• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

Mkurugenzi agawa vishikwambi kwa Makarani.

Posted on: August 11th, 2022

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Bagamoyo Ndg.Shauri Selenda leo ameshiriki zoezi la ugawaji wa vishikwambi (simujanja)Kwa Makarani wa   Sensa ya Watu na Makazi.

Katika zoezi hilo Mkurugenzi Mtendaji amezungumza na Makarani hao ambao wanatarajia kufanya zoezi la Sensa ifikapo Tarehe 23/08/2022 Kwa lengo la kupata Takwimu za idadi ya watu nchini


“Ndugu zangu mmeaminiwa na Serikali ili kuweza kusaidia kufanya hili zoezi kwa Moyo wa uzalendo na sio vinginevyo”amesema Ndg Shauri

Aidha pia Mkurugenzi Mtendaji amewasisitiza Makarani wote pamoja na Wasimamizi wa maudhui kutunza vifaa walivyopewa na kuhakikisha vinakuwa katika hali nzuri mpaka pale zoezi litakapo kamilika.

Sanjari na hayo Mkurugenzi amewaeleza kuwa vishikwambi vyote hivyo walivyokabidhiwa ni Kwa ajili ya zoezi la Sensa na sio vinginevyo.

“Ndugu zangu vishikwambi vyote hivyo ni kwaajili ya kufanyia zoezi la sensa msije mkataka kufanyia matumizi mengine “amesema Ndg.Shauri Selenda.

Pamoja na hayo amewasihi kufanya kazi kwa ubora kama ambavyo walivyopata Mafunzo Kwa kipindi chote ili kuweza kusaidia Taifa kupata takwimu zilizo Sahihi na zenye uhalisia.

Nae Zawadi Kondo ambae ni mmoja wa Makarani waliopatiwa Mafunzo ameahidi Kwa niaba ya Makarani wenzake kuwa watafanya kazi hiyo kwa Uzalendo mkubwa kwa ajili ya Taifa.

“Mhe Mkurugenzi tunakuahidi kuwa tutafanya kazi hii Kwa umakini na Uzalendo mkubwa Kwa ajili ya Taifa letu na tunakuahidi hatuto kuangusha wakati wa zoezi la Sensa ya Watu na Makazi”amesema Zawadi

Zoezi la Sensa ya Watu na Makazi linatarajia kufanyika siku ya Jumanne Tarehe 23/08/2022 ambapo Zoezi hili litakuwa ni Zoezi la Sita katika Taifa la Tanzania.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • WAPENI ELIMU WANANCHI KUHUSU UGOJWA WA MPOX...

    March 17, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo