• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

JUKWAA LA UWEZESHAJI WANAWAKE KIUCHUMI LIWE CHACHU YA TANZANIA YA VIWANDA

Posted on: December 24th, 2017

Hayo yamesemwa leo na Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Subira  Mgalu,  wakati akifunga maonesho ya wajasiriamali wanawake wa Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo katika viwanja vya Shule ya Msingi Mwanamakuka.

"Naipongeza sana Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo kwa kufanikiwa kutekeleza agizo la Mhe. Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan kwa vitendo na kuanzisha Jukwaa la uwezeshaji Wanawake kiuchumi katika Halmashauri yenu" Alisema Mhe. Mgalu.

Jumla ya vikundi 26 vya Wanawake wajasiriamali vilishiriki maonesho hayo yaliyofanyika kwa muda wa siku sita huku taasisi ya Sober house Bagamoyo na TFDA pia wakishiriki katika maonesho hayo ambapo wamekuwa wakiwaelimisha Wananchi juu ya huduma mbalimbali wanazotoa kwa Wananchi.

Baadhi ya bidhaa zilizooneshwa na Wanawake wajasiriamali hao wakati wa maonesho hayo ni pamoja na bidhaa za usindikaji matunda, Ususi, Ufumaji, mboga mboga, mvinyo, sabuni na dawa asili ambapo Mhe. Naibu Waziri Mgalu ametoa ahadi msaada wa kodi ya miezi mitatu kwa Wazee Wanawake wajasiriamali walioshiriki maonesho hayo huku akisisitiza vikundi vilivyoshiriki maonesho hayo na havina mikopo mwaka ujao wapate mikopo toka Halmashauri.

Pia Mhe. Mgalu ametumia fursa hiyo kutoa agizo kwa Tanesco Bagamoyo kumalizia tatizo la Umeme Bagamoyo na kuahidi kumalizia tatizo la kutokufika Umeme kitongoji cha sanzale Kata ya Magomeni.

Mmoja wa washiriki wa maonesho hayo Bi. Verediana Emmanuel akitoa ushuhuda wake amesema, amepata ujuzi, Elimu zaidi ya ujasiriamali, kupanua masoko ya bidhaa,  kubadilishana mawazo na fursa ya mikopo kupitia maonesho hayo na kuwaasa Wanawake wasijibweteke bali washiriki katika kukuza uchumi binafsi na Taifa kwa ujumla.

Nae mbunge wa jimbo la Bagamoyo Mhe. Shukuru Kawambwa akizungunza na Wananchi wakati wa kufunga maonesho hayo akawakumbusha wanawake juu ya  umuhum wa kujiunga katika vikundi vya ujasiriamali ili kupata fursa za mikopo toka kwenye taasisi za kifedha nchini huku akimshukuru Mgeni rasmi kwa kuwahakikishia wakazi kitongoji cha sanzale umeme wa uhakika. 

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • BAGAMOYO KUJITANGAZA KIMATAIFA SEKTA YA UTALIII...

    May 10, 2025
  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo