• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

MADIWANI WAFANYA USAFI SOKO LA SAMAKI PWANI KUADHIMISHA SIKU YA MAZINGIRA

Posted on: June 6th, 2018

Tarehe 05 June, kila mwaka Watanzania huungana na Nchi nyingine Duniani kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani, siku iliyoanza kuadhimishwa baada ya mkutano wa kwanza wa Umoja wa mataifa uliohusu mazingira uliofanyika Nchini Sweden katika mji wa Stockholm mnamo mwaka 1972.

Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo kwa kuzingatia umuhimu wa utunzaji wa Mazingira, imeungana na mataifa mengine kote Duniani na Wananchi wengine kote nchini kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani kwa kufanya usafi katika soko la samaki la pwani.

Viongozi wa Halmashauri wakiwemo Madiwani, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri, Wakuu wa Idara na Vitengo wa Halmashauri, waliungana na Wananchi na Wafanya biashara wa wanaofanya shughuli zao katika Soko la Samaki la Pwani kufanya usafi katika maeneo hayo ya Pwani mapema jana asubuhi.

Maadhimisho haya yalipambwa na kauli mbiu ya Kitaifa inayosema “Mkaa Gharama; Tumia Nishati Mbadala” Kauli mbiu iliyowekwa na Serikali kutokana na kiasi kikubwa cha maeneo ya misitu kuharibiwa na Wananchi kwa ajili ya utengenezaji wa Mkaa.

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo Bi. Fatuma Latu ambae ameongoza katika maadhimisho hayo amewaongoza Wahe.Madiwani kufanya usafi katika eneo hilo la Soko la samaki amesema “ Bagamoyo kama ilivyo katika maeneo mengine ya Nchi yetu pia imeathiriwa na mabadiliko ya tabia nchi, ambapo athari zake ni kuongezeka kwa mawimbi ya bahari na ujazo wa bahari unaopelekea kubomoka kwa kingo za fukwe za bahari.

Anaongeza, Wilaya yetu ina ongezeko kubwa la wimbi la uchimbaji holela wa mchanga, matumizi makubwa ya mifuko ya plastiki na utupaji wa taka hovyo katika maeneo yasiyo rasmi, hii imesababisha mji wetu wenye sifa kubwa ya utalii uonekane mchafu hali hii inatakiwa ikemewe ili kunusuru mazingira yetu.

Akatoa wito kwa Wafanya biashara wanaofanya shughuli zao katika soko hilo, wavuvi na Wananchi wanaotembelea ufukwe huo na eneo hilo la soko la samaki kujenga hulka ya kutunza mazingira kwa kuacha tabia ya kutupa taka hovyo ma hasa taka ngumu kama chupa za plastiki na mifuko ya nailoni taka zinazochangia kwa kiasi kikubwa uharibifu wa mali hai za bahari kama vile samaki na kutishia uzalishaji wake baharini.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • BAGAMOYO KUJITANGAZA KIMATAIFA SEKTA YA UTALIII...

    May 10, 2025
  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo