• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

HALMASHAURI YA WILAYA BAGAMOYO YATAKIWA KUTANGAZA FURSA ZA UWEKEZAJI

Posted on: December 7th, 2017

HALMASHAURI YA WILAYA BAGAMOYO YATAKIWA KUTANGAZA FURSA ZA UWEKEZAJI

Katibu Tawala Msaidizi Uzalishaji na Mwezeshaji Ndugu Shangwe Twamala ameyasema hayo katika kikao cha pamoja

 wa viongozi wa Halmashauri na Kamati ya ushauri ya Wilaya katika kikao kilichofanyika Ukumbi wa Halmashauri ya 

Wilaya tarehe 06/12/2017 katika kujadili fursa za maendeleo kwa ajili ya wawekezaji.

Kikao hicho kilijadili maeneo ya uwekezaji yaliyopo na mkakati wa kuyaendeleza maeneo hayo hivyo Halmashauri ilipewa

ushauri wa kuweka miundombinu wa sehemu zilizotengwa kwa ajili ya uwekezaji. Katika miundombinu iliyotakiwa kuwekwa

 ni Umeme, Maji na Barabara hivyo kutakiwa kushirikiana na Taasisi husika kufanya hilo.

Pamoja na hayo ulitolewa ushauri kwa Halmashuri kuangalia namna ya kutatua migogro ya ardhi kabla ya wawekezaji kufika

eneo tajwa hiyo ndio itakayokua chachu ya maendeleo na kufanya uwekezaji kuwa wenye tija kwa wanachi na Taifa kwa ujumla

 hayo yalisemwa Mwanasheria wa Wilaya Ndugu Hemedi Malugo.

Upande wa Idara ya Ardhi walishauriwa kupima maeneo yote yaliyotengwa kwa ajili ya uwekezaji pia hata maeneo tarajiwa ili kukuza

 thamani ya ardhi husika. Pia kuwaandaa wananchi kushiriki katika uwekezaji kwa kuandaa malighafi za viwanda, kutoa huduma pia

 kuwa na wabia wa wawekezaji kwa wale wanachi wenye maeneo makubwa.

Katika kikao hicho kulikuwapo na wataalam toka Tume ya Sekretari ya Maadili Kanda ya Mashariki kuhusu kutoa mafunzo elekezi ya kimaadili 

kwa watumishi wa Umma. Katika mafunzo eleekezi hayo walisisitiza sana viongozi wa umma kufuata maadili katika utendaji kazi wao kufanya

 jambo sahihi, wakati ashihi na wakati sahihi na kutumia umuhimu wa kanunu za ujirani hasa katika maamuzi ya maswala yanayogusa jamii .

Maadili huanza katika ngazi ya familia na mpaka taifa kwa ujumla kwani jamii yenye maadili hufanya mambo mema yenye kuleta manufaa kwa

 jamiii yote inayomzunguka na Taifa kwa ujumla. Taifa lisilokuwa na maadili huleta rushwa na upotovu wa haki katika mambo ya kimaendeleo.

Pia katika kikao hicho waliongelea taarifa za maendeleo ya Idara ya Elimu (Msingi na Sekondari) kuhusiana na matokeo pamoja na changamoto

 jinsi ya namna ya kuboresha huduma hizo ambapo wakuu wa Idara husika waliwasilisha taarifa zao na kuleta mjadala wa namna nzuri ya kukuza

 Elimu kwa Halmashauri mpaka Taifa kiujumla.

Mwenyekiti wa Kikao Katibu Tawala Wilaya Erica Yegella alisisitiza yafuatayo katika kufunga kikao watumishi waheshimu kazi  na kuzingatia maadili katika 

kufanya kazi pia kujikinga na ugonjwa wa UKIMWI.



Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • BAGAMOYO KUJITANGAZA KIMATAIFA SEKTA YA UTALIII...

    May 10, 2025
  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo