• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

MADIWANI HALMASHAURI YA BAGAMOYO WABARIKI TAARIFA ZA HESABU ZA MWISHO KWA MWAKA 2021/2022.

Posted on: September 28th, 2022

Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo ikiongozwa na Mwenyekiti wake wa Halmashauri Mhe. Mohamedi Usinga ameongoza  Mkutano Maalumu wa Baraza la Madiwani kwa ajili ya kujadili na kupitisha Taarifa za Hesabu za Mwisho za Halmashauri ya wilaya ya Bagamoyo kwa mwaka wa fedha 2021/2022 uliofanyika leo Jumatano Septemba 28,2022 katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri  hiyo.

Katika mkutano huo, Waheshimiwa Madiwani wameruhusu Mchakato wa ufungaji wa Ripoti za Hesabu za Mwisho za Halmashauri ya wilaya ya Bagamoyo kwa mwaka wa fedha 2021/2022 zilizoishia Juni 30,2022 uendelee kwa ajili ya kuwasilisha katika Ofisi ya Ukaguzi ya Taifa.

Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo imeandaa hesabu za mwisho za mwaka kwa kipindi cha 2021/22 hesabu hizo zimeandaliwa kwa kuzingatia viwango vya kimataifa kwa hesabu za sekta ya umma na miongozo mbalimbali inayotolewa na QR-Tamisemi  na waraka namba 1 wa Wizara ya Fedha na Mipango wa uandaaji hesabu za mwisho kwa mwaka wa fedha huku pia taarifa hizo ziisomeka katika mfumo wa ulipaji serikalini (muse).

Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo ina jumla ya wahe madiwani 15 ambapo katika hao madiwani 11 wakuchaguliwa na madiwani 4 wakuteuliwa Pamoja na Mhe mbunge 1 ambao wapo katika madaraka hayo kwa kipindi cha miaka 5.


Aidha katika kipindi cha mwaka 2021/22 Baraza la madiwani likiongozwa na Mhe Mohamed Usinga limeketi katika vikao vyake mbalimbali vya kawaida kwa kila robo ya mwaka na vikao maalum kwa ajili ya kuamua mambo muhimu yanayohusu uongozi na utawala bora.

Pia Halmashauri kupitia kamati zake mbalimbali kwa mwaka wa fedha 2021/22 imetekeleza shughuli zake kama zilivyoshauriwa na kutekelezwa na kamati za Elimu,Afya na maji,Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira,kamati ya kudhibiti ukimwi Pamoja na kamati ya maadili.

Sanjari na hayo kamati ya ukaguzi ya Halmashauri yenye wajumbe 5 iliketi katika vipindi vyake vya utekelezaji wa majukumu yake kupitia vikao vya kila robo ya mwaka na vikao maalum vilivyotakiwa kufanyika katika mwaka wa fedha 2021/22 kamati imekuwa ikishauri kitaalamu mambo yote muhimu ya Halmashauri ikiwemo taarifa ya Fedha,Uongozi na Mipango ufatiliaji wa sheria kanuni na miongozo mbalimbali iliyotumika katika Halmashauri.  


Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • BAGAMOYO KUJITANGAZA KIMATAIFA SEKTA YA UTALIII...

    May 10, 2025
  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo