• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
    • Baraza la Madiwani
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
      • Baraza la Madiwani
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • UKARIBISHO
        • service one
        • what we do
        • Utalii
        • Kaole Snake Park
        • Kaole Mamba Ranch
        • Completed
        • Elimu
        • Afya
        • Maji
        • Caravan Serai
        • Education
        • Ukaguzi wa Ndani
        • TAARIFA YA O& OD
        • Miradi iliyopendekezwa
        • Bajeti ya Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo
        • Maendeleo ya Jamii
        • Elimu Msingi
        • Elimu Sekondari
        • Ujenzi
        • Mfuko wa Jamii
        • Mifugo na Uvuvi
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
        • Idara ya Maji
        • Sheria ndogo za Halmashauri
        • Ardhi na Mipango Miji
        • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
        • Sheria
        • Ufugaji Nyuki
        • Usafishaji na Mazingira
        • Fedha na Biashara
        • Election Unit
        • Ugavi na Manunuzi
        • Maeneo ya Uwekezaji
        • TEHAMA na Uhusiano
        • Kupata Fomu Mbalimbali
        • Madiwani
        • Baraza la Madiwani
        • Orodha ya Wahe.Madiwani
        • Kamati za kudumu za Halmashauri
          • Elimu, Afya na Maji
          • Fedha, Uogozi na Mipango
          • Kamati ya UKIMWI
          • Kamati ya Maadili
          • Uchumi, Ujenzi, Mipango miji na Mazingira
        • Ratiba za Vikao vya Kisheria
        • Ratiba
          • Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
          • Ratiba ya Vikao vya Wahe. Madiwani
        • Mpango Mkakati
        • Bajeti ya Halmashauri
        • Mkataba wa huduma kwa Mteja
        • ZABUNI MBALI MBALI ZA UWAKALA
    • Baraza la Madiwani
  • Idara na Vitengo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Works
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Usafi na Mazingira
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Elimu Msingi
    • Kitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Election Unit
      • TEHAMA na Uhusiano
  • Huduma
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2018/2019
    • Mkataba wa huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MPYA
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

MKUU WA WILAYA AFANYA KIKAO NA WAKUU WA IDARA NA VITENGO..

Posted on: February 17th, 2023

Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Mhe Halima Habib Okash amefanya kikao kazi na Wakuu wa Idara na vitengo Pamoja na Mkurugenzi Mtedaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo katika ukumbi mdogo wa mikutano wa Halmashauri ya Bagamoyo.

Katika kikao hicho Kilichoketi tarehe 17 February 2023 Mkuu wa Wilaya Mhe Halima Okash ameeleza malengo makubwa ya kufanya kikao hicho Pamoja na Wakuu wa Idara na vitengo katika Halmashauri ya Bgamoyo huku pia akiwataka kuendelea kuwasaidia wananchi kuwapatia huduma na kutatua kero mbalimbali

Aidha Mhe Halima amesema kuwa Halmashauri inatakiwa kuendelea kubuni vyanzo vipya vya mapato ili kuwezesha Halmashauri kuhudumia vizuri wananchi na kuendelea kupunguza kero za wananchi katika maeneo mablimbali ndani ya Halmashauri  ya Bagamoyo.

‘’lazima tutakuwa na ratiba ya kutembelea kata kwa kata ili kuwezesha na kuhakikisha tunakwenda kutatua changamoto na kero kwa wananchi Pamoja na kushuhulikia malalamiko yote ambayo yapo kwa wananchi hao’’amesema Mhe Halima

Pia Mhe Mkuu wa Wilaya amesema kipaombele kingine ni kuhakikisha wanasimamia ipasavyo miradi mbalimbali ya kimaendeleo ambayo inaendelea kuletwa na serikali ya awamu ya sita na kuhakikisha miradi hiyo inamalizika kwa wakati na wananchi wananufaika na miradi hiyo.

Sanjari na hayo Mkuu huyo wa Wilaya amempongeza Mkurugenzi Mtendaji Pamoja na Wakuu wake wa Idara na Vitengo kwa kuendelea kufanya kazi kwa bidii usiku na mchana ili kuhakikisha Wananchi wananufaika na matunda ya serikali ya Awamu ya sita iliyo chini ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassani

Matangazo

  • RATIBA YA MHE. MKUU WA MKOA KUTEKELEZA TAARIFA YA MHE. WAZIRI WA ARDHI KUHUSU MIGOGORO YA ARDHI MAPINGA SIKU.. February 20, 2023
  • NAFASI ZA KAZI. 1. WAANDIKISHAJI WAPIGA KURA 167. 2. WAANDIKISHAJI WA AKIBA 167. September 11, 2019
  • Tangazo la nafasi za kazi Halamashauri ya wilaya Bagamoyo 2020. January 24, 2020
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI AFISA MWANDIKISHAJI MSAIDIZI NA BVR OPERATOR BAGAMOYO DC TAREHE 09/01/2020 February 07, 2020
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MWENYEKITI WA HALMASHAURI BAGAMOYO AFUNGA MAFUNZO YA UWAWA..

    March 22, 2023
  • MAFUNZO YA UWAWA YAENDELEA BAGAMOYO..

    March 21, 2023
  • MAFUNZO YA UWAWA KUSAIDIA KUTEKKELEZA MALENGO YA ELIMU BAGAMOYO..

    March 20, 2023
  • DC-BAGAMOYO WATAOCHEZEA HAKI YA WANAWAKE NA WATOTO SERIKALI ITAWASHUGHULIKIA KIKAMILIFU..

    March 08, 2023
  • Angalia zote

Video

KAULI YA RAIS MAGUFULI WAKATI AKIZINDUA BARABARA YA BAGAMOYO - MSATA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 023 - 2440164

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo