• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

DC KAWAWA AFANYA UZINDUZI WA WIKI YA CHANJO BAGAMOYO

Posted on: May 3rd, 2019

Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Mhe. Zainab Kawawa, amefanya uzinduzi wa Wiki ya chanjo mapema leo katika ukumbi wa kliniki ya Mama na Mtoto wa Hospitali ya Wilaya ya Bagamoyo.


Uzinduzi huo uliofanyika leo ni wa chanjo za Surua na rubella, nimonia kwa watoto wachanga, polio kwa watoto na chanjo ya pepopunda kwa Wanawake wajawazito, zoezi lililosimamiwa na Mganga Mkuu Hospitali ya Wilaya ya Bagamoyo, na wataalam wengine wa Afya ya mama na mtoto katika Hospitali ya Wilaya ya Bagamoyo.


Akizungumza na Wanawake wajawazito na wakina mama wenye watoto walio chini ya umri a miaka mitano waliohudhuria kliniki hiyo ya mama na mtoto katika Hospitali ya Wilaya ya Bagamoyo mapema leo, Mhe. Kawawa amesema chanjo huokoa maisha ya mama na mtoto kwa kumkinga dhidi ya maradhi ambayo yanazuilika, na kuongeza kuwa, kupata chajo ni jambo la lazima kwa vile inalinda pia kizazi kijacho dhidi ya magonjwa mbalimbali kama Surua na Polio.


“Ni wajibu na jukumu la kila Mzazi kuhakikisha mtoto wake anapata chanjo mara baada ya kuelewa umuhimu wa chanjo, Wakina Baba wasindikizeni kliniki wake zenu na wasisitizeni wakina mama kuhakikisha wanapata chanjo zote kipindi cha ujauzito na wanapojifungua hakikisheni mtoto aliyezaliwa anapatiwa chanjo zote za utotoni ili kumlinda na maradhi kwani chanjo hizi ni salama na hazina madhara yoyote Kiafya”. Amesema Mhe. Zainab.


Akifunga hafla hiyo ya uzinduzi wa chanjo, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo, Mhe. Alli Alli Issa amemshukuru Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo kwa kufika na kutoa hamasa kwa Wanawake ili waone umuhimu wa chanjo kwa watoto wao na kuahidi kwamba Halmashauri itaendelea kuwahimiza Wakinababa kushiriki kwa kuwahimiza wakinamama kupata chanjo zote wanapokuwa wajawazito na kusimamia mtoto atakayezaliwa ili apate chanjo zake zote.


Huduma za chanjo zimeleta mapinduzi makubwa katika kulinda afya ya jamii pengine kuliko huduma zozote za kitabibu na hivyo kuokoa vifo vya mamilioni ya watu duniani kote.

Wiki ya chanjo kwa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo inahusisha utoaji wa chanjo za Surua na rubela, pepopunda, polio, nimonia na chanjo ya saratani ya shingo ya kizazi kwa wasichana walio na umri kati ya miaka 9 hadi 14, na chanjo hizi zinatolewa katika Zahanati zote, Vituo vyote vya kutolea huduma za Afya na Hospitali ya Wilaya ya Bagamoyo.



Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MRATIBU WA MRADI WA MARCOSIO TAFIRI AONGOZA WASHIRIKI WA WARSHA KUTEMBELEA WAVUVI WILAYA YA BAGAMOYO...

    May 29, 2025
  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI...

    May 23, 2025
  • MWENYEKITI WA TUME HURU YA UCHAGUZI AKAGUA MWENENDO WA UANDIKISHAJI...

    May 18, 2025
  • MKUU WA WILAYA AFANYA MAZUNGUMZO NA BODI YA UTALII..

    May 15, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo