• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

MWENYEKITI WA HALMASHAURI AFANYA ZIARA.

Posted on: January 25th, 2022

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo Mhe.Mohamed Usinga leo tarehe 25,Januari 2022 amefaya ziara katika Kata zilizopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo na kujionea ujenzi unao endelea katika kata hizo.

Ziara hiyo iliyojumuisha viongozi mbalimbali,wa chama na serikali Pamoja na wataalamu kutoka Halmshauri wamepongeza juhudi kubwa zinazofanywa na Halmashauri inayoongozwa na Mwenyekiti Mhe Mohamed Usinga Pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ndg Shauri Selenda kwwa kazi kubwa wanayoifanya.

Katika ziara yake hiyo Mhe Mwenyekiti wa Halmashauri amekagua ujenzi uanaoendele wa matundu ya vyoo katika vituo shikizi vya msingi Pamoja na shule mpya ya sekondari ya Nianjema na shule mpya ya sekondari ya udindivu huku Halmshauri ya Wilaya ya Bagamoyo ikitenga kiasi cha shilingi Milioni 93 kwaajili ya ujenzi wa matundu ya vyoo.

Huku katika hatua nyingine kupitia mfuko wa jimbo umetoa kiasi cha shilingi milioni 17 na kuzielekeza fedha hizo katika kusaidia kumaliza ujenzi wa matundu ya vyoo katika shule ya sekondari ya Nianjema Pamoja na kutoa Matofali elfu moja na kuyaelekeza katika kituo shikizi cha kilemile iliyopoKata ya Kerege Bagamoyo.

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo Mhe Mohamed Usinga ametembelea kata,ya Fukayosi katika shule shikizi ya Kalimeni, kata ya Makurunge katika shule shikizi ya Kifude,kata ya Yombo katika shule shikizi ya Kiegea,kata ya Nianjema katika shule mpya ya sekondari ya Nianjema ,Kata ya Kerege katika shule shikizi ya Kilemile,Kata ya Mapinga katika shule mpya ya sekondari ya Udindivu.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • BAGAMOYO KUJITANGAZA KIMATAIFA SEKTA YA UTALIII...

    May 10, 2025
  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo