• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

HONGERENI WALIMU KWA SEMINA

Posted on: April 8th, 2021

Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania Dkt. Charles E. Msonde  ametoa pongezi kwa walimu wote walio shiriki semina ya kujenga uwezo kwa walimu wa shule zote za sekondari zilizopo  Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo  yaliyofanyika  Bagamoyo Sekondari kwa muda wa siku tatu

Pongezi hizo amezitoa wakati wa kufunga semina hiyo tarehe 8 aprili 2021 na kuwapongeza walimu hao huku pia akipongeza serikali ya awamu ya tano kwa juhudi kubwa walizo zifanya kwa kwa kuboresha mifumo ya elimu kwa kuweka mifumo ya  za kisasa  ya kieletroniki inayoboresha utendaji kazi wa Baraza hilo.

‘’Serikali ya awamu ya tano imefanya kazi kubwa sana tumeokoa pesa nyingi sana kwa sababu ya kuletewa mifumo ya kisasa ya kidigitali ambayo imetuwezesha kufanya vitu vyetu kwa weledi mkubwa mno kwa kushirikiana vizuri na watu wa tehema’’alisema  Katibu  Mtendaji .

Aidha Dkt. Msonde amewasisitiza walimu kuacha tabia ya kuvujisha mitihani ambayo wanafunzi wanafanya kwa vitendo huku na kusababisha hasara ya kufutwa kwa mitihani kwa baadhi ya shule na kuwataka kuwa waadilifu katika utendaji wao wa kazi

Sanjari na hayo Katibu Mtendaji  ametoa onyo kali kwa wakuu wote wa shule kutofanya tabia za kutoa siri za mitihani kwa wanafunzi wao na kuwa waadilifu kwani tabia hiyo inaweza kusababisha Mkuu wa shule kukosa kazi moja kwa moja

Katika hatua nyingine Dkt. Msonde amesema walimu watumie mafunzo hayo kuwapa na wenzao elimu hiyo ambao hawajafanikiwa kuapata mafunzo hayo ili kuendelea kufanya vizuri katika mitihani yote ya kitaifa kama kawaida iliyopo katika wilaya ya Bagamoyo ya kufanya vizuri katika mitihani hiyo

Mwalimu Methoud Kunambi ametoa pongezi kwa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo kwa kuona umuhimu wa kuandaa mafunzo hayo ambayo yamewawezesha kupata vitu vingi muhimu ambavyo vimewasaidia sana huku pia akisema watatumia semina hiyo kuwapa na wenzao ambao hawakubahatika kuwepo katika mafunzo.

Lengo la semina hiyo ni utekelezaji wa mpango wa serikali wa kuwawezesha walimu kukuza taaluma zao ili kuongeza tija katika utoaji wa elimu uwezo wa utendaji kazi kwa walimu wote ,semina hiyo imedumu kwa siku tatu iliyofanyika Bagamoyo Sekondari  

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MRATIBU WA MRADI WA MARCOSIO TAFIRI AONGOZA WASHIRIKI WA WARSHA KUTEMBELEA WAVUVI WILAYA YA BAGAMOYO...

    May 29, 2025
  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI...

    May 23, 2025
  • MWENYEKITI WA TUME HURU YA UCHAGUZI AKAGUA MWENENDO WA UANDIKISHAJI...

    May 18, 2025
  • MKUU WA WILAYA AFANYA MAZUNGUMZO NA BODI YA UTALII..

    May 15, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo