• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANIYAFANYIKA KWA MAFANIKIO BAGAMOYO

Posted on: December 4th, 2018

Maadhimisho ya siku ya UKIMWI duniani, yamefanyika kwa mafanikio siku ya Jumamosi tarehe 01 Desemba, 2018 katika viwanja vya shule ya msingi majengo, huku mgeni rasmi akiwa ni Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Bi. Zainab Kawawa.


Maadhimisho hayo yaliyopambwa na burudani mbalimbali toka vikundi vya sanaa vya TASUBA, BAYOICE na wanafunzi wa shule ya msingi Jitegemee zilizolenga kutoa ujumbe juu ya kujikinga na maambukizi mapya ya UKIMWI na kuepuka unyanyapaa yalibebwa na kauli mbiu isemayo "PIMA, JITAMBUE, ISHI"


Akizungumza na Wananchi, Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Mhe. Zainab Kawawa ametoa rai kuwa kila Mwananchi ajijengee tabia ya kupima maambukizi ya virusi vya UKIMWI mara kwa mara ili kujua hali yake kiafya na wanapokutwa na maambukizi basi waanze matibabu ya kufubaza makali ya virusi vya UKIMWI mara moja na kujitahidi kuepuka kuwaambukiza wengine kwa kukusudia, na kuongeza kwamba Serikali itakuwa nao bega bega kuwahudumia kwa kuhakikisha wanapata huduma bora za AFYA.

"Nitoe rai kwa Wananchi wenzangu wa Bagamoyo, kuhakikisha kuwa tunashiriki kwa pamoja katika mapambano dhidi ya UKIMWI kwa kuelimishana sisi kwa sisi juu ya madhara ya UKIMWI, tuwaelimishe watoto wetu na tuwalinde dhidi ya maambukizi ya virusi vya UKIMWI, Kila Kata na Kijiji iweke utaratibu wa kuwajengea uwezo watoto wetu juu ya elimu ya kujilinda dhidi ya maabukizi ya UKIMWI" Amesema Mhe. Zainab.

Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI duniani yameenda sambamba na maadhimisho ya Mwezi wa Lishe Kiwilaya ambayo yamejikita katika kuhakikisha kila mtoto mwenye umri chini ya miaka mitano, katika Mwezi Desemba anapatiwa matone ya vitamin A, dawa za minyoo na kupimwa hali ya lishe katika vituo vyote vya kutolea huduma za Afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo


Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • WAPENI ELIMU WANANCHI KUHUSU UGOJWA WA MPOX...

    March 17, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo