• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

MKUU WA WILAYA BAGAMOYO APOKEA TAARIFA ZA UTENDAJI KAZI WA HALMASHAURI ZA WILAYA BAGAMOYO NA CHALINZE

Posted on: January 2nd, 2019

Leo tarehe 2/01/2018 Mheshiwa Mkuu wa Bagamoyo Mheshiwa Zainabu Kawawa akiwa Mwenyekiti 

kamati ya ushauri wilaya amepokea taarifa za utendaji kazi wa Halmashuri za Wilaya Bagamoyo na 

Chalinze. Taarifa hizo ziliwasilishwa na Afisa Mipango wa Bagamoyo akifuatiwa na Afisa Mipango wa Chalinze.

Katika taarifa ya Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo Afisa Mipango wa Wilaya Ndugu Malboarb Kapinga

aliwasilisha taarifa za utekelezaji wa miradi ya Maendeleo, Mapato na matumizi, taarifa za sekta ya Elimu 

(Msingi na Sekondari), Kilimo, Afya na Matokeo ya mbio za Mwenge 2018.

Kwa upande wa Halmashauri ya Wilaya Chalinze Afisa Mipango Wilaya aliwasilisha taarifa za Mapato na

Matumizi pamoja na taarifa za Utendaji kazi wa Idara zote za Chalinze.

Pamoja na taarifa hizo pia alipokea taarifa za taasisi mbalimbali zilizopo katika Wilaya ya Bagamoyo

taasisi hizo  ni Tanesco, Dawasa, Nida, Tarura Bagamoyo na Wakala wa Misitu.

Mkuu wa Wilaya alizipongeza Halmashauri zote kwa kuwa na matokeo mazuri ya mbio za Mwenge wa Uhuru wa mwaka 2018 

ambapo Halmashuri ya Wilaya Chalinze ilikuwa ya pili (2) na Bagamoyo ya tatu (3) kitaifa. Pongezi za ziada zilikwenda kwa

Halmashuri ya Wilaya Bagamoyo kwa kuwa ya tatu (3) kimkoa kwa ufaulu wa darasa la saba mwaka 2018.

Katika maoni ya jumla Mkuu wa Wilaya alisisitiza juu ya Uwajibikaji wa Watumishi hasa katika kufuatilia mapato na kuboresha

 maeneo ya mapato kwa kufufua eneo la Badeco katika Halmashauri ya Bagamoyo na upande wa Chalinze Mweka hazina aliagizwa 

kwenda katika maeneo yote wanapochimba Kokoto kujiridhisha na makusanyo hasa magari yanayofika na kutoka kila siku.

Pia alisisitiza taasisi za kiserikali kuwa uongozi shirikishi na mawasiliano ya karibu na ofisi yake pamoja na Halmashauri kwani 

kwa ujumla wote wanahudumia wananchi wa wilaya ya Bagamoyo.

Mwisho alisisitiza kufanya kazi ikiwa ni maagizo ya serikali kwa watumishi na wanachi pamoja na kutoa na salam za mwaka mpya 2019.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • WAPENI ELIMU WANANCHI KUHUSU UGOJWA WA MPOX...

    March 17, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo