• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

DED BAGAMOYO ATETA NA WATUMISHI IDARA YA AFYA HALMASHAURI YA BAGAMOYO....

Posted on: July 9th, 2025

DED BAGAMOYO ATETA NA WATUMISHI IDARA YA AFYA HALMASHAURI YA BAGAMOYO.


Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo Bw Shauri Selenda  leo tarehe 9 Julai 2025 amefanya kikao na Watumishi wa Idara ya Afya kwa lengo la kujadili maswala ya Utumishi pamoja utendaji kazi katika Sehemu zao za Kazi.

Katika Kikao hicho Mkurugenzi Mtendaji alitumia fursa hiyo kuwaalika Maafisa kutoka Taasisi ya Kupambana na kuzuia Rushwa ambapo walitoa Elimu ya madhara ya kupokea Rushwa kwa wananchi.

Pia Vilevile wameelekeza namna bora ya utoaji wa huduma kwa Wananchi wanakwenda kupata huduma katika vituo vyao vya kufanyia kazi pamoja na kutoa wito kwa watumishi hao kuhakikisha wanakuwa na Nidhamu ya kazi muda wote.

Mbali na hayo Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo ametoa pongezi kwa Watumishi hao kwa kuendelea kutoa huduma bora kwa wananchi.

Aidha Mkurugenzi Bw Shauri Selenda amewataka Watumishi hao kuzidisha nidhamu kazini pamoja na kuhakikisha wanatumia lugha nzuri pindi wanapotoa huduma kwa wananchi.

Aidha Mkurugenzi amewaeleza Watumishi hao kuwa Serikali imejipanga kuhakikisha inaendelea kuboresha stahiki zao hasa kwa upande wa fedha za likizo pamoja na kuendelea kulipa madeni kwa wale watumishi ambao wanadai fedha zao.

Sanjari na hayo pia Mkurugenzi Mtendaji amesema kuwa Halmashauri itaendelea kuboresha miundombinu ya majengo kwa kufanya ukarabati pamoja na kuweka mazingira rafiki ambayo yanawezesha utendaji kazi.

Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo Bw Shauri Selenda anaendeleza  utaratibu wa kuzungumza na watumishi wote wa Umma katika Halmashauri hiyo lengo likiwa ni kufahamu mambo yanayowasibu watumishi hao na kutafutia ufumbuzi.

@ikulu_mawasiliano

@ortamisemi

@ofisi_ya_rais_utumishi

@ofisi_ya_mkuu_wa_mkoa_wa_pwani

@gersonmsigwa

@harvesttimeradiotz

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA BAGAMOYO AFANYA KIKAO KAZI NA WAKUU WA IDARA NA VITENGO,WATENDAJI KATA KUTATHMINI UTENDAJI KAZI KWA MWAKA 2024/2025...

    July 12, 2025
  • DED BAGAMOYO ATETA NA WATUMISHI IDARA YA AFYA HALMASHAURI YA BAGAMOYO....

    July 09, 2025
  • TSC YATOA MAFUNZO ELEKEZI KWA WALIMU AJIRA MPYA...

    July 10, 2025
  • DC NDEMANGA AZUNGUMZA NA WATUMISHI WA AFYA KEREGE...

    July 09, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo