• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

Mbio za Mwenge wa Uhuru zatembelea miradi 14 ya maendeleo Wilayani Bagamoyo.

Posted on: August 11th, 2021

KIONGOZI wa mbio za mwenge wa uhuru kitaifa Luteni Josephine Mwambashi ametembelea miradi 14 ya maendeleo katika halmashauri  mbili za  Chalinze pamoja na  Bagamoyo zilizopo mkoani Pwani ambapo ameweka mawe ya msingi katika baadhi ya miradi hiyo na mingine kupata fursa ya kuzinduliwa rasmi kwa ajili ya kuanza  utekelezaji wake imegharimu kiasi cha shilingi bilioni 22.

Katika mbio hizo kiongozi huyo  alizitaka halmashauri  wakiwemo  viongozi na watendaji kuhakikisha kwamba wanawashirikisha  kikamilifu  katika suala zima la miradi mbali mbali  kuanzia ngazi za chini hadi za juu ili wananchiw waondokana na hali ya sintofahamu na waweze  kujua jinsi ya fedha  ambazo zinatengwa na serikali zinavyotumika.

Akiweka jiwe la msingi la mradi wa maji Mlandizi-Mboga ,unaotekelezwa na mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira Dar es salaam(DAWASA) ambao umegharimu  kiasi cha bilioni 17 .79, kwa fedha ambazo zimetolewa na serikali.

Katika hatua nyingine kiongozi huyo wa mbioz za mwenge wa uhuru kitaifa alisema  kwamba kila mwananchi ana haki ya kujua maendeleo ya miradi hiyo kitokana na fedha ambazo zinatolewa na serikali katika kuleta chachu ya maendeleo.

“Kwanza kabisa kwa upande wangu nimeweza kuionea mradi huu ambao unatekelezwa na DAWASA lakinin pia niwaagize kujenga utaratibu mzuri wa  kutoa  taarifa kwa watendaji wa ngazi za vijiji, pamoja na ngazi nyingine ili watu wote waweze kuwa na taarifa,”alisema Mwambashi.

Kwa upande wake  afisa Mtendaji Mkuu wa  DAWASA , Mhandisi Cyprian Luhemeja akitoa taarifa ya mradi huo wa maji anabainisha ujenzi ulianza 2019,umefikia asilimiav95 na zimeshatumika bilioni 13 utakuwa ni mkombozi mkubwa katika kuwaondolea adha ua wananchi kutembe aumbariu mrefu kwa ajili ya kutafuta maji.

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Zainabu Abdalah alifafanua kwamba katika katika Wilaya yake Mwenge huo utaweza kutembelea miradi mbali mbali ya maendeleo 14 ambayo imegharimu kiasi cha shilingi bilioni 22.

Mkuu huyo aliongeza kuwa katika miradi hiyo itahusisha katika sekta ya elimu , afya miundombinu ya barabara, ujarisiamali kwa wanavikundi mbali mbali ikiwemo mradi wa uuzaji wa maziwa, kilimo na bodaboda ambayo itaweza kusaidia kukuza uchumi kwa wananchi.

Awali akipokea mwenge wa Uhuru eneo la Bwawani kutokea Mkoani Morogoro Mkuu wa mkoa wa  Pwani, Aboubakar Kunenge alisema mwenge huo ukiwa mkoani humo utakagua,kuweka mawe ya msingi na kuzindua miradi 87 yenye thamani ya bilioni 57.11.5.

Alieleza, utatembelea miradi minne,miradi tisa itawekwa mawe ya msingi,14 itazinduliwa na 60 kukaguliwa kwenye wilaya Saba na halmashauri tisa .

Ukiwa wilayani Bagamoyo, mkuu wa wilaya ya Bagamoyo ,Zainab Abdallah alibainisha mwenge utatembelea miradi 14 ikiwa 7 ni ya kikampeni na mingine 7 ya kimaendeleo,yenye thamani ya bilioni 22.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • WAPENI ELIMU WANANCHI KUHUSU UGOJWA WA MPOX...

    March 17, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo