• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

HAFLA YA KUPOKEA VIHIFADHIA TAKA KUTOKA KAMPUNI YA FISHER RECORDS..

Posted on: April 15th, 2023

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo Ndg Majid Selemani Mhina kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo mapema leo amepokea vifaa vya kuhifadhia taka kutoka kwa kampuni ya Fisher Record hafla iliyofanyika katika soko kubwa la Samaki.

Akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo. amesema kuwa anatoa pongezi kwa Kampuni ya Fisher Records kwa kuichagua Halmashauri ya Wilaya ya Bagmoyo na kuwapatia Vihifadhia Taka hivyo ambapo vitatumika kuhifadhia taka ndani ya soko la Samaki Pamoja na kwenye barabara.

Pia vilevile Kaimu Mkurugenzi ameendelea kwa kusema kuwa kupatikana kwa vifaa vya kuhifadhia taka vitasaidia kuweka mji katika hali ya usafi na kila moja kuwa balozi wa kulinda na kutunza mazingira kwa kutupa taka katika vihifadhia taka hivyo na kuacha kutupa taka ovyo.

‘’ndugu wananchi kupatikana kwa vifaa hivi vitasaidia kuboresha hali ya ukusanyaji wa taka katika mikusanyiko ya watu wengi na wenye shughuli mbalimbali Pamoja na sehemu zinazo toa huduma kama vile stand za mabasi Pamoja na masoko’’Amesema Ndg.Majid Mhina

Diwani wa kata ya Dunda Mhe Amiry Mpwimbwi ametoa shukrani kwa Kampuni ya  Fisher Record kwa kusaidia kupatikana kwa vifaa hivyo vya kuhifadhia taka Pamoja na kuchagua kuanza na Kata yaDunda  kwa kuweka vifaa hivyo.

Pia amesema kuwa Kata ya Dunda tayari wameweka mpango maalumu wa kukusanya taka na kuhakikisha wanafikisha sehemu husika ya kutupia taka hizo huku pia akisema wameunda kikosi maalumu cha polisi jamii ambacho kitasaidia kulinda watu wenye tabia ya kutupa taka ovyo bila kufuata utaratibu uliowekwa.

‘’tumeunda kikosi cha polisi jamii ambacho bado hakijaanza kufanya kazi yake lengo la kikosi hicho nikuhakikisha wanalinda na kutazama mtu yoyote nae tupa taka hovyo waweze kumdhibiti ili hatua za kisheria ziweze kuchukuliwa dhidi yao’’ amesema Diwani

Sanjari na hayo pia amesema kupatikana kwa vifaa hivyo sasa tukwenda kuweka mazigira wezeshi kwa wananchi kuweza kupata njia rahisi ya kutupa taka kwa kutumia vifaa hivyo na kuepuka kutupa taka ovyo ili kuweza kujiepusha na makosa ya utupaji wa taka ovyo.

Nae Mwenyekiti wa Kamati ya Uchumi,ujenzi na Mazingira Mhe Ally Ally Issa ameshukuru na kupongeza kwa wadau wa fisher records kwa mchango mkubwa walio utoa kwa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo na kusema wataendelea kuwatangaza vizuri kwa Msaada Mkubwa walio utoa wa vihifadhia taka hivyo..

Kwa upande wake CPA Eliudi ambae ni Mkurugenzi Msaidizi wa Fisher Record amesema wao wamefurahi kufika Halmashauri ya Bagamoyo na kupongeza kwa mapokezi mazuri waliyo yapata na kusema kuwa wataendelea kutoa na kuunga Mkono  juhudi za serikali ‘’leo hapa tumetoa vihifadhia taka hivi 10 lakini tunaadhidi kuwa tunakwenda kuleta vihifadhia taka vingine ambavyo tunaviweka kila baada ya mita 100 katika maeneo ya barabara zetu hapa’’amesema ndg Eliudi.



Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • BAGAMOYO KUJITANGAZA KIMATAIFA SEKTA YA UTALIII...

    May 10, 2025
  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo