• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

HALMASHAURI YATEKELEZA MIRADI YENYE THAMANI YA SHILINGI 39,576,000/= KATIKA KIPINDI CHA ROBO YA NNE YA 2018/2019

Posted on: August 23rd, 2019


Kamati ya waheshimiwa Madiwani ya Elimu, Afya na Maji ya Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo imefanya ukaguzi wa miradi ya maendeleo yenye thamani ya Shilingi 39,576,000/=


Ukaguzi wa miradi hii umefanyika katika utaratibu wa ukaguzi wa miradi unaofanywa na kamati ya Elimu,Afya na Maji kila robo mwaka, na ukaguzi huu ni wa robo ya nne ya Mwaka 2018/2019.


Mwenyekiti wa Kamati ya Elimu, Afya na Maji, Mhe. Ibrahim Mbonde ambaye pia ni diwani wa Kata ya Mapinga ameiongoza kamati hiyo, kukagua mradi wa Ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa katika Shule ya Msingi Mapinga iliyopo Kata ya Kerege uliogharimu Kiasi cha Shilingi 25,000,000/= mradi ambao hadi sasa umekamilika, Ujenzi wa matundu 10 ya vyoo katika Shule ya Msingi Kiharaka, uliogharimu kiasi cha Shilingi 10,000,000/= ukiwa katika hatua za Ukamilishaji, Ujenzi wa zahanati ya Kimalang'ombe uliopatiwa Shilingi 4,576,000/= kwa ajili ya kupaua jengo la Zahanati hiyo. Fedha zote zilizotolewa kutekeleza miradi hii ni fedha za mapato ya ndani ya Halmashauri.


Kamati ya Elimu, Afya na Maji inaundwa na Mhe. Ali Ali Issa (M/kiti HW Bagamoyo)

Mhe. Ibrahim Mbonde (M/kiti Kamati ya EAM, Diwani Kata ya Mapinga)

Mhe. Hassan Usinga - Wembe (Diwani Kata ya Kiromo)

Mhe. Dickson Makamba (Diwani Kata ya Dunda)

Mhe. Elizabeth Shija (Diwani Viti Maalum Tarafa ya Yombo)

Mhe. Mohamed Mwinyigogo (Diwani Kata ya Zinga)


Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo, Mhe. Ali Ali Issa, akiwa katika ukaguzi wa mradi wa Ujenzi wa Matundu 10 ya vyoo katika Shule ya Msingi Kiharaka amesikitishwa na jinsi ambavyo ukamilihsaji wa mradi huo unasua sua na kuwataka Viongozi wa maeneo hayo kushirikiana na Wananchi kuhakikisha mradi huo unakimilika haraka kwani upo nje ya muda wa utekelezaji wake.


Nae Mhe. Ibrahim Mbonde ambaye pia ni Mwenyekiti wa kamati hiyo amewaasa Wananchi kuhakikisha wanachangia shughuli za maendeleo, ili kurahisisha utoaji wa huduma za Elimu, Afya na Maji katika maeneo yao hivyo kuiletea jamii nzima maendeleo stahiki.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • WAPENI ELIMU WANANCHI KUHUSU UGOJWA WA MPOX...

    March 17, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo