• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

MKUU WA WILA YA BAGAMOYO AKUTANA NA WENYEVITI WA VITONGOJI KUHAMASISHA SENSA.

Posted on: August 15th, 2022


Mkuu wa Wilaya Bagamoyo Mhe. Zainab Issa amekutana na Wenyeviti wa Vitongoji na Vijiji kuhamasisha Sensa ya Watu na Makazi.

 Akizungumza na Wenyeviti hao  amewahimiza  kuendelea kuwahamasisha wananchi kuwapa ushirikiano mzuri makarani wa sensa kwa kutoa taarifa sahihi ili kufanikisha  Zoezi hilo la Sensa ya Watu na Makazi.

 Aidha Mhe  Mkuu wa Wilaya amewaasa  Wenyeviti wote  wa Vitongoji  na vijiji  wakati wa Kikao hicho kilichofanyika katika ukumbi wa Mikutano Tasuba Bagamoyo tarehe 15 Agosti 2022,Kwa kuhakikisha wanawapa ushirikiano Makarani wote pamoja na Wasimamizi wao Kwa kipindi chote ambacho watakuwa wanafanya Kazi  ya  Sensa ya Watu na Makazi.

’’Sensa ni suala la maendeleo ya Taifa hivyo Serikali haitoweza kutoa bajeti bila kujua idadi ya wananchi wake katika kutekeleza miradi ya Maendeleo kama vile  ujenzi wa hospitali, shule na barabara’’. Amesema  Mhe Zainab Abdallah

Kwa upande wao, Wenyeviti wa Vitongoji na Vijiji wameahidi Kwa  Mkuu wa Wilaya kuwa Watashirikiana na Mabalozi   wa nyumba kumi   kuwapatia  ushirikiano Makarani wote pamoja na Wasimamizi wakati wa zoezi la Sensa ya Watu na Makazi inayotarajiwa kufanyika tarehe 23/08/2022.

Katika picha ni Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Mhe Zainab Abdallah katikati akiwa anafungua kikao cha wahe Wenyeviti wote wa Vitongoji Halmashauri ya Bagamoyo.


Wenyeviti wa vitongoji na vijiji wakiwa katika ukumbi wa Mikutano (Tasuba) wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya.

Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo akitoa neon la shukurani kwa wenyeviti wa vitongoji na vijiji baada ya kikao kazi hicho kufikia tamati.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • WAPENI ELIMU WANANCHI KUHUSU UGOJWA WA MPOX...

    March 17, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo