• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

MILIONI 500 KUANZA KUJENGA JENGO JIPYA LA HALMASHAURI YA WILAYA YA BAGAMOYO.

Posted on: August 25th, 2022


Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani imetenga fedha shilingi milioni  mia tano kwa ajili ya kuanza ujenzi wa jengo jipya la Halmshauri ili kuongeza ufanisi wa kazi na kutoa huduma bora kwa wananchi.

      Hayo yalisemwa leo na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo  Bwana Shauri Selenda katika kikao cha baraza la madiwani robo ya nne kwa Mwaka 2021/2022 kilichofanyika Bagamoyo Mkoani Pwani baada ya Mhandisi kuwasilisha ramani ya michoro ya jengo hilo mbele ya Wahe.Madiwani ,Wakuu wa Idara pamoja na wageni waalikwa. ‘’Halmashauri yetu kwa Mwaka wa fedha 2022/2023 imetenga fedha shilingi miloni Mia Tano kwa ajili ya kuanza ujenzi wa jengo jipya la Halmshauri kwa ajili ya watumishi kupata mazingira bora ya kufanyia kazi na kurahisisha wananchi kupata huduma mbalimbali sehemu moja tofauti na ilivyo sasa ofisi za Halmashauri zimetapakaa sehemu tofautotofauti’’ Alisema Selenda.Alisema kuwa, haya ni maendeleo ‘’ naamini tutaanza ujenzi hata kama sitamaliza watakao nifuata watamalizia wananchi wa bagamoyo ni furaha kuwa na jengo jipya kwani mji wa Bagamoyo unakuwa kwa kasi sana naomba tuendelee kushirikiana kuwahudumia wananchi na tuache alama kwa vizazi vijavyo kama wazee wetu waliotutangulia  na kuanzisha Halmashauri hii ‘’ alisisitiza.

        Kwa upande wake Mhandisi wa Halmashauri Bwana Martine Mujuni alisema kuwa jengo hilo linatarajia kuwa ghorofa tatu ambazo kwa mpangilio wake zitatosha Idara na Vitengo vyote na kulete ufanisi wa utendaji kazi zaidi.

Awali katika kikao hicho Mwenyekiti waHalmashauri ya Bagamoyo Mhe. Mohamedi Usinga alisema kwa muda wamekuwa na mpango wa kuboresha majengo hivyo imefika wakati kwa Halmashauri hiyo kupata jengo jipya la kisasa katika eneo la Ukuni kata ya Dunda.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • BAGAMOYO KUJITANGAZA KIMATAIFA SEKTA YA UTALIII...

    May 10, 2025
  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo