• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

DC OKASH ATEMBELEA BANDA LA HALMASHAURI YA BAGAMOYO NANENANE MOROGORO, AHIMIZA WAJASILIAMALI KUTAFUTIWA MASOKO YA UHAKIKA

Posted on: August 1st, 2023

Na Nurdin Ndimbe, Morogoro.

Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Mhe. Halima Okash ametemblea banda la Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo katika maazimisho ya maonesho ya wakulima Nanenane 2023 yanayofunguliwa leo tarehe 1 Agosti, 20223 katika viwanja vya kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Manispaa ya Morogoro. Akizungumza na wajasiliamali katika banda hilo, aliwaomba wajasiliamalikutengeneza bidhaa zenye ubora ili kupata soko la uhakika na kujiongezea mapatoya mtu mmojammoja na Halmashauri kwa ujumla wake. Aileleza kuwa, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Daktari. Samia Suluhu Hassan iko pamoja katika kuwatafutia mitaji ya biashara na kuweka mazingira mazuri yakufanya biashara zao. “Napenda kutoa shukurani zangu za dhati kwenu kwa kujituma na kuja kwenye maonesho haya, hatua hii ni muhimu kwenu kwa ajili ya kujitangaza na kupata masoko ya uhakika masoko lazima yatafutwe kwa njia zote. Alisema Mhe,Okash. 

Aidha Mhe.Okash aliuagiza uongozi wa Halmashauri ya Wilaya Bagamoyokuwatafutia masoko ya uhakika wajasiliamali hao, ili kukuza kipato chao nakuendeleza miradi yao. Alihaidi kuwa, baada ya maonesho ya Nanenane atapanga kikao maalumu cha kukutana nao ili kujadili kwa kina fursa zilizopo kwa wajisiliamali wadogo Bagamoyo na changamoto zinazowakabili ili kupata ufumbuzi wake.” Ninaahiidi tu baada ya Nanenane tupange tuonane, kuona uwezekano wa nyinyi kupata maeneo ya kuzalishia na kuuza bidhaa zenu”. Alisisitiza. Kwa upande wao wajasiliamali hao walisema kuwa changamoto kubwa ni ukosefu wa masokao ya uhakika hata hivyo, walimshukuru Mkuu wa Wilaya kwa kuwatembelea na kujionea bidhaa zao katika maonesho haya ya Nanenane.

Kaulimbiu ya Maadhimisho ya Nane nane 2023 “ Vijana na Wanawake ni msingi imara wa mifumo endelevu ya chakula”

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • WAPENI ELIMU WANANCHI KUHUSU UGOJWA WA MPOX...

    March 17, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo