• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

GOODNEIGHBORS YACHANGIA MAPAMBANO DHIDI YA CORONA BAGAMOYO

Posted on: April 28th, 2020


Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Good neighbors Tanzania imetoa msaada wa sabuni na vitakasa mikono 6198 kwa watoto wanaoishi katika Kata za Yombo na Fukayosi, ikiwa ni msaada unaolenga kuunga mkono mapambano dhidi ya Ugonjwa wa Homa kali ya Mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona.

Akizungumza mapema jana Afisa Programu wa Taasisi hiyo Bi. Prisca Peter Chande amesema, mpaka sasa wametoa jumla ya Sabuni na Vitakasa mikono 6198 kwa watoto wanaoishi katika Kata za Fukayosi na Yombo lengo likiwa na kuwakinga watoto hao na familia zao na maambukizi ya Ugonjwa wa Corona.

“Tunafurahi kuwafikia watoto takribani 3000 katika Kata hizi na tunaamini msaada huu utawawezesha kujikinga na maambukizi ya Corona kwani watoto hawa wamepewa mafunzo ya namna ya kunawa mikono kwa sabuni na maji tiririka na wazazi wao kuhamasishwa kuhakikisha wanaweka vibuyu chirizi katika kila kaya ili wanafamilia wajenge mazoea ya kunawa mikono kwa sabuni wakitumia maji tiririka mara kwa mara hasa katika kipindi hiki cha mlipuko wa ugonjwa wa corona”

Anaongeza, msaada huu pia umetolewa katika Ofisi za Serikali za Vijiji vya Kata za Yombo na Fukayosi ili wananchi wanaofika kupata huduma katika Ofisi hizo watumie sabuni na vitakasa mikono hivyo kujisafisha mikono kabla ya kuingia kupata huduma jambo ambalo litasaidia kuongeza kinga dhidi ya maambukizi ya ugonjwa wa corona

Bi. Prisca anaongeza kusema, kama hiyo haitoshi wameona ni vyema kutoa  sabuni 450 na vitakasa mikono 1270 kwa Ofisi za Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo ili zisaidie katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Corona Wilayani Bagamoyo

Akipokea msaada huo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo, Bi. Fatuma O. Latu ameishukuru taasisi hiyo ya Good neighbors kwa kujitolea kuungana naye katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Corona katika Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo na kwamba amefurahi sana kwani Ofisi za Halmashauri zinatoa huduma kwa Wananchi wanaotoka pande mbalimbali za Bagamoyo na wanapofika katika Ofisi za Halmashauri ni vyema wakajikinga wao binafsi na kuwakinga watumishi wanaowahudumia kwa kuhakikisha wamenawa mikono kwa sabuni na maji tiririka yaliyowekwa nje ya kila Ofisi za Halmashauri, hivyo msaada huo utasaidia sana katika mapambano dhidi ya Ugonjwa wa Corona.

Naye Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo, Mhe. Alli Alli Issa, akizungumza wakati wa kupokea msaada huo amesema anaishikuru taasisi hiyo ya good neighbors kwa msaada huo uliokuja kwa wakati mwafaka kabisa kwani Uhitaji wa vifaa vya kujikinga dhidi ya maambukizi ya ugonjwa wa corona ni mkubwa sana kwa sasa, hivyo ni faraja kubwa kupata msaada huo katika kipindi hiki.



Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • BAGAMOYO KUJITANGAZA KIMATAIFA SEKTA YA UTALIII...

    May 10, 2025
  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo