• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

DR DELPHINE MAGERE AAGIZA KUONGEZA UDHIBITI KATIKA USIMAMIZI WA MAPATO

Posted on: January 8th, 2021

Katibu Tawala Mkoa wa Pwani Dk. Delphine Magere  leo Januari 8,2021

amefanya kikao maalumu na mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya 

ya bamogayo pamoja na wakuu wa idara katika halmashauri hiyo 

kujadili changamoto,na namna ya utendaji kazi unavyofanyika 

katika idara hizo.

Katika kikao hicho Dk. Delphine ameagiza kusimami kwa umakini mkubwa

ukusanyaji wa mapato ili kufikia lengo ambalo serikali imejiwekea kama 

isipofika asilimia mia basi isishuke chini ya asilimia 50 katika ukusanyaji 

huo kwenye kila idara.

Agizo hilo amelitoa mara baada ya kuonekana kutofikia malengo ya asilimia

hamsini kwa baadhi ya idara katika ukusanyaji wa mapato kutokana na 

chanagamoto mbalimbali zilizowakabili huku pia akiwataka kutafuta njia ya 

kutatua changamoto hizo kwa haraka ili kuweza kukusanya mapato hayo 

kuweza kuendesha halmashari.

‘’kufikia mwishoni mwa mwezi januari lazima makusanyo yafikie asilimia 

hamsini  ili kuondoa gepu lililokuwepo hapa katika makusanyo nimeona 

kuna changamoto ila ili changamto zinatatulika na sio vinginevyo hivuo 

binafsi nataka kuona mapato yanafikia asilimia 50’’alisema Dk. Delphine

Aidha katika hatua nyingine Dk Delphine amesema kuwa kama kutatokea 

kutofikia asilia hizo hamsini katika ukusanyaji basi atahitaji maelezo 

kwanini watu wameshindwa kufikia na hatua zipi zimechukuliwa kwa 

wahusika wa ukusanyaji wa mapato hayo.

Aliendelea kwa kuongelea swala la usafi wa mazingira na kusema kuwa 

mazingira ya wilaya ya Bagamoyo machafu na hakuna hatua ambazo 

zinachukuliwa mpakan sasa hivyo ni vema kuanza kampeni ya usafi 

katika kila kata ili kuweza kuweka mazingira yakawa safi pia ni vizuri 

kujifunza kwa halmashauri zingine ambazo zimefanikiwa kwa swala hii

‘’mazingira ya hapa ni machafu barabara zote ni chafu mitaro kuna maji 

taka pomoja na uchafu mwingine lakini hakuna hatua ambazo mpaka sasa 

zimechukuliwa hivyo ni lazima kufanyike jambo la kuwaamsha wananchi ili 

waweze kufanya usafi’’ alisema Dk. Delphine

Kwaupande mwingine Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya 

BagamoyoBi Fatuma O Latu, amesema kuwa tayari wamekwisha anzisha 

kampeni ya usafi wa mji na kampeni hiyo itaanza rasmi 

siku ya jumamosi kwa watumishi wote kukutana katika kata ya 

Dunda na kufanya usafi mtaa wa Mangesaniili kuonesha mfano

 kwa kata nyingine kuweza kuendelea na kampeni hiyo

ya usafi

Bi Latu pia amesema kuwa watahakikisha pia wanasimamia vizuri na kuweka

 mikakati madhubuti mabayo itaongeza nguvu na hali ya ukusanyaji wa mapato

 ili kuweza kufikia lengo lililowekwa na serikali.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • WAPENI ELIMU WANANCHI KUHUSU UGOJWA WA MPOX...

    March 17, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo