• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

KAMPENI YA USICHUKULIE POA NYUMBA NI CHOO YATINGA BAGAMOYO

Posted on: August 1st, 2018


Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo kwa kushirikiana na taasisi ya WEPMO (Water and Environmental Sanitation Projects Maintanance Organisation) zipo katika utekelezaji wa wa mradi wa Uboreshaji wa Afya na Usafi wa Mazingira kwa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo.

Mradi huu unatekelezwa katika Kata zote 11 za Halmashauri ambapo Wananchi wanahamasishwa kujenga vyoo bora kwa bei nafuu na kuelimishwa juu ya umuhimu wa kila nyumba kuwa na choo bora.

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo Bi. Fatuma Latu akizungumza katika utambulisho wa mradi huo utakaotekelezwa kupitia kampeni ya “Usichukulie Poa nyumba ni Choo” uliofanyika katika Ofisi za Halmashauri mapema jana amesema, Halmashauri imekuwa ikifanya uhamasishaji huu wa ujenzi wa vyoo bora kupitia Maafisa Afya wa Kata kila mara, ambapo Wananchi wanahimizwa kuwa kila wanapojenga nyumba ni lazima waanze kwa kujenga choo bora kwanza, hivyo anawashukuru sana taasisi ya WEPMO kwa kuja kuongeza nguvu katika uhamasishaji huu wa ujenzi wa vyoo bora.

Akaongeza “Ni lazima kila mmoja afanye wajibu wake, Wataalam wawajengee Wananchi uelewa juu ya ujenzi na utumiaji wa Vyoo bora, pia faida za kuwa na choo bora na hasara za kutokuwa na choo bora, ni vyema Wananchi wakaelewa kwanza kabla Watendaji wa Kata hawajatumia nguvu na sheria kwa watakaokaidi kujenga na kutumia vyoo bora katika kaya zao kwa kuwafungulia mashauri katika mabaraza ya Kata”

Nae mratibu wa mradi huu wa uboreshaji wa Afya na Usafi wa Mazingira katika Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo, Bw. Renatus Rweyemamu amesema katika utafiti wa awali uliofanywa na taasisi hiyo, hali ya afya na usafi wa mazingira katika Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo inaonesha 84% pekee ndio Wananchi wenye Kaya zenye vyoo vya kawaida yaani aina yoyote ya choo kinachotenganisha kinyesi na mazingira hata vile visivyosafishika, ilihali, Kaya zenye vyoo vilivyoboreshwa  vyenye kutumia maji na vyenye sakafu inayosafishika ni 50% huku vyoo vyenye Vifaa vya kunawia mikono zikiwa ni 18% tu.


Bw. Rweyemamu anaongeza kuwa lengo la mradi huu Kuongeza ufahamu kwa Wananchi kutambua athari za kujisaidia ovyo katika mazingira na kuamua kuacha kupitia mikakati yao katika kuboresha afya na usafi wa mazingira.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • BAGAMOYO KUJITANGAZA KIMATAIFA SEKTA YA UTALIII...

    May 10, 2025
  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo