• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

MAKUSANYO YAONGEZEKA KATIKA KIPINDI CHA MWEZI SEPTEMBA KWA HALMASHAURI YA WILAYA YA BAGAMOYO

Posted on: December 4th, 2018

HALMASHAURI ya wilaya ya Bagamoyo, mkoani Pwani ,imekusanya kiasi cha zaidi ya sh. bilioni 2.313 sawa na asilimia 85 ya makadirio ya mapato ya mwezi ya sh. bilioni 2.727.6 kwa kipindi cha mwezi septemba mwaka huu.

Makusanyo hayo yanafanya jumla ya makusanyo kutoka mwezi julai hadi septemba kuwa bilioni 6.692.611.969 ambayo ni sawa na asilimia 20 ya makusanyo yaliyokisiwa kukusanywa kwa mwaka.

Hayo yalibainishwa na mwenyekiti wa halmashauri hiyo, Ally Issa wakati akitoa taarifa ya fedha ya mapato na matumizi kwa kipindi cha mwezi septemba, ikiwa ni robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2018/2019.

Aidha Mhe. Alli Issa alisema, halmashauri hiyo kwa mwezi septemba imekusanya milioni 159.085.524 kutoka vyanzo mbalimbali vya mapato ya ndani.

Hata hivyo mwenyekiti huyo ambae pia ni diwani wa kata ya Fukayosi alisema, mapato ya septemba yameongezeka ukilinganisha na mapato ya mwezi agost mwaka 2018.

Issa alisema, kipindi cha mwaka wa fedha 2017/2018 ilikisia kutumia bilioni 32.371.697.034 .

“Kiasi cha 368.958.970 zilivuka mwaka wa fedha 2017/2018 ,kiasi hicho kitakuwa ni sehemu ya matumizi kwa kipindi cha 2018/2019 hivyo kufanya jumla ya matumizi kwa mwaka wa fedha 2017/2018 kuwa bilioni 33.100.926.004”

Kwa upande wa madiwani akiwemo wa kata ya Makurunge, Paul Kabile aliitaka halmashauri kudhibiti baadhi ya watu ambao wanajihusisha na wizi wa ukusanyaji wa vyanzo mbalimbali vya mapato .

Diwani wa kata ya Yombo, Mohammed Usinga alisema, wakusanyaji ushuru wanapaswa watambulike na kuacha kubambika watozaji ushuru wasiojulikana kihahali.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • WAPENI ELIMU WANANCHI KUHUSU UGOJWA WA MPOX...

    March 17, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo