• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

DC BAGAMOYO AFUNGA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KUNDI NAMBA 24/24...

Posted on: October 31st, 2024

DC BAGAMOYO AFUNGA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KUNDI NAMBA 24/24.

Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Mhe Shaibu Ndemanga amefunga rasmi mafunzo ya jeshi la Akiba kundi namba 24/24 katika Viwanja vya Mwanakalenge Wilayani Bagamoyo leo tarehe 31 Octoba 2024.


 Mhe Shaibu Ndemanga amewaeleza wananchi pamoja na wanafunzi hao kuwa mafunzo hayo yapo kwa mujibu wa sheria na ni utekelezaji wa sheria namba 14 ya mwaka 1966 ya ulinzi wa Taifa la Tanzania .


“Naomba niendelee kuwakumbusha kuwa mmepitia mafunzo yalioko kwa mujibu wa sheria ya nchi yetu ni vema Watanzania kujua mafunzo haya yapo kwa mujibu wa sheria”amesema Ndemanga.


Pia Mhe Ndemanga ametoa pongezi kwa wakufunzi pamoja na wanafunzi hao kwa kupata mafunzo na kuonesha kweli kuwa wameiva katika mafunzo hayo.

Sambamba na hayo Mkuu wa Wilaya amewataka askari hao wa jeshi la Akiba kwenda kushirikiana vizuri na viongozi wa vijiji,viongozi wa Kata pamoja na kushirikiana na wananchi kwa ujumla kwa kuimarisha Amani na ulinzi katika jamii zetu.


Pia ametoa wito kwa wanafunzi hao kutumia mafunzo hayo katika kuimarisha ulinzi na Amani katika jamiii na kutotumia mafunzo hayo kuumiza wananchi mitaani.

Akitoa taarifa fupi ya Mafunzo hayo Ndg.Rahimu Tumbi Mshauri wa Jeshi la Akiba Bagamoyo wakati wa Kufungwa kwa mafunzo hayo huku mgeni rasmi akiwa Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Mhe Shaibu Ndemanga.

Amesema kuwa Mafunzo hayo yalianza tarehe 1 Julai 2024  yakiwa na jumla ya wanafunzi 90 hadi kufikia tarehe 31 Oktoba 2025 jumla ya wanafunzi 81 ndio waliofanikiwa kumaliza mafunzo huku wanaume wakiwa 58 na wanawake 23.

Pia ameongeza kwa kusema kuwa wanafunzi 9 walishindwa kumaliza mafunzo kutokana na sababu mbalimbali na wanafunzi hao wote wakiwa ni wakiume pekeee.


 

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • WAPENI ELIMU WANANCHI KUHUSU UGOJWA WA MPOX...

    March 17, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo