• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

HONGERENI SANA VIONGOZI WA WILAYA YA BAGAMOYO.

Posted on: September 21st, 2021

Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Abubakari Kunenge amepongeza juhudi kubwa zilizofanywa na viongozi wa Wilaya ya Bagamoyo pamoja na wananchi kwa ujumla kwa kazi kubwa walioifanya katika kusimamia miradi ya kimaendeleo yenye tija katika jamii ya Wanabagamoyo.

Hayo ameyazungumza hii leo tarehe 21 Sept,2021 wakati alipofanya ziara yake ya kikazi katika Wilaya ya Bagamoyo na kutembelea miradi mbalimbali ya kimaendeleo ikiwemo ujenzi wa zahanati ya kimarang'ommbe,ujenzi wa vyumba vya madarasa shule ya msingi kigongoni,Maabara ya shule ya sekondari Hassanal Damji pamoja na kuweka jiwe la Msingi katika ujenzi wa Mradi wa kimkakati wa soko la Samaki.

Mhe Abubakari Kunenge amepongeza wasimamizi wote walio simamia ujenzi wa vyumba vya madarasa katika shule ya msingi kigongoni na kusema kuwa wamekuwa ni wasimamizi imara kwani wametekeleza jukumu lao la usimamizi vizuri''niwaapongeze wasimamizi wa huu mradi kwani zilikuja pesa za vyumba vinne vya madarsa lakini wameweza kujenga vyumba vitano hivyo niwapongze sana'' amesema Mkuu wa Mkoa.

Pia Mhe Mkuu wa Mkoa amesema kwa changamoto zilizokuwepo amezichukua na atazifanyia kazi na kuweza kuzitatua taratibu huku akiwataka kuwa wavumilivu kwani bado shule ndio kwanza inaanza na kusema watahakikisha miundombinu yote ya umuhimu ni lazima iwepo katika kuweza kusaidia.

sanjari na hayo mkuu wa mkoa ametembelea maabara iliopo shule ya sekondari Hassal Damji na kutoa maelekezo kuhakikisha maabara hizo zinaanza kufanya kazi na kusema changamoto zilizopo zisiwe sababu ya kutotumika kwa maabara hizo

Pia Mhe Abubakari kunenge ametembelea mradi wa kimkakati wa soko la samaki na kuweka jiwe la msingi katika mradi huo kuku akiagiza kuwa ifikapo tarehe 19 Okt,2021 mradi huo uwe tayari umekamilika ili kuweza kuanza kufanya kazi na wananchi waweze kunufaika na mradi huo wa soko la Samaki.

Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe Abubakari Kunenge ameanza kufanya ziara katika Mkoa  Pwani  ambapo atatembelea Wilaya zote za Mkoa wa Pwani huku lengo likiwa ni kukagua miradi yote ya kimaendeleo na kuweka mawe na msingi pamoja na kuzungumza na wananchi katika kila Kata.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • WAPENI ELIMU WANANCHI KUHUSU UGOJWA WA MPOX...

    March 17, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo