• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

KITUO KIPYA CHA AFYA MATIMBWA KUKAMILIKA OKTOBA 2018

Posted on: September 18th, 2018


Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Afya Matimbwa unatarajiwa kupunguza kwa kiasi kikubwa msongamano wa Wagonjwa katika Hospitali ya Wilaya ya Bagamoyo na hivyo kuboresha utoaji wa huduma za Afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo.

Ujenzi wa kituo cha Afya Matimbwa, kilichopo katika Kata ya Yombo, Wilayani Bagamoyo, ni mradi unaotekelezwa kwa fedha zilizotolewa na Serikali kuu chini ya Ofisi ya Rais TAMISEMI, kiasi cha Shilingi za Kitanzania Milioni 400, zilizopokelewa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo mnamo tarehe 27/06/2018.

Mradi wa ujenzi wa Kituo cha Afya Matimbwa ulianza rasmi utekelezaji wake mnamo tarehe 26 Julai, 2018 na unatekelezwa chini ya utaratibu wa ‘force account’ yaani kutumia mafundi wa kawaida wa ndani wakiwa chini ya usimamizi wa Muhandisi Mkuu wa Halmashauri.

Hadi sasa majengo matatu yanaendelea kujengwa katika mradi huu, ambayo ni Nyumba ya Mtumishi, Maabara na jengo la tatu ni jengo ambalo limeunganishwa majengo mawili ambayo ni wodi ya wazazi na jengo la upasuaji.

Majengo yote yapo katika hatua za ukamilishaji kwani yamefikia hatua ya kupigwa plasta baada ya kumaliza hatua ya kupauliwa.

Mradi wa ujenzi wa kituo cha Afya Matimbwa utakapokamilika unatarajiwa kutoa huduma kwa wakazi wa Kata ya Matimbwa na Kata jirani za Fukayosi, Makurunge, na Kiromo.

Ujenzi wa Kituo cha Afya Matimbwa unatekelezwa kwa kufuata utaratibu wa“force account”  ambao ni utaratibu wa ujenzi wa majengo ya umma kwa taasisi nunuzi kutumia wataalamu wake yenyewe.

Mradi wa ujenzi wa kituo cha Afya Matimbwa unatarajiwa kukamilika tarehe 30/10/2018 na kuanza kutoa huduma kwa Wananchi wa Bagamoyo wanaoishi jirani na Kituo hicho cha Afya na ni mradi wa pili wa Kituo cha Afya kutekelezwa na Serikali Kuu chini ya Ofisi ya Rais TAMISEMI baada ya kukamilika kwa mradi wa kwanza wa Ujenzi wa Kituo cha Afya Kerege uliotekelezwa katika Kata ya Kerege, Wilayani Bagamoyo.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • BAGAMOYO KUJITANGAZA KIMATAIFA SEKTA YA UTALIII...

    May 10, 2025
  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo