• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

DC NDEMANGA AZINDUA KAMPENI YA BAGAMOYO YA USAFI BAGAMOYO-SMART AREAS...

Posted on: October 26th, 2024


Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Mhe Shaibu Ndemanga ametoa wito kwa kwa wananchi kuendelea na zoezi la usafi kila mwisho wa mwezi ili kuweka mji safi wa Halmashauri ya Bagamoyo.

Akitoa Rai hiyo  mbele ya Wananchi waliojitokeza wakati wa zoezi la Usafi lililofanyika hii leo tarehe 26 Oktoba 2024 Mhe Ndemanga ametangaza rasmi Kuwa Bagamoyo ni Smart Areas na kuhakikisha maeneo yote yanakuwa safi muda wote.

Pia Mhe Ndemanga amesisitiza kuwa swala la usafi linakuwa ni swala endelevu na nila kila siku mwananchi unatakiwa kufanya usafi kwani Mji wa Bagamoyo ni wa kitalii hivyo ni muhimu kuwa safi Muda wote na kuwahakikishia wananchi kuwa watakuwa wanafanya ukaguzi kila baada ya muda katika Mazingira yao.

Vilevile Mhe Ndemanga amesema wananchi wakiongeza hali ya usafi Bagamoyo pia uchumi utaongezeka mara dufu hasa katika maeneo yao ya biashara.

Sambamba na hayo amezitaka taasisi zote zilizo katikati ya mji kuweka maeneo yao katika Hali ya usafi pamoja na kupanda miti na maua ili kupendezesha maeneo hayo na mji kiujumla .

Nae Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo amewaomba wananchi hao kuendelea kutunza mazingira katika maeneo yote ya Bagamoyo .

Huku pia akisisitiza kuwa hawatasita kuwachukulia hatua wananchi wote ambao wanakuwa wanaharibu mazingira kwa kutumia sheria ndogo ambazo zimeelekeza kutoza faini kwa atakae bainika kuharibu mazingira.

Vilevile Ndg.Selenda amesema kuwa wataendelea kutoa elimu kwa wananchi wote juu ya kuyatunza mazingira  na kuhakikisha kwa wale ambao wanakaidi wanachukuliwa hatua.

Mwisho Kwa pamoja Mhe Mkuu wa Wilaya pamoja na Msimamizi wa Uchaguzi Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo wameendelea kuwasisitiza wananchi kujitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika tarehe 27 Novemba 2024.
#serikalizamitaasautiyawananchijitokezekushirikiuchaguzi
#shirikiuchaguziwaserikalizamitaa2024

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • WAPENI ELIMU WANANCHI KUHUSU UGOJWA WA MPOX...

    March 17, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo