• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

MAFUNZO UBORESHAJI WA UFUNDISHAJI NA UJIFUNZAJI KWA MADARASA YA AWALI YAFANYIKA BAGAMOYO ..

Posted on: February 13th, 2023

Mafunzo ya Uboreshaji wa Ufundisahji na Ujifunzaji kwa madarasa ya Awali programmu ya Shule Bora yanafanyika  leo tarehe 13 Februari 2023 katika Shule ya Sekondari Bagamoyo Mkoani Pwani.

        Akifungua mafunzo hayo kwa niaba ya Afisa Elimu Mkoa wa Bi Sarah Mlaki, Afisa Elimu Taaluma Mkoa wa Pwani Bwana Yasir Mbonde alisema kuwa, lengo la mafunzo hayo ni kubaini changamoto na fursazilizopo katika ufundishaji na ujifunzaji wa stadi za Kusoma,Kuandika na Kuhesabu(KKK) katika madarasa ya elimu ya awali la Kwanza na la Pili. . “Tunategemea kwenye mafunzo haya, kwa pamoja kubaini mambo muhimu yatakayosaidia kuboresha ufundishaji wa KKK na kuleta matokeo chanya na pia kuandaa mpango kazi wa kuboresha utatuzi wa changamoto zitakazoibuliwa ‘’ Alisema Bw Mbonde.

        Akitoa taarifa fupi ya mafanikio ya mradi wa Shule Bora kwa Mkoa wa Pwani kwa kipindi cha Mwaka mmoja alisema kuwa,  kuna mafanikio lukuki yaliyopatikana katika utekelezaji wa Programmu ya Shule Bora ikiwemo uanzishwaji wa vituo 38 vya Utayari lengo likiwa kutoa fursa wa wanafunzi wa miaka 6-9 ambao hawakujiunga na Elimu ya awali kuweza kujiandaa kujiunga na elimu ya msingi. Unzishwaji wa mpango wa chakula mashuleni.Wilaya ya Mkuranga iliweza kuanza na shule 3o. Programmu ya Shule Bora iliweza kutoa mafunzo kwa walimu kuhusu kuibua hadithi za mafanikio za mfano kwa walimu 1961 Mkoa mzima pia mafunzo kwa maafisa Elimu Msingi na Sekondari kuhusu uelewa wa Vigezo vya Programmu ya Lipa kwa Matoke (EP4R) pamoja na mafunzo wa waandishi wa Habari 60 wa Mkoa wa Pwani kuelewa na kutangaza shuguli za Praogrammu ya Shule Bora. ‘’Kwa  h ni mafanikio makubwa nay a kujivunia kwa muda mfupi, nichukue nafasi hii kwa niaba ya Afisa Elimu Mkoa kutoa pongezi kwa viongozi wa ngazi zote walioshiriki kwa njia moja au nyingine kufanikisha jambo hili’’ Alisisitiza.  

     Mafunzo hayo ya siku moja yamewakutanisha maafisa Elimu Msingi, Wadhibiti ubora awa Shule toka Halmashauri zote za Mkoa wa Pwani.Wengine ni maafisa toka wanaoshughulikis Elimu Mkoa wa Pwani, TAMISEMI pamoja na wawezeshaji toka Taasisi ya Elimu Tanzania amabao ndio wanaoandaa mitaala mbalimbali  ya ufundishaji katika Programmu Shule Bora.

      Shule bora  nia Programu ya Serikali ya Tanzania ya kuboresha elimu ya Awali na Msingi kwa ufadhili wa UKaid na Serikali ya Uingereza inayotekelezwa katika Mikoa Tisa ya Tanzania Bara.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MRATIBU WA MRADI WA MARCOSIO TAFIRI AONGOZA WASHIRIKI WA WARSHA KUTEMBELEA WAVUVI WILAYA YA BAGAMOYO...

    May 29, 2025
  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI...

    May 23, 2025
  • MWENYEKITI WA TUME HURU YA UCHAGUZI AKAGUA MWENENDO WA UANDIKISHAJI...

    May 18, 2025
  • MKUU WA WILAYA AFANYA MAZUNGUMZO NA BODI YA UTALII..

    May 15, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo