• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

MAFUNZO YA WALIMU JAMII WASAIDIZI SHULE ZA UTAYARI AWAMU YA PILI YAENDELEA BAGAMOYO MKOANI PWANI.

Posted on: November 22nd, 2022


Mwezeshaji Mkuu kutoka Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia katika  mpango wa Shule Bora Bi Anna Godwin alifungua rasmi mafunzo  ya walimu jamii wasaidizi (MJM) 38 wa  shule za Utayari awamu ya pili waliotoka katika Halmashauri zote Mkoa wa Pwani yamayofanyika katika Shule ya Bagamoyo Sekondari  kuanzia tarehe 21 hadi 25 Novemba 2022.                  

 Akifungua mafunzo hayo, Bi Anna Godwin aliwashukuru walimu wa jamii wote  waliopata mafunzo awamu ya kwanza kwa kupata nafasi ya kushiriki awamu ya pili. “Nashukuru sana Walimu Wasaidizi wa Jamii  kwa kweli mmefanya kazi kubwa ya kujitolea kwa wiki nne baada ya mafunzo ya awamu ya kwanza,  Hii inaonesha uzalendo mlionao kwa jamii zenu na Serikali kwa ujumla na sasa tumewaita tena kuongeza dozi ya mafunzo yetu ili kuleta ufanisi zaidi katika vituo vyetu”  alisema Bi Anna Godwin.

 Afisa Elimu Mkoa wa Pwani Bi Sarah Mlaki awali alieleza kuwa mafunzo haya awamu ya pili yaliyoandaliwa na ofisi ya Mkoa wa Pwani ni  mwendelezo wa mafunzo kwa ajili ya Walimu Jamii Wasaidizi baada ya kupata mafunzo awamu ya kwanza yaliyotekelezwa kwa Wiki Nne. Sasa tunafanya tathmini na kujiwekea malengo mapya baada ya mafunzo ya awamu ya kwanza. “Tunategemea kuendesha mafunzo haya kwa walimu wa kuanza shule ya utayari  kwa muda wa wiki 12  na tayari Wiki Nne zimepita lazima tufanye tathmini na kutoa mafunzo zaidi kwa walimu jamii wasaidizi  ili kuleta ufanisi’’ alisema Hamis Chikaula Afisa Elimu watu wazima wa Rufiji .                             

 Aidha Chikaula aliendelea kusema kuwa, kuna mafanikio makubwa sana katika uanzishaji wa vituo vya Shule ya Utayari katika Mkoa wa Pwani kwa mfano kati ya vituo 38 vilivyopo sasa kimkoa vituo 29 tayari vina maaeneo ya eka 3 mpaka 10 ya kuweza kaunzisha  shule Shikizi. “Hata hivyo shule 31 kati ya 38 wanapata uji shuleni aya ni mafanikio makubwa’’  alisisitiza Afisa huyo

Akiendelea kutoa taarifa ya ujumla kwa Mgeni Rasmi alisema kuwa kwa sasa, kuna vituo 8 vina Watoto wenye mahitaji maalumu, vituo vinne vina chanagamoto ya lugha na vituo vyenye Watoto chini ya 20 ni vituo vitano.

Kwa upande wao walimu wa Jamii Wasaidizi waliishukuru Seriklai kwa kuibua mradi huu kwani umesadia uelewa wa wazazi kuwapeleka shule watoto wao. ‘’Pamoja na changamoto ya umbali kati ya Shule mama na shule ya utayari,  na ukosefu wa vyoo bora bado kuna haja ya kuboresha maendeleo ya programu huu’’ alisema Mwalimu Senkoro toka Halamshauri ya Wilaya ya Kisarawe.

 Hata hivyo Mratibu wa Shule Bora Mkoa wa Pwani Bi Oliver Kapaya alitumia nafasi hiyo kuwashukuru Wakurugenzi wote wa Halmashauri za Mkoa wa Pwani kwa ushirikiano waliouonesha katika kusaidia utekelezaji wa program hii hadi hapa tulipofikia. ‘’Naamini kabisa mwendelezo wa program hii njia ipo wazi hatuna wasiwasi Halmashauri zimeonyesha ushiriano mkubwa sana’’ alimalizia.

                                                                                                 Shule bora  nia Programu ya Serikali ya Tanzania ya kuboresha elimu ya Awali na Msingi kwa ufadhili wa UKaid wa Serikali ya Uingereza.Unatekelezwa katika Mikoa Tisa ya Tanzania.  Kwa Mkoa wa Pwani vimeanzishwa vituo 38 vinavyotoa elimu na kuna jumla ya walimu jamii wasaidizi 38 walinaopatiwa mafunzo hayo.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • BAGAMOYO KUJITANGAZA KIMATAIFA SEKTA YA UTALIII...

    May 10, 2025
  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo