• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

MAFUNZO KWA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI MKUU BAGAMOYO YAANZA KUTOLEWA RASMI LEO

Posted on: October 24th, 2020

Ikiwa ni siku 03 tu zimebaki kabla ya Taifa la Tanzania kufanya Uchaguzi Mkuu wa Viongozi wa Taifa wakiongozwa na Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Wabunge na Madiwani wa Mamlaka za Serikali za Mitaa, Mafunzo maalum yameanza kutolewa kwa Wasimamizi wa Uchaguzi huo ambao ni Makarani waongoza wapiga Kura na wasimamizi na Wasimamizi wasaidizi wa Vituo vya kupigia Kura Wilayani Bagamoyo.

Mafunzo hayo yameanza kutolewa rasmi leo Oktoba 24, 2020 kwa Makarani waongoza wapiga kura wa Vituo vyote vitakavyotumika kupigia Kura katika Jimbo la Bagamoyo na yamefunguliwa na Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Bagamoyo Bi. Fatuma O. Latu, yakitarajiwa kufanyika katika Kata zote 11 za Jimbo la Bagamoyo.

“Mna wajibu mkubwa wa kisheria kuwaongoza wapiga Kura wafikapo katika Vituo vyao vya kupigia kura, kuwaelekeza nini cha kufanya wawapo kituoni na kuhakikisha kila nayefika katika Kituo cha kupigia Kura anapata haki yake ya kikatiba ya kupiga kura kumchagua kiongozi anayemtaka” Amesema Bi. Fatuma

Bi. Fatuma Latu Anaongeza, Makarani waongoza wapiga kura wapo kisheria katika Sheria ya Uchaguzi na Miongozo ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi Nchini, hivyo kwa kutambua hilo nina Imani mtafanya kazi hii kwa weledi, kwa kuzingatia na kufuata sharia, kanuni na taratibu za Uchaguzi Mkuu, nasisitiza umahiri, kuimiliki kazi hii muwapo vituoni na muifanye kwa kadiri ya maelekezo mtakayopewa leo hapa bila kusahau kuzingatia kutunza siri kwani zoezi la uchaguzi ni zoezi linalohitaji usiri mkubwa na ndio sababu leo mmeapa kiapo cha kutunza siri kabla ya kuanza mafunzo haya.

Msimamizi wa Uchaguzi wa Kata ya Magomeni Bi. Mwajuma Selemani Yombe pia amezungumza katika mafunzo hayo ambayo kwa Kata ya Magomeni yamefanyika katika ukumbi wa Green Park, na kusisitiza Makarani hao kutekeleza majukumu yao kwa weledi, haki na kuhakikisha wanatoa kipaumbele kwa wapiga kura wenye mahitaji maalum kama vile Wazee, wenye ulemavu, Wajawazito na Wanawake wanaonyonyesha.

Mafunzo kwa wasimamizi na wasimamizi wasaidizi wa Vituo vya Uchaguzi katika Jimbo la Bagamoyo yataendelea tarehe 25- 26 Oktoba, 2020 katika Kata zote 11 za Jimbo la Bagamoyo


Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • WAPENI ELIMU WANANCHI KUHUSU UGOJWA WA MPOX...

    March 17, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo