• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

HALMASHAURI YA WILAYA BAGAMOYO YAFANYA ZIARA ZA MAFUNZO YA NAMNA BORA YA KUKUZA MAPATO YAKE

Posted on: December 21st, 2017

Halmashauri ya Wilaya ina mpango wa kukuza Mapato yake ya Ndanikutokana na vyanzo vyake 

vyaMapato kwa kufahamu hilo baadhi ya wajumbe toka Halmashauri walienda katikaHalmashauri

mbalimbali kwa kujifunza namna bora ya ukusanyaji wa mapato na utunzaji wa mazingira kwa ujumla.

Katikaziara hiyo Waheshimiwa madiwani, Wakuu wa Idara na Mkurugenzi Mtendaji waHalmashuri walitembelea 

Manispaaya Moshi Mjini, Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe na Halmashauri ya Jiji laTanga juu ya namna ya 

kukuzamapato na kutunza mazingira.

Zifuatazoni picha za baadhi ya wajumbe wakiwa katika Ziara ya Mafunzo hayo


Mkurugenzi Mtendaji wa Korogwe TC akitoa maelezo juu ya matumiziya Force Account Juu ya Ujenzi wa Madarasa Shule ya Msingi Kilimani. Hapo akiwana wajumbe toka Bagamoyo Dc

Waheshimiwa Madiwani na Wakuu wa Idara wakipata maelezo kutoka kwaMkurugenzi wa Manispaa ya Moshi (hayupo pichani) namna ya kuimarisha usafi waMazingira jinsi walivyofanikiwa

Picha ya pamoja ya Waheshiwa Madiwani na Wajumbe toka Bagamoyo naMoshi mara baada ya maelekezo


Afisa Mipango Wilaya Malboard Kapinga, Mweka Hazina EvansMwalukasa na Afisa Utumishi Nira Ndunguru wakisubir kifungua kinywa

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • WEHESHIMIWA MADIWANI WAFANYIWA TAFRIJA YA KUWAAGA....

    June 20, 2025
  • MILIONI 8.13 YATOLEWA KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU...

    June 20, 2025
  • MKURUGENZI BAGAMOYO ZIARA YA KIKAZI...

    June 13, 2025
  • MRATIBU WA MRADI WA MARCOSIO TAFIRI AONGOZA WASHIRIKI WA WARSHA KUTEMBELEA WAVUVI WILAYA YA BAGAMOYO...

    May 29, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo