• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

MBIO ZA MWENGE WA UHURU HALMSAHURI YA WILAYA BAGAMOYO MWAKA 2017

Posted on: June 9th, 2017

Mwenge wa Uhuru uliwasili Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo ukitokea Halmashauri ya Wilaya Kibaha tarehe
08/06/2017 katika Kata ya Mapinga.
Mwenge wa Uhuru ulipangiwa kutembelea jumla ya Miradi 14 ambapo kati ya hiyo Mradi mmoja ulizinduliwa,
Miradi minne iliwekwa jiwe la msingi na Miradi tisa ilitembelewa. Jumla ya fedha katika miradi yote ni
Tsh 18,161,661,659.98.
1.Mradi uliozinduliwa ni Shule ya Sekondari Fukayosi
2.Miradi iliyowekewa jiwe la Msingi ni Ghala la Skimu ya Umwagiliaji, Barabara ya Bagamoyo - Makofia kiwango
cha lami KM 1.8,Kiwanda cha Salibaba Pallets Kata ya Mapinga na Soko la Nafaka na Mchele Kata ya Magomeni
3.Miradi iliyotembelewa ni kata ya Mapinga (Hill Packing Co. LTD, Kikundi cha Waendesha Boda Boda (UWADEPIMASHU)
,Jitegemee Mapinga Saccos, Mradi wa RBF Zahanati ya Mapinga,Mapambano dhidi ya Malaria Zahanati Mapinga na
Mapambano dhidi ya Ukimwi Zahanati Mapinga) kata ya Kiromo (Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya Ofisi ya Kata Kiromo)
Kata ya Dunda (Life and Hope Rehabilitation Organization Bagamoyo - Ukuni Sober House) na Kata ya Fukayosi (Kuona na
Kupokea taarifa za mapambano dhidi ya RUSHWA.

Katika hotuba yake ya majumuisho eneo la mkesha Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Ndugu Amour Ahamdi Amour alishukuru
Ofisi ya Mkuu wa Wilaya, Mkurugenzi Mtendaji Wilaya na Watumishi wa Halmashauri kwa ushirikiano katika Utendaji Kazi
huku akisissitiza kauli mbiu ya Mwenge Kitaifa "KUSHIRIKI KATIKA KUJENGA UCHUMI WA VIWANDA KWA MAENDELEO YETU"

Katika Hotuba ya ukaribisho Mhe. Mkuu wa Wilaya Bagamoyo Ndugu Majid Mwanga alimkaribisha viongozi wa Mwenge Kitaifa kwa kuwaambia Bagamoyo
eneo la Economic Zone kwani lina viwanda vingi na kukaribisha wawekezaji.

Mkoa wa pwani Unategemea Kuhitimisha kwa Kukimbiza Kwenye Wilaya Mpya ya Chalinze hapo Juni 9 na baadaye Kuukabidhiwa
Mkoa wa Morogoro Juni 10.


Kupata picha zaidi Bofya hapa

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • BAGAMOYO KUJITANGAZA KIMATAIFA SEKTA YA UTALIII...

    May 10, 2025
  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo