• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

HONGERENI SANA HALMASHAURI YA BAGAMOYO....

Posted on: November 7th, 2024

HONGERENI SANA HALMASHAURI YA BAGAMOYO.

Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Mhe Shaibu Ndemanga ametoa pongezi kwa Halmashauri ya Bagamoyo kwa kazi kubwa wanayoifanya katika usimamizi na uendeshaji wa Halmashauri kiujumla.

Pongezi hizo amezitoa wakati wa Kikao cha baraza la Madiwani kilichoketi katika kumbi ya Mikutano wa Halmashauri hiyo tarehe 7 Novemba 2024 na kubudhuliwa na Viongozi mbalimbali.

Mhe Mkuu wa Wilaya amesema kuwa kuna kila haja ya kutoa pongezi kwa Waheshimiwa Madiwani,Mkurugenzi,wakuu wa idara na vitengo pamoja na watumishi wote kwa ujumla kwa mamna wanavyoendelea kufanya vizuri katika nyanja mbalimbali ikiwemo ukusanyaji wa mapato.

Vilevile Mhe Ndemanga aweomba kuendelea kupewa ushirikiano wa kutosha kutoka kwa watu wote huku akisisitiza swala zima la ukusanyaji wa mapato ya Halmashauri kwani ndio maelekezo ya Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ndemanga amewaasa watumishi kuwa suala la ukusanyaji wa mapato ni jukumu la kila moja na sio suala la watu wachache au kundi dogo kutoka Halmashauri ama idara fulani.

“Niwaombe waheshimiwa Madiwani na watumishi wote tusimamie suala la ukusanyaji wa Mapato na Halmashauri hii tunaweza kufika Bilioni 10”alisema Mhe Mkuu wa Wilaya.

Nae Mhe Mwenyekiti wa Halmashauri ya Bagamoyo Mohamed Usinga amemshukuru Mhe Mkuu wa Wilaya na kusema kuwa watayafata maelekezo yote ambayo ameyaelekeza kupitia kikao hicho cha Baraza kwa maslahi mapana ya Bagamoyo na Taifa kwa ujumla.

Pia Mhe Usinga amesema wataendelea kuwa na uangalifu Mkubwa katika usimamizi wa Miradi ya maendeleo,usimamizi wa Mapato pamoja na kuwa makini katika Matumizi na kuboresha huduma mbalimbali kwa Wananchi.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • WAPENI ELIMU WANANCHI KUHUSU UGOJWA WA MPOX...

    March 17, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo