• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

MAFUNZO KWA WARATIBU TASAF.

Posted on: June 17th, 2021

Mratibu wa malipo kwa njia yakIelectroniki Tasaf Josephine Joseph ametoa wito kwa washiriki wote waliohudhilia mafunzo ya mpango wa pili wa Tasaf wa malipo kwa njia ya kielectroniki kwa kaya masikini kusikiliza vizuri na kulewa Mafunzo yanayotolewa  ili waweze kutekeleza mpango huo bila kutokea kwa makosa

Akizungumza wakati wakati wa mafunzo hayo tarehe 17 June 2021 Bi Josephine amesema kuwa ni vema kwa washiriki wote ambao ndio watekelezaji wa mpango kusikiliza kwa makini ili kuweza kuelewa vizuri kwani itasaidia kuondoa makosa madogomadogo ambayo yanaweza kujitokeza pindi watakapo anza utekelezaji

‘’Wito wangu kwa washiriki wote ni kusikiliza kwa makini na kuelewa vizuri ili kuweza kufanya vizuri katika kutekeleza mpango huu wa malipo kwa njia ya kielekitroniki’’alisema Bi Josephine

Nae Mtaalamu wa Tehama Bw.Peter Lwanda amesema kuwa  kupitia mafunzo hayo yanayotolewa kwa washiriki wa utekelezaji wa Mpango huu wa malipo kwa njia ya kielekitroniki utaenda kutatua changamoto ambazo zilijitokeza wakati ambao walikuwa wanafanya majaribio ya mfumo huu mpya.

Pia amewataka washiriki wote pindi watakapo kwenda kutekeleza majukumu ya mpango huu kutoa taarifa ambazo zitakuwa zinaleta changamoto ili kuweza kutatuliwa haraka iwezekanavyo ili kuhakikisha kila mlengwa wa Tasaf anapata stahiki zake kwa wakati bila kuwa na dosali.

‘’Mpango huu unaenda kutatua changamoto mbalimbali pia washiriki wanatakiwa kutoa taarifa za changamoto ili tuweze kuzitatua kwani tunahitaji kila mlengwa aweze kuapta stahiki zake kwa wakati bila kukosa

Sanjari  na hayo Bw Makame Ally ambae nae ni mratibu wa Tasaf upande wa Unguja amesema kuwa watatumia mafunzo hayo ili kuhakikisha wanatoa huduma kwa kila mlengwa anaestahili kupata haki yake na pia kupitia mafunzo watakwenda kutatua changamoto ambazo zimejitokeza kipindi kilichopita na kuhakikisha wanasawazisha makosa yaliyo jitokeza.

Pia ameongeza kuwa mafunzo hayo yanayotolewa ni muhimu sana kwa watendaji na kuipongeza serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia bunge lake ya kwamba walengwa wote wa kaya masikini wanatakiwa kuingia katika mfumo wa kupokea fedha zao kwa njia ya kielekitroniki.

Mafunzo ya mfumo wa malipo kwa njia ya kielekitroniki yanayotolewa kwa waratinu wa halmashauri ambazo zipo katika utekelezaji wa mpango wa pili wa Tasaf kwa kaya masikini yanaendelea kutolewa katika Wilaya ya Bagamoyo na yatadumu kwa muda wa siku 4 kwa waratibu wote ili kuhakikisha wanapata uelewa wa mpango huu wa malipo kwa njia ya kielekitroniki.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • BAGAMOYO KUJITANGAZA KIMATAIFA SEKTA YA UTALIII...

    May 10, 2025
  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo