• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

KAMATI YA HUDUMA ZA JAMII YAKAGUA NA KUTEMBELEA MIRADI 7 YA MAENDELEO

Posted on: February 9th, 2019

Mwenyekiti wa kamati ya huduma za jamii ya Waheshimiwa madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo, Mhe. Ibrahim Mbonde, ameongoza wajumbe wa kamati hiyo na Wataalam wa Halmashauri kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa na Halmashauri katika Kata ya Dunda, Mapinga, Yombo, Kisutu na Fukayosi.

Miradi hiyo yenye thamani ya Sh. 571,554,066/= ni ya sekta ya Afya, Elimu Msingi na Sekondari inayotekelezwa na Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo kutokana na fedha za makusanyo ya ndani, Ruzuku ya miradi ya maendeleo toka Serikali Kuu na michango ya Wananchi na Wahisani mbalimbali.

Katika ukaguzi huo Wajumbe wa kamati hiyo walionesha kuridhirishwa na ubora wa miradi na thamani halisi ya fedha zilizotumika kutekeleza miradi hiyo huku changamoto mbalimbali zilizojitokeza wakati wa utekelezaji wa Miradi hiyo zikibainishwa kuwa mwamko mdogo wa wananchi kuchangia shughuli za maendeleo, ahadi za wadau na wahisani kucheleweshwa ama kutotekelezwa kabisa pia jamii kutoa tafsiri potofu juu ya dhana ya elimu bila malipo.

Miradi iliyotembelewa ni pamoja na Ujenzi wa Kituo cha Afya Matimbwa kilichopo Kata ya Yombo, Ujenzi wa madarasa manne ya Shule mpya ya Sekondari Mapinga na Ujenzi wa madarasa matano ya Shule mpya ya Msingi Kimele zote zilizopo Kata ya Mapinga na Ujenzi wa vyumba vitatu vya madarasa katika Shule ya Msingi Ukuni iliyopo Kata ya Dunda.

Wakati huo huo, miradi minne ya elimu inayotekelezwa na sekta binafsi, imetembelewa na kukaguliwa katika ziara hiyo, miradi hiyo ni pamoja na ujenzi wa Shule ya awali na msingi Holly Family Sisters iliyopo Kata ya Fukayosi, Ujenzi wa Shule mpya ya awali na msingi ya Ef Daniel Boujou iliyopo Kata ya Kisutu na Ujenzi wa Shule mpya ya awali na msingi Baobab iliyopo Kata ya Mapinga.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • WAPENI ELIMU WANANCHI KUHUSU UGOJWA WA MPOX...

    March 17, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo