• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

INEC YAONYA MAKARANI KUHUSU UTUNZAJI WA SIRI ZA UCHAGUZI....

Posted on: October 27th, 2025

INEC YAONYA MAKARANI KUHUSU UTUNZAJI WA SIRI ZA UCHAGUZI


Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewaonya makarani wa uchaguzi kutojihusisha na utoaji wa taarifa za siri za uchaguzi, na imewataka kusimamia viapo vyao vya utunzaji wa siri katika kipindi chote cha uchaguzi.

Hayo yamesemwa  na Mjumbe wa Tume, Mheshimiwa Balozi Omar Ramadhan Mapuri, wakati alipotembelea mafunzo ya makarani waongozaji wa vituo vya kupigia kura katika Jimbo  la  Bagamoyo.

Balozi Mapuri amesema kuwa makarani wote wanapaswa kutambua umuhimu wa kudumisha maadili ya kazi zao na kuhakikisha taarifa zote za uchaguzi zinabaki kuwa siri ya tume hadi pale zitakapotangazwa rasmi.

Aidha, amefafanua kuhusu viapo vya kujiondoa uanachama wa chama cha siasa kwa makarani ambao ni wanachama wa vyama vya siasa, akisema kuwa hatua hiyo haimaanishi kuwafuta uanachama wao kabisa, bali ni kwa muda wa utekelezaji wa majukumu ya tume.

Tume imeendelea kusisitiza kuwa maandalizi hayo ni sehemu ya kuhakikisha uchaguzi unakuwa huru, haki na wa uwazi katika maeneo yote nchini.

Matangazo

  • NOTISI YA KUSUDIO LA KUANZISHA HALMASHAURI YA MJI BAGAMOYO YA MWAKA 2025.... October 23, 2025
  • TANGAZO LA UTEUZI WATENDAJI WA VITUO JIMBO LA BAGAMOYO.... October 18, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI.... October 03, 2025
  • TANGAZO LA MAOMBI YA MPIGA KURA... September 16, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • INEC YAONYA MAKARANI KUHUSU UTUNZAJI WA SIRI ZA UCHAGUZI....

    October 27, 2025
  • DED BAGAMOYO AFANYA ZIARA YA UKAGUZI WA MIRADI....

    September 30, 2025
  • UZINDUZI WA MAKAUSHIO YA MAZAO YA BAHARI BAGAMOYO.....

    September 24, 2025
  • ZIARA YA KUJIFUNZA NAMNA BORA YA MATUMIZI YA FUKWE....

    September 20, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo

  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Toto Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Togel
  • Situs Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Toto Slot
  • SILVAWIN
  • YAMITOTO
  • Slot Gacor
  • Situs Toto Slot
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200