKUU WA WILAYA AFANYA MAZUNGUMZO NA BODI YA UTALII..

    May 15, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo