• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

MKURUGENZI BAGAMOYO ATOA SHUKRANI KWA CAMFED...

Posted on: September 26th, 2024


Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Bagamoyo Shauri Selenda ametoa shukran kwa shirika lisilo la kiserikali Camfed mara baada ya kuwapatia msaada wa madawati  1340 .

Akizungumza wakati wa Halfa hiyo ya makabidhiano tarehe 26 Septemba 2024 katika viwanja vya shule ya Msingi Mshikamo iliopo Kata Zinga Halmashauri ya Bagamoyo.

Mkurugenzi amesema kuwa juhudi kubwa zimefanyika na serikali kwa kuhakikisha wanajenga miundombinu ya Madarasa lakini pia wanaendelea kutoa shukran kwa wadau wanaoendelea kuiunga mkono Serikali kama walivyofanya Camfed kwa kutoa msaada wa Madawati  ili kutatua changamoto ya ukosefu wa viti mashuleni kutokana na wingi wa Wanafunzi.

Vilevile Ndg.Selenda ameongeza kwa kutoa wito kwa Walimu pamoja na wanafunzi kuhakikisha wanatunza na kulinda madawati hayo ili yasije kuharibika na kupelekea kuwa na uhaba wa madawati shuleni hapo.

Sambamba na hayo Mkurugenzi amebainisha kuwa kuna ongezeko la kubwa la wanafunzi kila mwaka hivyo ni muhimu kuendelea kuwashukuru Camfed kwa msaada huo walioutoa maana wanaendelea kushirikiana na serikali kikamilifu.


Nae Diwani wa Kata hiyo ya Zinga Mhe Mohamed Mwinyigogo  amewashukuru wadau hao wa Maendeleo Camfed na kuwaomba kuendelea kuwaunga mkono katika mambo mbalimbali ndani ya Halmashauri ya Bagamoyo.

Shirika hilo lisilo la kiserikali Camfed limetoa madawati 1340 huku shule ya Msingi Mshikamano wakipata madawati 150,Zinga 130,Jayantilaladwa madawati  130,Jitegemee Madawati 130,Kiembeni 130,Bigilo 130,Kidongochekundu 130,Nianjema 130,Mapinga 130 na Shule ya Msingi Mtambani 130 ambapo madawati hayo yamekabidhiwa kwa niaba ya Shule zote katika shule ya Msingi Mshikamano.



Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • WAPENI ELIMU WANANCHI KUHUSU UGOJWA WA MPOX...

    March 17, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo