• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

FANYENI UHAKIKI WA MAENEO NA MASHAMBA:KATIBU MKUU ARDHI.

Posted on: March 2nd, 2021

Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi,Nyumba  na Maendeleo ya Makazi  Bibi Mary G.Makondo amewaagia wataalamu wote wa Ardhi Wilayani Bagamoyo  kufanya uhakiki wa mashamba,na maeneo yote na hatua zilizochukuliwa mapendekezo kuhusiana na maeneo makubwa ambayo hayajaendelezwa wala kulipiwa kodi .

Hayo yamesemwa leo marchi 2,2021 Wilayani Bagamoyo  na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi Bi Mary Makondo  kuwa Ardhi ndio msingi wa shughuri zote za kiuchumi na kijamii ni rasilimali ya muhimu sana na kipekee hivyo wataalamu wanatakiwa kufanya tathmini ili kujua ukubwa wa ardhi iliyopo na kuhifadhi kumbukumbu na taarifa zote zioneshe maeneo yaliyo kuwa wzi na ambayo yanatakiwa kufanyiwa uwekezaji

‘’ardhi ni rasilimali muhimu sana kwa Halmashauri,Wananchi hivyo ni muhimu nyie kama wataalmau muwe na taarifa ambazo zinaonyesha ukubwa wa eneo mlionalo na kufanya tathmini ambayo itawasaidia kutambua maeneo yote ambayo yapo wazi nayale ya kufanyiwa uwekezaji’’ alisema Bi Mary Makondo.

 Bi Mary Makondo  pia ameongeza kuwa ni lazima zipatikane taarifa za maeneo yote ambayo hayajaendelezwa nayale ambayo hayajalipiwa kodi na wamiliki wa hayo maeneo wote waorodheshwa kwenye taarifa hiyo pamoja na hatua ambazo zimechukuliwa dhidi yao na mikakati ipi ambayo imeshawekwa ili kuhakikisha maeneo ambayo hayajaendelezwa yanafanyiwa kazi.


Aidha Katibu Mkuu huyo amesema kuwa, kuhusu swala la viwanja vya ukuni atatuma watu ili kufanya uchunguzi na kuweza kutambua wamiliki wa viwanja hivyo ambavyo kwa hivi sasa vipo japokuwa wenyewe hawajulikani walipo

‘’Upo mfumo ambao tunautengeneza ambao utatumika pia kukusanya nyaraka zote hivyo wataalamu watakuja na kifaa kuna majira ya nukta ambayo hayadanganyi na wote wenye viwanja hivyo watapatikana’’ alisisitiza.

 Mwisho Katibu Mkuu huyo, amemtaka mkurungenzi kusaidia kudhibiti migogoro ambayo mingine imesababishwa na wataalamu na ile ya kugawa maeneo mara mbili nyaraka zote  ziwe tete pamoja na Mkuu wa Tehama afanye mawasiliano na Mkurugenzi wa mifumo ili kupata kifaa (saver) cha kuhifadhi nyaraka za mipango miji,upimaji pamoja na majarada yote

Pia alimshauri Mkurugenzi Mtendaji wa Haamashauri ya Bagamoyo kushirikiana na Kamishina wa mkoa  kufanyakazi kwa ushirikiano ili kupunguza migogoro ya aradhi iliyokisiri katika Wilaya ya Bagamoyo.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MRATIBU WA MRADI WA MARCOSIO TAFIRI AONGOZA WASHIRIKI WA WARSHA KUTEMBELEA WAVUVI WILAYA YA BAGAMOYO...

    May 29, 2025
  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI...

    May 23, 2025
  • MWENYEKITI WA TUME HURU YA UCHAGUZI AKAGUA MWENENDO WA UANDIKISHAJI...

    May 18, 2025
  • MKUU WA WILAYA AFANYA MAZUNGUMZO NA BODI YA UTALII..

    May 15, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo